Kama safari lager hivi!!Kuweni wazalendo kunyweni beers za kitanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama safari lager hivi!!Kuweni wazalendo kunyweni beers za kitanzania
SwadaktaKama safari lager hivi!!
Jinai haifi,utanyakwa tuuEnzi ya jakaya nishachakachua sana windoku kwa kuzijaza kilimanjaro kipindi zinauzwa buku tano huku klm yauzwa buku mbili tu.........vuna sana ela kula sana raha....
Sasa inawezekana izi mambo zimerudi tena
Hayo makonyagi ndio usiseme kipindi kile cha vitoti
Nishaacha muda now ni mwaka wa nne huu........ila nikipata mtaji mimi mwenyewe narudiJinai haifi,utanyakwa tuu
Kwani mzee Rugemalira wa Escrow si ndio ana trademark ya Windhoek hapa Tanzania kupitia Mabibo Winery yakeIngekuwa Heineken ningekwambia ni za South Africa maana kuna kiwanda kinazalisha hapo RSA,zina taste ya tofauti na za Holland.Kwa mnywaji anajua tofauti.
Windhoek sijui shida itakuwa nini maana zote zinatoka Namibia!
Hiyo Fake inazalishwa na nani? Ukiletewa unaweza kataa? Au zote Ni windhoek halali ila version. Tofauti?Angalia tofauti ya jinsi maandishi ya lebo yanavyoishia kwenye chupa hizi mbili.
Chupa ya kwanza ni Windhoek feki mstari wa mwisho wa maandishi kwenye lebo (namba 18) yanakaribia kabisa “Please Recycle” kulia ya chupa.
Chupa ya pili ni Windhoek OG. Msatari wa mwisho wa maandishi (namba 18) kwenye lebo yanaishia nyuma ya “Please Recycle” kulia ya chupa.
View attachment 1886271
View attachment 1886278