Wishing you a Speedy Recovery Asprin

Sweet lady ODM analalama uliahidi kupeleka matunda but bado hayafiki..... Yamepotelea wapi? lol
Lol wifi, mwambie nipo karibu kufika asijali. Nilikuwa napiga mbizi ndio mana waona nimechelewa, endelea kumpatia uji..
 
Lol wifi, mwambie nipo karibu kufika asijali. Nilikuwa napiga mbizi ndio mana waona nimechelewa, endelea kumpatia uji..



Yaani wewe ingekua sina matunda ya ziada kweli tungekosana am telling you.....lol.... Uji kagoma eti labda nitie Whiskey kidogo.
 
Mungu atakuponya
babu yangu.
Kaka Kaizer pole,
natumaini utapona kwa uweza wa mungu.
Tumieni dawa kwa maelekezo na ushauri
wa daktari.
 
Pole sn my swty babu,wajukuu tunakumiss sn,na upone haraka kwan tunakusubiri kwa hamu huku PM kwan hakuna mkaguzi wa kiwango chako kwa wajukuu,tumejipanga imara wala hatumwogopi tena eliza wa tegeta lol!
 
Yaani wewe ingekua sina matunda ya ziada kweli tungekosana am telling you.....lol.... Uji kagoma eti labda nitie Whiskey kidogo.
Ha ha ha... Ukiona mgonjwa kama ODM anagoma na kukumbuka wiski ujue nafuu ni kubwa sana na karibu tutamwona kwenye keyboard, hivyo wifi wala usitishike na huo mgomo wake...
 
Wapendwa wana jf nimewasiliana na babu yetu kipenzi Asprin, hali yake bado sio nzuri hivyo anaomba mzidi kumwombea..


Mbarikiwe sana!
 
Ina maana ODm bado yupo Maternity Ward?
Lol... Maternity Ward ashatoka na kwa sasa yupo nyumbani ila hali yake bado sio nzuri... Ongeza maombi Manyanza afya ya ODM itengemae...
 
Wapendwa wana jf, Asprin a.k.a ODM bado mgonjwa kitandani, anasema anawashukuru kwa yote zaidi sana maombi yenu na anawaomba mzidi kumwombea ili hatimaye apone kabisa. Amesisitiza kuwa anawapenda wote na anawamiss sana. Ametuma salamu zake spesho kwa AshaDii, Kaizer, Mj1, Fidel, RR, GY, Black Woman, Cantalisia, MTM, Teamo!
 



Sad kua aendelea vibaya... Tunazidi muombea SL na Tunashukuru saana kwa Updates...
Tell him we Wish him all the Best, na leo baadae tutapita home na familia nzima.
 
Sad kua aendelea vibaya... Tunazidi muombea SL na Tunashukuru saana kwa Updates...
Tell him we Wish him all the Best, na leo baadae tutapita home na familia nzima.
Mbebe na take away zenu kabisa manake si unajua nyumba ya mgonjwa inapikwa uji tu, tena wa malimao...
 
so na wewe tukuletee nini SL au unakunywa uji wa mgonjwa?:A S-coffee:
Mie pia nimegoma kula chakula, nakunywa uji mpaka mgonjwa atakapopona....mkinibebea juice ntashukuru... Iwe home made tafadhali.
 
Pole sana mate kwa kuugua, tunakuombea kwa Mungu upone haraka na kurejelea hali yako.
 


....duuhh, afadhali simo...wengine kwetu imani potofu bana, ukitumiwa salamu na mgonjwa ujue lako laja!
😛hoto:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…