Wingi wa watia nia ya Ubunge, nini kilicho nyuma ya pazia?

Wingi wa watia nia ya Ubunge, nini kilicho nyuma ya pazia?

Hili suala Wagombea wengi kupita maelezo tunaichukulia poa sana.

Mimi najaribu kuingalia kwa jicho la tatu.

CCM wanajua fika hawawezi kushinda uchaguzi huru na wa haki. Polepole alishasema maneno haya wakati huo akiwa na akili timamu.

Sasa wamebuni hili la kuja na wagombea wengi. Kwanza ionekana wana mvuto kuliko wapinzani na pili vijana wasigombee upande wa pili.

Baada ya kuchakachua matokeo kwenye uchaguzi, wata justify ushindi hewa kwa idadi kubwa ya watia nia eti wanapendwa. Wamelenga majimbo maalum. Kwa Lema, Msigwa, Mdee nk.

Kitu vijana wengi hawajui ni kwamba wanatumiwa tu. Pengine hawajali sana ilimradi wamepata pesa.

Unawezaje kueleza ugombea wa Steve Nyerere, Mpoki, Dokii, Amberluti if all the people?

Muda utaongea!
Hakika unaona nyuma ya pazia, unaona wasipoona wengine... Hakuna kijana ambaye anaweza kwenda kupoteza laki moja yake hivi hivi... Upo mkakati wa kuwatumia

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom