kama mdau alivyoshauri funga auto updates maana ina update kila muda mpaka ije kumaliza utakuwa ushakomaNini kinasababisha window 10 kula data sana kuliko window nyingine kama 8..Mwanzo PC yangu ilikuwa inatumia window 8 ilikuwa nikiunganisha hotspot mb500 unaweza Fanya vitu vingi na zisiishe lakini tangu nianze kutumia window 10 hali imekuwa tofauti....Kwa anayefahamu nini kinachosababisha na jinsi ya kutatua hilo naomba anieleze
Turn off auto updatesNini kinasababisha window 10 kula data sana kuliko window nyingine kama 8..Mwanzo PC yangu ilikuwa inatumia window 8 ilikuwa nikiunganisha hotspot mb500 unaweza Fanya vitu vingi na zisiishe lakini tangu nianze kutumia window 10 hali imekuwa tofauti....Kwa anayefahamu nini kinachosababisha na jinsi ya kutatua hilo naomba anieleze
Aisee ngoja nikafanye hivyo,maana dakika 0 tu unaletewa message kuwa kifurushi kimeisha halafu unalokusudia hujatimizaMzee baba windows 10 inatabia ya kuaupdate mafile kila muda, kwa kukusaidia nenda kwenye auto update software kaweke OFF

Windows 10 Mara inahitaji internet iwe iweze kurun smoothly, so kama una kibando cha mawazo piga chini weka 7Aisee ngoja nikafanye hivyo,maana dakika 0 tu unaletewa message kuwa kifurushi kimeisha halafu unalokusudia hujatimiza
[emoji2] [emoji2] [emoji2] una cheo gani kule chaputaHaloo hata mimi nilianza kuwaona halotel ni wezi kumbe hili li Windows linakula sana data! Utakuta nimejiungia kifurushi cha mb 800 nicheki Pono ili nijilipue unashangaa inaingia sms "Ndugu mteja umebakiwa na mb 5 za kutumia" hapo sijamaliza hata dk. 2
Mimi ni mtu mdogo sana mkuu kule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] una cheo gani kule chaputa
yaah inazuiaHuwa inasaidia mkuu?
Mkuu njoo pm nikupe mbinu flani uendelee kujifaidia wakina kapri style hadi uchokeHaloo hata mimi nilianza kuwaona halotel ni wezi kumbe hili li Windows linakula sana data! Utakuta nimejiungia kifurushi cha mb 800 nicheki Pono ili nijilipue unashangaa inaingia sms "Ndugu mteja umebakiwa na mb 5 za kutumia" hapo sijamaliza hata dk. 2