Wimbo wa Zali la mentali wa Proffesor Jay uliwapa vijana matumaini sana

Wimbo wa Zali la mentali wa Proffesor Jay uliwapa vijana matumaini sana

ikafika siku ya siku mentali jay ndani ya jumba na vicky ndani ya shela hakuna uchawi wala ndumba

tulishikana mikono ni nderemo na vifijo
tulifunga ndoa kanisani bila fujo
 
sikiliza vicky, ningependa tuwe marafiki, lakini kwa hadhi yako haitakiwi uwe na mtu wa dhiki

hata wazazi wako naamini hawatoafiki
tajiri na tajiri maskini sithaminiki
 
Enzi za Nyambizi zililuwa hot.

Dedication, nyimbo ya F.A unanijua unanisikia

unaniona wa juzi eeh nikupe mistariiii

Nyambizi nakupenda japo mkubwaaaa
mateso unayonipa usiku ni makubwa


TUMALIZIE KWANZA ZALI LA MENTALI THENI HUU NITAKUPA MISTARI
 
Back
Top Bottom