Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,273
samahani!
Kumbe unaheshima hivi shem?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
samahani!
Nimefurahi kukuona jukwaani, ulipotea kidogo. Babu ODM pole sana mkuu, dua zote ni kwako mkuu.
Yaani ulikuwa unanikera sana, mie najitahidi kutengeneza juice afu eti unagoma kunywa mpaka TF awepo, bahati yako umeamka leo nilipanga nikupikie uji afu niuweke vitunguu swaumu, nyanya na pili pili hoho, ungekoma leo.TF alinidekeza mno
Tutahitaji elimu via thread juu ya hili!
Yaani ulikuwa unanikera sana, mie najitahidi kutengeneza juice afu eti unagoma kunywa mpaka TF awepo, bahati yako umeamka leo nilipanga nikupikie uji afu niuweke vitunguu swaumu, nyanya na pili pili hoho, ungekoma leo.
Thanx dia, nimekupata.
...karibu 2012 Mwj1 it's all about maamuzi,...pls pls nifikishie salamu kwa huyu mzee mwenzangu.
GY heri ya mwaka mpya
TF alinidekeza mno
nahisi magoti kulegea na kajasho kwa mbaaaaaali!Nnavyokupenda kweli ntaweza kukuchangia?..labda mimi na wewe tumchangie Husninyo..
Kumbe unaheshima hivi shem?
halafu ungemrushia kwa PM?Yaani ulikuwa unanikera sana, mie najitahidi kutengeneza juice afu eti unagoma kunywa mpaka TF awepo, bahati yako umeamka leo nilipanga nikupikie uji afu niuweke vitunguu swaumu, nyanya na pili pili hoho, ungekoma leo.
Nini tatizo tena? Hapo nimesema kwa maneno kuwa nakupenda umelegea, itakuwa vipi nikikupenda kwa vitendo? Unantisha bana ila Usijeumwa tu tafadhali manake ukiumwa mie ntakufa jamani...lol.nahisi magoti kulegea na kajasho kwa mbaaaaaali!
unajisikiaje hali shem?
Ni sweetlady kanambia bila kumu adab sipati kitu.
Asante DA...nilistuka nilipoona unaumwa sanjali na mzee wa maternity ward nikajua labda kijana wa bilioni saba na mia anawasili