Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Nyimbo ya Taifa ya Tanzania unapaswa kubadilishwa haukisi na Aina ya mashairi yanayopatikana kwenye hizo nyimbo yenu eti" wabariki Viongozi wetu" Viongozi gani? Hawa wala rushwa? Mafisadi? Waiba Mali ya umma?kiukweli nachukizwa na Huu Wimbo WA Taifa Popote pale ukiimbwa
Katika vitu ambayo najuta kwwnye maisha yangu ni kuimba Hii nyimbo na nitaendelea kujuta pengine maisha yangu yote Yale na yoyote Yule nikimsikia anaimba mbele yangu Naweza kumfanya kitu ambacho hataweza kusahau maisha yake yote.
Kwanza unavyosema wabariki Viongozi wetu wana nini walichokifanya? Wewe niambie tokea nchi imepata uhuru Wa bendera nini kilichofanyika? Zaidi wamezalisha waoga,katiba mbovu,wezi WA umma, Mafisadi,wala rushwa na mambo mengine maovu? Wimbo ubadilishwe.
Note
Moderator Huu Uzi usifutwe Hii ni zama Za ukweli na uwazi,msilete uchawa kwenye maslahi ya nchi yetu.