Winga Simon Adingra amezaliwa upya Africa Mashariki Pale Uganda...Kwa Jina la Alain Okello

Winga Simon Adingra amezaliwa upya Africa Mashariki Pale Uganda...Kwa Jina la Alain Okello

Anonymous Caller

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
1,434
Reaction score
1,930
Unamkumbuka yule Winga msumbufu wa timu ya Taifa ya ivorycoast anayechezea Brighton, akasumbua sana watu kwenye Afcon 2023.

Basi leo kazaliwa upya Uganda kwa jina la Alain Okello...
Huyu dogo Okello ni talent mpya ndani ya Afrika Mashariki mwenye attributes purely kama za Simon koffi Adingra....
Leo kanipigia Penalty ambayo sijawahi kuiona toka Euro 2004.
Wakati Greece anachukua Ubingwa.

Kama umeitazama vizuri mechi iliyomalizika hivi punde kati ya Uganda cranes vs Guinea utakuwa umenielewa..
Huyu dogo ni Winga skillful sana.
Enyi timu za Kariakoo tupieni macho CHAN....CHAN kuna Watu...

Leo ndio kwa mara ya kwanza tumeshuhudia mechi kali zaidi toka michezo ya CHAN ianze...Kati ya Uganda vs Guinea....

Leo Nimejifunza kitu.
Kumbe High Work-rate Players wanaweza kuwafunga Highly talented Players kama dhamira ipo.

Uganda ana wachezaji ghafi sana ukimuondoa Okello....
Ila amepata matokeo kwa kupambana sana.
 
Kumbe yupo Vipers.
Na yule Milton karisa unamkumbuka...mbona simuoni kapata timu nje ya Uganda..

Huyu Karisa ndio alikuwa forward tegemeo Vipers...na aliwahi kuifunga Yanga huyu.
Yah Karisa alikuwa vipers Ile ya moto ila kwasasa sijafuatilia kujua yupo timu ipi.
Uganda imewekeza kwenye soka la vijana na wametoka footballers wengi wanatwanga huko Ulaya
 
Back
Top Bottom