Wimbo wa Zali la mentali wa Proffesor Jay uliwapa vijana matumaini sana

ha hahaha.!! Nyerere hapendi wadau.,!

Eti akili the brain.,,mzee wa bongo bangra.

hiyo ndo maana ya jf unapata burudani
na kuondoa uchovu

msalimie mywife wako
 
Wakati natoka huko kijasho chembamba kikinitoka /
nikaona mtoto wa nguvu nikajikuta nimeropoka/
dada habari samahani naomba niuulize swali

nimefurahi kishenzi
nikiona watu wanazungumzia mziki nahisi wananizungumzia mimi
 
kuna wimbo wake wa ndio mzee aisee naweza kuusikiliza siku nzima
 
sijakuelewa wewe ni jay??????

Ooh no keep change una mawazo mengi nitakufariji weekend
 
then ndo
vick ni jay na jay ni vick mustarehe
kutoka ndani ya dhiki sa kila siku ni sherehe

sir nature......zali la mentaliiii.....

.....limenitokea wakati mimi nna njaa nikapendwa na dem kali na kuacha watu wote ......!
 
kuna wimbo wake wa ndio mzee aisee naweza kuusikiliza siku nzima

ule aiseee nao mtamu sana aiseeee
huyu jamaa anahitaji management nzuri tu

angeshakua kama R.kelly...na studio yake na ma investment kibao maana huyu hata akiimba wimbo wa nikusidiaje katika show
mwaka huu bila hata ya huu wa kipi sijaskia still itakuwa shangwe sana
 
Dah, Hii ngoma kwangu kamwe haitozeeka. Na video yake kwa enzi hizo ilikuwa ya mapinduzi.
 
sanaaa,, ameniacha hoi katika wimbo huo aliposema atawafadhili wachawi waweze kutengeneza ndege kila mtu awe na yake makonda na wapiga debe..
 
zilipita siku mbili nikiwaza kilichotokea /
nikajiuliza Yule ni mtu au jini amenitokea /

potelea mbali uchawi hauji kwa mentali
napata napuliza inakua shwari /
 
sanaaa,, ameniacha hoi katika wimbo huo aliposema atawafadhili wachawi waweze kutengeneza ndege kila mtu awe na yake makonda na wapiga debe..

na ile aliwahaidi ndege sasa wanazitaka anawaambia

hata baiskeli hamjui huko angani kila mtu na ndege yake itakuaje

pale kwenye SIO MZEE
 
Dah, Hii ngoma kwangu kamwe haitozeeka. Na video yake kwa enzi hizo ilikuwa ya mapinduzi.

siku ya kwanza kuiona ilikuwa mbili kasoro nyimbo hata haikuisha itv wakaweka taarifa ya habari walinikera kuliko siku zote
 
na ile aliwahaidi ndege sasa wanazitaka anawaambia

hata baiskeli hamjui huko angani kila mtu na ndege yake itakuaje

pale kwenye SIO MZEE

hahahaha akawajibu wakulima waendelee na jembe la mkono eti wakaze msuli.... dah ni idea ambayo kuipata tena kwa msanii mwengine ni vigumu
 
siku ya kwanza kuiona ilikuwa mbili kasoro nyimbo hata haikuisha itv wakaweka taarifa ya habari walinikera kuliko siku zote

Mpaka unakumbuka aisee walikukera aisee
 
hahahaha akawajibu wakulima waendelee na jembe la mkono eti wakaze msuli.... dah ni idea ambayo kuipata tena kwa msanii mwengine ni vigumu

jamani jay we love him lakini nahis management tu
ingetakiwa awe na mpunga mrefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…