Wimbo wa Zali la mentali wa Proffesor Jay uliwapa vijana matumaini sana

Sikiliza vicky,napenda tuwe marafiki,lakin hadhi yako hutakiwi kuwa na mtu wa dhiki,hata wazazi wako naamini hawataafiki,tajiri na tajiri masikin sithaminiki.tafuta kibopa mwenzako ili usishushe hadhi yako.mimi sistahili hata kuwa kijakazi wako.....sikiliza jay ustamke maneno hayo........
 
naomba unielewe haya machache niyasemayo
hadi huu wakati mimi nimekupenda kwa dhati
nikubali niwe wako nitajiona mwenye bahati
 
Kwa kweli ile ngoma nimeihifadhi kama kumbukumbu na huwa naisikiliza kila week. Naingia Dar kwa mara ya kwanza kabisa nakutana na ngoma hiyo Radio One na kibwagizo, RADIO ONE, STEREOOOOOOOOOOO! Nilihisi kama nimefika Ulaya.
 
unaniona wa juzi eeh nikupe mistariiii

Nyambizi nakupenda japo mkubwaaaa
mateso unayonipa usiku ni makubwa

TUMALIZIE KWANZA ZALI LA MENTALI THENI HUU NITAKUPA MISTARI

Nasubiri uje nao
 
Kwa kweli ile ngoma nimeihifadhi kama kumbukumbu na huwa naisikiliza kila week. Naingia Dar kwa mara ya kwanza kabisa nakutana na ngoma hiyo Radio One na kibwagizo, RADIO ONE, STEREOOOOOOOOOOO! Nilihisi kama nimefika Ulaya.

hahahahah una hatari wewe ndo ulikua unaingia mjini hahahahahah
ukawa unasema na wewe utapata zali
 
sasa hivi napeta nabadili gari full kipupwe walionicheka wanatamani ardhi ipasuke

......?....vicky ni jay na jay ni vick mustarehe
kutoka ndani ya dhiki sa kila siku sherehe
 
......?....vicky ni jay na jay ni vick mustarehe
kutoka ndani ya dhiki sa kila siku sherehe

hapo kwenye desh ni hivi,, naelekea kilengeni kuwapa dili machiz wangu tena mara kwa mara siwezi kuacha asili yangu
 
baada ya miaka 5 vicky alipata ujauzito tulifurahi sana natukafanya tambiko
 
hapo kwenye desh ni hivi,, naelekea kilengeni kuwapa dili machiz wangu tena mara kwa mara siwezi kuacha asili yangu

then ndo
vick ni jay na jay ni vick mustarehe
kutoka ndani ya dhiki sa kila siku ni sherehe

sir nature......zali la mentaliiii.....
 
.,,mnanipa raha kweli,
mmenifanya niwashe PC nchek video.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…