Michael Andrew Jr
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 219
- 665
Ukiangalia kwa makini kulikua na malalamiko kutoka kwa baadhi ya watu na wadau wa maendeleo wa nje ikiwemo USA nk kua demokrasia ndani ya Tanzania imezorota kwa kiasi kikubwa. Na hat uchaguzi wa mwaka huu ulitabiriwa kua wa chama kimoja na vifo kwa vyama vya upinzani.Funguka yote kwanza maana inaonesha kuna ulichokiona au kusikia
halafu
Mimi na wenzangu akina Kajambanani hata hatuujui huo utitiri
Kwahiyo
hebu tusaidieni kudondosha walau list ndogo tu tujionee bila kusahau na vyama walivyopitia
Hakika una jicho la kuona mbali... Haiwezekani kila mtu atangaze nia... Kuna namnaUkiacha wahamiaji kutoka upinzani, wabunge wanaotetea majimbo yao walio wengi mzee baba hawataki hivyo ili kuua soo wamealikwa wengi kugombea ili akiwakata mikia wakilalamika atawaambia waliochukua fomu walikuwa lets say 12 na wotwe wanastahili je ilikuwa lazima fulani tu ndiye ashinde?
Klinamaaanisha kumekua na siasa za hovyo kuwahi kutokea kwenye histiria ya nchi hiii !!! Mpaka vichaaa wanataka nafasi za uwakilishiTumeona ktka majimbo mbalimbali namna wagombea wa Ubunge wanavyomiminika kuchukua form.kiasi imefikia hatua kumekuwa na mistari mirefu ya foleni unaweza dhani ndo wanaenda kupiga kura.
Hii inaashiria nini katika siasa za tanzania? Je kumekuwa na demokrasia pana?
Je watu wamejawa na uzalendo na hamu ya kutumikia watanzania?
Je ubunge unabaki kuwa ni sehemu yenye maslahi mapana sana?
Je ni ule uhakika kuwa kwa sasa ukipitishwa na CCM tayari umekuwa Mbunge?
Tunakolekea tutaona wagombea Ubunge wanakuwa wengi kuliko wapiga kura.
DemokarasiaWakuu kwema? Hivi mmejiuliza kama mimi huu utitiri wa kila anayejiona anafahamika na watu kutaka kua mbunge umetokana na nini? Waigizaji, waimba muziki, watangazaji na hata wadangaji maarufu nao wanataka kua wabunge!! Je ni kweli wanautaka ubunge au wametumwa kwa malengo fulani fulani??
Ikiwa hawa wanasiasa wa kizazi kipya watapewa ridhaa ya kugombea na mwisho kuwa wabunge, vipi kuhusu nafasi ya wakongwe kwenye siasa hususani ndani ya chama tawala? Ni nini ambacho kinapangwa?? Maana haiwezekani kila mtu atake kua mbunge...
Roosevelt aliwahi kusema "kwenye siasa hakuna kitu kinaitwa bahati mbaya". By the way tusubiri tuone
Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Haswaaaa!Nimebahatika uongea na watia nia vijana wameeleza ukweli ya kuwa wanajua kupita ni vigumu lakini wanatengeneza CV na Rais ana nafasi nyingi za uteuzi.Wengi wametaja wenzao amabo wamelamba uteuzi kutokana na kuingia 2015.Mmoja aliniambaia "Hivi ukimchachafya mtu kama Pofesa uchaguzi ukiisha hata ajira unaweza kupata"Watu wanatafuta uteuzi Kwa mkuu, wameambiwa waspojiunga huko hakuna uteuzi tena
CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Watajimaliza wenyeweHili suala Wagombea wengi kupita maelezo tunaichukulia poa sana.
Mimi najaribu kuingalia kwa jicho la tatu.
CCM wanajua fika hawawezi kushinda uchaguzi huru na wa haki. Polepole alishasema maneno haya wakati huo akiwa na akili timamu.
Sasa wamebuni hili la kuja na wagombea wengi. Kwanza ionekana wana mvuto kuliko wapinzani na pili vijana wasigombee upande wa pili.
Baada ya kuchakachua matokeo kwenye uchaguzi, wata justify ushindi hewa kwa idadi kubwa ya watia nia eti wanapendwa. Wamelenga majimbo maalum. Kwa Lema, Msigwa, Mdee nk.
Kitu vijana wengi hawajui ni kwamba wanatumiwa tu. Pengine hawajali sana ilimradi wamepata pesa.
Unawezaje kueleza ugombea wa Steve Nyerere, Mpoki, Dokii, Amberluti if all the people?
Muda utaongea!