Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol wifi, mwambie nipo karibu kufika asijali. Nilikuwa napiga mbizi ndio mana waona nimechelewa, endelea kumpatia uji..
Ha ha ha... Ukiona mgonjwa kama ODM anagoma na kukumbuka wiski ujue nafuu ni kubwa sana na karibu tutamwona kwenye keyboard, hivyo wifi wala usitishike na huo mgomo wake...Yaani wewe ingekua sina matunda ya ziada kweli tungekosana am telling you.....lol.... Uji kagoma eti labda nitie Whiskey kidogo.
Wapendwa wana jf, Asprin a.k.a ODM bado mgonjwa kitandani, anasema anawashukuru kwa yote zaidi sana maombi yenu na anawaomba mzidi kumwombea ili hatimaye apone kabisa. Amesisitiza kuwa anawapenda wote na anawamiss sana. Ametuma salamu zake spesho kwa AshaDii, Kaizer, Mj1, Fidel, RR, GY, Black Woman, Cantalisia, MTM, Teamo!
Mbebe na take away zenu kabisa manake si unajua nyumba ya mgonjwa inapikwa uji tu, tena wa malimao...Sad kua aendelea vibaya... Tunazidi muombea SL na Tunashukuru saana kwa Updates...
Tell him we Wish him all the Best, na leo baadae tutapita home na familia nzima.
Mbebe na take away zenu kabisa manake si unajua nyumba ya mgonjwa inapikwa uji tu, tena wa malimao...