Wimbo wa Taifa Unapaswa kubadilishwa haukisi hata kidogo" wabariki Viongozi wetu" Viongozi gani hawa wala rushwa? Mafisadi?

Naunga mkono hoja.
 
Kuna huo wimbo,na kuna neno "Mheshiwa" mi naona kero sana inatakiwa ifike mahali vifutwe kabisa,mtu anafanya kila aina ya uchafu anaitwa mheshimiwa,anafisadi mabilioni anaitwa mheshimiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…