El Capitan
Senior Member
- May 2, 2011
- 168
- 140
sio ndoa ya ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uimbaji wa wasanii wa Kenya hata top 1,000,000 ya Tanzania hawawezi kuingia.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo kweli maana nyie watu hampo exposed, huwa rahisi kuwafuga kwenye zizi moja. Huko hamjui chochote nje ya Bongo flavo au hata nje ya Tanzania. Halafu hata wasanii wenu wengi wametokea Kigoma asili za Kiburundi....Hehehe Mchagga na muziki wapi na wapi.
Kwa uimbaji wa wasanii wa Kenya hata top 1,000,000 ya Tanzania hawawezi kuingia.
Kama haujaskia
THIRD HAND MUSIC BAND
NYASHINSKI
ELANI
Octo
Sauti sol
Collo
...
Usianze kuingilia ngoma za Kenya ...watch the trend every friday past 10pm ili ujitambulishe Watu wanaotoa mziki murwa Kenya sio Kelele ya willy paul hii!
Nyimbo zenyewe hata kibera hazifiki sembuse bongo
Willy Paul ndo nani?
It's true artists kibao wanakuja Kenya kufanya show. Hongereni kwa hill.There are Numerous concerts in Kenya monthlys My fren!
Kioa weekend kuna a Jamaican Artist landing in Nairobi Mombasa or Kisumu for some fire show
Hatujakuja was Afrika mashariki bado
Concerts that have Kenya in them Are [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 504633View attachment 504634
View attachment 504635
Nairobi ranked number one in Africa on entertainment, Sh28 billion spent annually
Revellers dancing at a Club in Mombasa. Photo/File
Nairobi leads Africa’s top 20 cities as the place with the highest spending growth rate in the entertainment scene.
This revelation is contained in a PricewaterhouseCoopers survey of the continent’s top cities.
This increase was calculated from an entertainment expenditure of Sh28 billion in 2013 which has been consistently increasing at a 12.5 percent growth rate.
The growth rate that PwC has estimated will run to 2018 has been attributed to a new Nairobian middle class seeking to catch up on many of the products and services that developed urbanites take for granted.
“Our survey of 15,000 PwC people in the 30 cities (including 116 in Nairobi) gives a good sense of the potential for entertainment and media. Nairobians are #1 among the 30 cities in discretionary spending for either technology (32 percent) or the home (37 percent). They are tied for #2 in prioritising spending on books, movies, and games – with 24 percent citing that category among their top 3 choices for discretionary spending,” the report reads.
Nairobi is also highly rated as the top African destination for foreign investments in the report released Wednesday.
Other cities with ratings in different sectors are Cairo with the best infrastructure, Tunis in Tunisia has the best human capital, while Casablanca is highly rated in economics.
Ukiwa Top ten kwa Kenyan Charts jua unatengeneza milioni ya pesa venye MK254 amesema
Youtube views dont matter in the real world my fren!
Ongezea na Kigeugeu ya JaguarKuna nyimbo za kenya zilisumbua bongo kitambo
Missing my baby - amani
Kwa kheri - jua cali ft sana
nibebe,watu na viatu -nyota ndogo
Nasinzia - nameless
Sweet love, running low, still a liar - wahuu
Kathaa remix - nonini ft chid
Zipo nyinginezo lakini nyingi ni za zamani... namaanisha ni nyimbo ambazo ungewakuta watu wanaziimba,kuziomba katika vituo vya radio na tv, kuzisikia mitaani...
To tell you the truth..willy paul ni copy ya diamond platnumz na kinachoshangaza ni muimbaji wa gospel. Willy paul ama bahati hawawezi kutoboa game ya bongo unless watafute uniquness ya muziki wao...
Akheri nimsikilize mercy masika maana yupo on point na kile kiswahili maridhawa... i feel blessed kwa kweli
Sio mbaya .....lakini jua Kenya ndio inatop Africa kwa entertainment industry kama hamjajua
THIS month alone
Burna Boy
Mr. EAZI
AKA
DIPLO
TEKNO hatujaingilia zile zingine za chrisbrown Wizkid Trey songz etc
Diplo also visited
South Africa
Morocco
Ethiopia
Uganda and
Nigeria for his Africa Tour
AKA was also in Kenya for the blankets and wine event
Also Burna boy was in Kenya
Earlier in April
Nairobi leads Africa in Entertainment Consumption and Expenditure Omarion will be in Kenya Early Next month for a concert!
Argument hapa ni Kenya hamko creative kabisa kwenye swala la MUSIC GENIUS (especially kwenye kuandika mashahiri). Kinachofanyika Kenya ni kuwa shamba la bibi katika swala zima la muziki. Wanamuziki wa nje wanakuja Kenya kubeba mabegi ya pesa wanasepa. Kenya ni kama England, the best premiere league, but the worse national team. Kinachofanyika Kenya ni kama chombo cha kuwavusha wanamuziki wa nchi nyingine lakini sio wanamuziki wa nyumbani. Wanamuziki wenu wanalakamika kika siku hawabebwi na vituo vya nyumbani. Wanamuziki wa Kenya walikuwa wanashangaa wakija Tanzania wanakuta hakuna ubaguzi wa TV au Redio kupiga nyimbo za Tanzania na EA. Kwanza Kenya hawakuamini kama unaweza kuimba kwa kiswahili na ukauza. Wanaosema muziki wa Tanzania hauiziki mmejaribu kwenda iTunes, Google music, Spotify??? Unafikiri watanzania wangepoteza mahela mengi kutengeneza world class music videos kama wangekuwa hawaingizi pesa??
Mwangalie mchezaji wa Man City (ambaye yuko stoke city kwa loan), Wilfried Bony kutoka Ivory coast kaguswa na kiswahili.
Rwanda na Burundi zilikuwa sehemu ya Tanganyika usisahauHiyo kweli maana nyie watu hampo exposed, huwa rahisi kuwafuga kwenye zizi moja. Huko hamjui chochote nje ya Bongo flavo au hata nje ya Tanzania. Halafu hata wasanii wenu wengi wametokea Kigoma asili za Kiburundi....Hehehe Mchagga na muziki wapi na wapi.