Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajamii forum nimekuwa nikisumbua kichwa kuhusiana na Uwingi wa neno chupa huku nikikabiliana na maneno mawili ambayo ni VYUPA na neno CHUPA kama uwingi! hivyo naombeni mawazo yenu katika suala hili!