Wimbo wa Wiki: Saida Karoli ft Banana Zorro - Mpenzi Nakupenda

Seawhale

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
1,477
Reaction score
1,668
Kiitikio(pamoja)

Mpenzi nakupendaa, namii nakupenda, ujue nakupenda nimekukubali…
Mpenzi nakupenda, namii nakupenda, ujue nakupenda na mimi nakubalii

Saida

Mpenzi nakupenda, penzi sio kila mtu, mpenzi nakupenda penzi ndio uamuzi wa mtu.

Banana

Na mimi nashukuru mama, unajua hilo

Saida

Tusidanganyanee mapenzi si ya mtu X2
Moyo wa mtu ni kizaaa kineneee
Moyo wa mtu fumbo kwa wengineee

Banana

Maneno yako mpenzi yamejaa wala simanzi

Saida

Ndani umejaa hubaa mapenzi na mahaba,
lakini pengine ni karata tatuu, ni karata tatuu jaribu uoneee

Banana

Naona unaumia nazo zako hisiaa

Saida

Mpenzi nakupenda, asikudanganye mtu, njoo nikupe, nipe nikupe.
Sina mwingine wala shaka usione.

Kiitikio

Nitakupa kila kitu mpenzi ujichune, kule kwa wengine kuna ukurutu
Chunguza uone gusa ujikune
Mpenzi nakupenda, mpenzi wala sio pesa
Mpenzi nakupenda, penzi uamuzi wa mtu
Mapenzi sio upatu, sema tu gawaneee

Banana

Naamini unayosema usaliti kwako sitotenda…

Fungua macho yako, usiumizwe na moyo wako …
Niamini mimi ni wako, niamini nimeumbwa kwa ajili yako
Nipe mkono usikie mapigo yangu ya moyo,
Shika mkono wangu nisikie mapigo yako ya moyo
Nakupenda sana mpenzi, wanipenda unaumizwa na mapenzi…… Tupendane milele mimi na wewe

Mpenzi nakupenda, namii nakupenda, ujue nakupenda na mimi nakubalii.

Wikiendi njema.
 
nitakupa kila kitu..😭😭😭

Hii kauli sitaki kuisikia, yule binti nilimpa kila kitu mwisho wa siku akaja kwangu na ujauzito wa miezi minne😌😌😌

na mimi nikaona isiwe kesi, nikala mzigo miezi mitano iliyobaki nikamrudisha kwao😅😅😅
 
Tit for tat, noma sana.
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu, hizi nyimbo za huyu mama kila nikizisikia zinanirudisha directly utotoni, napata hisia kali sana
 
Kwenye huu wimbo, Banana ametema maneno ambayo hatokuja kuyatema mahala popote.

"Fungua macho yako, usiumizwe na moyo wako …
Niamini mimi ni wako, niamini nimeumbwa kwa ajili yako
Nipe mkono usikie mapigo yangu ya moyo,
Shika mkono wangu nisikie mapigo yako ya moyo
Nakupenda sana mpenzi, wanipenda unaumizwa na mapenzi…… Tupendane milele mimi na wewe"

Nipo naliweka ghetto safi huku nafanyia rehearsal hii verse ya Banana ili mida Saida wangu akija panoge.
 
Kiitikio(pamoja)

Mpenzi nakupendaa, namii nakupenda, ujue nakupenda nimekukubali…
Mpenzi nakupenda, namii nakupenda, ujue nakupenda na mimi nakubalii

Saida

Mpenzi nakupenda, penzi sio kila mtu, mpenzi nakupenda penzi ndio uamuzi wa mtu.

Banana

Na mimi nashukuru mama, unajua hilo

Saida

Tusidanganyanee mapenzi si ya mtu X2
Moyo wa mtu ni kizaaa kineneee
Moyo wa mtu fumbo kwa wengineee

Banana

Maneno yako mpenzi yamejaa wala simanzi

Saida

Ndani umejaa hubaa mapenzi na mahaba,
lakini pengine ni karata tatuu, ni karata tatuu jaribu uoneee

Banana

Naona unaumia nazo zako hisiaa

Saida

Mpenzi nakupenda, asikudanganye mtu, njoo nikupe, nipe nikupe.
Sina mwingine wala shaka usione.

Kiitikio

Mpenzi nakupendaa, namii nakupenda, ujue nakupenda nimekukubali…
Mpenzi nakupenda, namii nakupenda, ujue nakupenda na mimi nakubalii

Saida

Nitakupa kila kitu mpenzi ujichune, kule kwa wengine kuna ukurutu
Chunguza uone gusa ujikune
Mpenzi nakupenda, mpenzi wala sio pesa
Mpenzi nakupenda, penzi uamuzi wa mtu
Mapenzi sio upatu, sema tu gawaneee

Banana

Naamini unayosema usaliti kwako sitotenda…

Kiitikio

Mpenzi nakupendaa, namii nakupenda, ujue nakupenda nimekukubali…
Mpenzi nakupenda, namii nakupenda, ujue nakupenda na mimi nakubalii

Banana

Fungua macho yako, usiumizwe na moyo wako …
Niamini mimi ni wako, niamini nimeumbwa kwa ajili yako
Nipe mkono usikie mapigo yangu ya moyo,
Shika mkono wangu nisikie mapigo yako ya moyo
Nakupenda sana mpenzi, wanipenda unaumizwa na mapenzi…… Tupendane milele mimi na wewe

Kiitikio

Mpenzi nakupendaa, namii nakupenda, ujue nakupenda nimekukubali…
Mpenzi nakupenda, namii nakupenda, ujue nakupenda na mimi nakubalii.

View attachment 3191686 Wikiendi njema.
Ndio maana tunailaumu serikali haitoi ajira... si unaona mwamba umeamua kupunguza stress zako tu..

...Ni Hayo tu!!
 
Mbona haujaanza mwanzo? Hapa hata Demi hawezi kuelewa
Weka uanze mwanzo
 
Back
Top Bottom