Wimbo Wa Willy Paul Ft. Alaine Wawabamba WaTz

Wimbo Wa Willy Paul Ft. Alaine Wawabamba WaTz

Nikweli mountain kili ulikua Kenya but kutokana na wakenya wengi kuwa na ugly faces mlima ukahamia tz
Mbona yule dada jichubue wa kibongo alikuwa akilalamika baada ya kushindwa mrs World??? Nayo Kenya Top Six mara mbili kwa mwaka, si mpeleke hizo sura nzuri kule??
 
Mbona yule dada jichubue wa kibongo alikuwa akilalamika baada ya kushindwa mrs World??? Nayo Kenya Top Six mara mbili kwa mwaka, si mpeleke hizo sura nzuri kule??
Habari za Siku brother
 
Unamaanisha kama vile Kilimanjaro ilikuwa sehemu ya kenya? tihii tihiiiiiii!
Kilimanjaro siyo muhimu kama Mombasa hivyo mkitaka tubadilishane mtuludishie mombasa
 
Mbona yule dada jichubue wa kibongo alikuwa akilalamika baada ya kushindwa mrs World??? Nayo Kenya Top Six mara mbili kwa mwaka, si mpeleke hizo sura nzuri kule??
Tz Tulishatoaga miss world Africa, Pia tumetoa big brothers Africa mara kadhaa
Remember??
Hakuna jipya hapo.
 
Argument hapa ni Kenya hamko creative kabisa kwenye swala la MUSIC GENIUS (especially kwenye kuandika mashahiri). Kinachofanyika Kenya ni kuwa shamba la bibi katika swala zima la muziki. Wanamuziki wa nje wanakuja Kenya kubeba mabegi ya pesa wanasepa. Kenya ni kama England, the best premiere league, but the worse national team. Kinachofanyika Kenya ni kama chombo cha kuwavusha wanamuziki wa nchi nyingine lakini sio wanamuziki wa nyumbani. Wanamuziki wenu wanalakamika kika siku hawabebwi na vituo vya nyumbani. Wanamuziki wa Kenya walikuwa wanashangaa wakija Tanzania wanakuta hakuna ubaguzi wa TV au Redio kupiga nyimbo za Tanzania na EA. Kwanza Kenya hawakuamini kama unaweza kuimba kwa kiswahili na ukauza. Wanaosema muziki wa Tanzania hauiziki mmejaribu kwenda iTunes, Google music, Spotify??? Unafikiri watanzania wangepoteza mahela mengi kutengeneza world class music videos kama wangekuwa hawaingizi pesa??

Mwangalie mchezaji wa Man City (ambaye yuko stoke city kwa loan), Wilfried Bony kutoka Ivory coast kaguswa na kiswahili.

lakini Kiswahili ni lugha ya waKenya!! hata wazungu hujua hivyo.
hehee... look...

“My man’ll speak patois,” Nas said, “and I can speak rap star.” He concluded his rapid-fire verse with a Swahili greeting: “Habari gani.” To which Mr. Marley replied, “Nzuri sana,” as if they were chatting on the streets of Nairobi.

From The New York Times
by Rob Kenner
A Mash-Up on Behalf of Mother Africa

Song: As We Enter

Back
Top Bottom