Wimbo wa Taifa hatuna hati miliki kwa sababu tume "copy" toka ANC, na haupo kwenye Sheria na Katiba yetu. Tumeazima

Lazima wimbo wa taifa uheshimike siyo kila mtu anaweka maneno yake. Sasa huo utakuwa wimbo wa taifa au?? Wakati mwingine tumieni ubongo vizuri.
 
Kwa kipindi hiki ndio nimegundua mashabiki wengi wa CDM akili zero hawajui lolote wanasubiria kutafuniwa kila kitu na viongozi wao. Huu ndio mtaji mkubwa sana wa CCM

Leo mgombea flan kaenda kuchukua fomu NEC jamaa anashangaa NEC ina fomu nyingi alidhani fomu ni moja tu kama chama flan daah
Kumbe ulikuwa hujui?? Uwe unasoma vitu vya maana acha kusoma udaku tuuu!!
 
Naona wanarudi kwenye siasa zao za fujo wakidhan wanajenga kumbe wanajibomoa
Kwa mihemko hii watapatia wapi huo uongozi, ccm tu wakipiga propaganda ya hii ujinga waliofanya ccm Ina win asubuhi. Waache Mambo ya ajabu
 
Lakini hyo sio sababu ya kutokuheshimu wimbo wetu wa taifa, nchi za wenzetu watu wanaheshimu wimbo wa taifa, huku wanasiasa wanaharibu. Tuwe wazalendo kwa nchi yetu bana
Nchi za wenzetu wanaamini uhuru wa vyombo vya habari , uhuru wa kuandamana, uhuru wa kuongea, uhuru wa kuchagua viongozi wanaowataka, mbona serikali ya Mutungi haiyaongelei hayo kama yanavyokiukwa na wao wenyewe ?
 
Nilichogundua hapa ni kuwa, kuna mambo mengi Tz tunayafanya ya kiserikali lakini kiuhalisia yako kienyeji sana.
Yaani tunaimbishwa wimbo wa taifa ambao hatuna hati miliki yake na wala haulindwi na sheria.
Hivi hati ya Muungano ilishapatikana ?
 
Eti shuren

Eti umiriki



Pumbavu
 
Hivi mtu na akili zako hukusoma jinsi ya kuheshimu wimbo wa taifa acheni kukengeuka ni nchi gani watu huuchezea wimbo wa taifa ka hao chadema, kubalini mumekengeuka.
Sio kusema tu serikali mtu timamu anachezeaje wimbo wa taifa, very shame
Unajitia kuheshimu kitu cha kuazima wakati tulivyovianzisha wenyewe vinatushinda kuviheshimu, kweli raia wa nchi wamebobwa.
 
Kwa akili yako ni sahihi kuudharau utakavyo simply because hatuna hati miliki? Sijui kwenye vichwa vyenu kuna ubongo kweli?
Aliyeudharau huo wimbo ni nani ?

Mnakuza mambo utafikiri mama wa kambo
 
Kwani hujui kwamba common sense is not common. Wewe msomi wa wapi ?
Mkuu sio kwa kuuchezea wimbo wa taifa mbona hata watoto wadogo hawaongezi beti za wimbo iweje watu wazima waharibu kusudi. CDM hapa wameingia Cha kike
 
Mkuu sio kwa kuuchezea wimbo wa taifa mbona hata watoto wadogo hawaongezi beti za wimbo iweje watu wazima waharibu kusudi. CDM hapa wameingia Cha kike
Kwa hio kuongeza beti ni kuudharau ?
 
Kuuongezea mabeti yasiyokuwepo Tena kwenye chama Kikuu Cha upinzani
Kuongeza beti ni kuudharau ?

Nikajua labda wameongeza maneno ya mtaani ya kihuni, kumbe shida ni kuongeza beti tu, kweli
Nyie watoto wa mutungwi mna nongwa sana utafikiri mama wa kambo
 
Nilichogundua hapa ni kuwa, kuna mambo mengi Tz tunayafanya ya kiserikali lakini kiuhalisia yako kienyeji sana.
Yaani tunaimbishwa wimbo wa taifa ambao hatuna hati miliki yake na wala haulindwi na sheria.
Imagine
 
Tulishindwa hadi kutunga wimbo wetu ambao wengine kama Kenya waliweza
CCM ndio imetufikisha hapa .. Kama nyimbo ya taifa tu wameshindwa kutunga ndio wataweza kuiletea nchi hii maendeleo !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…