Ndugu zangu wakati tukiianza jumatatu njema kabisa kwa kuchapa kazi mahala popote tulipo napnenda kudokeza hili swala.
Kumezuka mlipuko, naweza kusema mlipuko wa habari na vichwa vya habari za hapa JFs zenye mwelekeo wa malalamiko kila kukicha hivi karibuni.
Wanaccm hasa wale wa ccm mpya (CCM ya mwendazake) wamekithiri kwa malalamiko, hasira, visirani na manunguniko. Hivi nini tatizo? Kama ni madaraka mbona CCM imeshika hatamu? Kama ni vyeo mbona mnavyo? Ni kitu gani hakiwaridhishi au ndio binadamu ameumbwa na roho isiyotosheka?
Au ni Gere tu?
Hawa watu wanakwenda kupata sonona na ni wengi wanaweza kuwa hatari kwa Taifa.
Kazi iendelee, Katiba Mpya ndio mpango mzima.