Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,505
- 5,715
Nini kinasababisha window 10 kula data sana kuliko window nyingine kama 8..Mwanzo PC yangu ilikuwa inatumia window 8 ilikuwa nikiunganisha hotspot mb500 unaweza Fanya vitu vingi na zisiishe lakini tangu nianze kutumia window 10 hali imekuwa tofauti....Kwa anayefahamu nini kinachosababisha na jinsi ya kutatua hilo naomba anieleze