masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
-
- #21
hahaha hajaona hapa
ilipangwa mikakati kabambe ya kufunga ndoa
watu hawakuamini kama vicky mimi nitamuoa
hahaha hajaona hapa
ikafika siku ya siku mentali jay ndani ya jumba na vicky ndani ya shela hakuna uchawi wala ndumba
Hahaha....inawezekana kaisikia nyimbo juzi😱 ngoja
Kesho ataleta Salome ya DULLY
naitwa vicky nina miaka 22
ni mtoto wa kipekee kwenye familia ya kitajiri
hahaaaha hapana kitambo sana miaka ya 2001
tulishikana mikono ni nderemo na vifijo
tulifunga ndoa kanisani bila fujo
Hahaha....inawezekana kaisikia nyimbo juzi😱 ngoja
Kesho ataleta Salome ya DULLY
furaha isiyo kifani lilifanyika bonge la party watoto wa uswahilini walibeba wali kwenye mashati
wa salome nilikua mkubwa yawezekana ulikua ujazaliwa wewe
Jay ni zawadi kwa watanganyika
sikiliza vicky, ningependa tuwe marafiki, lakini kwa hadhi yako haitakiwi uwe na mtu wa dhiki
duuuuuh
zawadi zilizagaa zilikua nyingi tena kem kem
dah..!! Wazanzibar je??
Enzi za Nyambizi zililuwa hot.
Dedication, nyimbo ya F.A unanijua unanisikia
furaha isiyo kifani lilifanyika bonge la party watoto wa uswahilini walibeba wali kwenye mashati
baba mkwe alitupa benz, kiwanda nyumba na BM
tulipata zawadi nyingi kutoka kila sehem
nilikumbuka nikacheka nilivyoteswa na wale mademu