Wingi wa neno 'chupa'

Wingi wa neno 'chupa'

Wilkboy

Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
9
Reaction score
1
Wanajamii forum nimekuwa nikisumbua kichwa kuhusiana na Uwingi wa neno chupa huku nikikabiliana na maneno mawili ambayo ni VYUPA na neno CHUPA kama uwingi! hivyo naombeni mawazo yenu katika suala hili!
 
unaposema vyupa inamaana ni vipande vingi vya chupa iliyopasuka unaposema wingi wa chupa ni vyumba unakosea sana mkuu
 
unaposema vyupa inamaana ni vipande vingi vya chupa iliyopasuka unaposema wingi wa chupa ni vyupa unakosea sana mkuu
 
Neno chupa hata kwenye wingi halibadiliki bali linabaki hivyo hivyo, chupa za beer/soda.
 
wingi wa chupa ni chipa tu..
lakini chupa moja ikivunjika vunjika vile vipande ndo tunaviita vyupa
@kwa uelewa wangu
 
kwangu mimi sidhani kama kuna wingi wa chupa. vyupa linatumika isivyo rasmi.

Back
Top Bottom