umeona eh? Nilijua tu TF yatamshinda!Naona kazi ya uchungaji imekushinda....
samahani!miguno sio mizuri humu.
Tutahitaji elimu via thread juu ya hili!
...salaaale, mbona nilishaweka bayana resolution za 2012? ...kudumisha ndoa na kuwasamehe waliotufundisha machungu ya mapenzi.
.
Bora umwambie swahiba manake huyu Bishanga amezidi makelele kwenye chumba cha mgonjwa.
Babu anaumwa?!!! Uzee nao, dah...Passing time in bed is awful yet necessary this time, so that you can go back to yourself stronger than ever before.
Get Well Soon.
Wewe jua tu kuwa anaumwa na umwombee apone upesi...
MMU imeingiliwa dah pole ODM mie nimepona
Kujua anaumwa nini ni muhimu.Si unajua Imani inahitajika katika maombi?na kila ugonjwa una kiwango chake cha IMANI.Huwezi fananisha Mafua na Malaria sugu.
Yaani ODM anaumwa na Dena Amsi anaumwa
Naendelea kukonekti dots....ntarudi!
ODM sweetheart,pole sana will mention you in my prayer...
asavali. Mia
Afu wewe, ukiumwa kumbe unadeka hivyo?
MMU imeingiliwa dah pole ODM mie nimepona