Wimbo wa Wiki: Saida Karoli ft Banana Zorro - Mpenzi Nakupenda

Wimbo wa Wiki: Saida Karoli ft Banana Zorro - Mpenzi Nakupenda

Wale wa afu mbili hapa hawaelewi chochote, lazima uwe shangazi au anko ndio uelewe hili songi.
 
Ila huyu banana anajua hadi anakera 😄😊😊
Banana na mad ice nikisikia sauti zao..........
 
Banana

Fungua macho yako, usiumizwe na moyo wako …
Niamini mimi ni wako, niamini nimeumbwa kwa ajili yako
Nipe mkono usikie mapigo yangu ya moyo,
Shika mkono wangu nisikie mapigo yako ya moyo
Dah, nimelia sana aisee. We banana weeee, hii sauti uliyoitoa hapa,..... nimelia hadi nimeumwa figo 😊

Mnaopewa maneno matamumatamu kama haya na mahi diya zenu nenepeni aisee. Maana wengine saa24 siku 7 za wiki ni kusikiliza uchambuzi wa vita ya urusi 😥😥😥😫
 
Hongera kwa kupenda kufuatilia mambo makubwa na pole kwa kukosa huba na mahaba ya kukupa furaha maishani.

Anyway, hiyo vocal ya Banana ni kweli alibamba sana.
 
Back
Top Bottom