Wimbo wa Wiki: Saida Karoli ft Banana Zorro - Mpenzi Nakupenda

Wale wa afu mbili hapa hawaelewi chochote, lazima uwe shangazi au anko ndio uelewe hili songi.
 
Ila huyu banana anajua hadi anakera πŸ˜„πŸ˜ŠπŸ˜Š
Banana na mad ice nikisikia sauti zao..........
 


Banana

Fungua macho yako, usiumizwe na moyo wako …
Niamini mimi ni wako, niamini nimeumbwa kwa ajili yako
Nipe mkono usikie mapigo yangu ya moyo,
Shika mkono wangu nisikie mapigo yako ya moyo
Dah, nimelia sana aisee. We banana weeee, hii sauti uliyoitoa hapa,..... nimelia hadi nimeumwa figo 😊

Mnaopewa maneno matamumatamu kama haya na mahi diya zenu nenepeni aisee. Maana wengine saa24 siku 7 za wiki ni kusikiliza uchambuzi wa vita ya urusi πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯😫
 
Hongera kwa kupenda kufuatilia mambo makubwa na pole kwa kukosa huba na mahaba ya kukupa furaha maishani.

Anyway, hiyo vocal ya Banana ni kweli alibamba sana.
 
Hongera kwa kupenda kufuatilia mambo makubwa na pole kwa kukosa huba na mahaba ya kukupa furaha maishani.
Mbona sijaandika sehemu kuwa nimekosa huba my wangu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…