Wishing you a Speedy Recovery Asprin

Wishing you a Speedy Recovery Asprin

Mh... ZD umenipiga changa la macho..lol. Nijuavyo mimi kuomba ni kuomba bana haijalishi aina gani ya ugonjwa. Kuna mtu Mafua yanamlaza kitandani wakati malaria sugu haimlazi hivyo wewe omba tu hata kama hujui Asprin anaumwa nini..
Kujua anaumwa nini ni muhimu.Si unajua Imani inahitajika katika maombi?na kila ugonjwa una kiwango chake cha IMANI.Huwezi fananisha Mafua na Malaria sugu.
 
Back
Top Bottom