Wishing you a Speedy Recovery Asprin

Nimefurahi kukuona jukwaani, ulipotea kidogo. Babu ODM pole sana mkuu, dua zote ni kwako mkuu.

he he he! Asante Losambo, heri ya mwaka mpya..kama tuliwahi kukutana mahali vile lol
 
TF alinidekeza mno
Yaani ulikuwa unanikera sana, mie najitahidi kutengeneza juice afu eti unagoma kunywa mpaka TF awepo, bahati yako umeamka leo nilipanga nikupikie uji afu niuweke vitunguu swaumu, nyanya na pili pili hoho, ungekoma leo.
 
Mweeh umeona nilivo na mungu? Shindwa na ulegee
 
Yaani ulikuwa unanikera sana, mie najitahidi kutengeneza juice afu eti unagoma kunywa mpaka TF awepo, bahati yako umeamka leo nilipanga nikupikie uji afu niuweke vitunguu swaumu, nyanya na pili pili hoho, ungekoma leo.
halafu ungemrushia kwa PM?
 
nahisi magoti kulegea na kajasho kwa mbaaaaaali!
Nini tatizo tena? Hapo nimesema kwa maneno kuwa nakupenda umelegea, itakuwa vipi nikikupenda kwa vitendo? Unantisha bana ila Usijeumwa tu tafadhali manake ukiumwa mie ntakufa jamani...lol.
 
Pole sana mzee mwenzangu,

Utapona tu, kwani utakumbuka wazee wetu walivyotuasa kuwa, "ugonjwa siyo kifo"!!

Tunakusubiri ili tumalizie hiki kibarua cha kuwalea wajukuu!!

Babu DC!!
 
Asante DA...nilistuka nilipoona unaumwa sanjali na mzee wa maternity ward nikajua labda kijana wa bilioni saba na mia anawasili

Mmmmhh hata wewe umefikia huku siamini
 
Reactions: GY
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…