Elections 2010 With 70% Voters' turnout, Slaa Wins; Less than that Kikwete Wins - My Prediction:

Elections 2010 With 70% Voters' turnout, Slaa Wins; Less than that Kikwete Wins - My Prediction:

MK hiyo ya kura kuibiwa i agree with you have a look at this

21,AS36024,datavision.co.tz,jkikwete.com,jkikwete2010.com,jmkikwete.com,mail.jkikwete2010.com,mail.pmo.go.tz,nec.go.tz,pmo.go.tz,www.datavision.co.tz,www.nec.go.tz,www.pmo.go.tz%211AS2,0NET1,0PTR3,3A0,4A0,5A0,6A0,7A0,8A0,9A0,10A0,11A0,12A0,13A0%215.png

Mkuu wengine tuwachovu sana wa IT, nadhani unamaanisha hizo website zote zinashea IP code moja!!!! Please naomba utoe maelezo ya ziada
 
Mkuu wengine tuwachovu sana wa IT, nadhani unamaanisha hizo website zote zinashea IP code moja!!!! Please naomba utoe maelezo ya ziada

Website zote zimekuwa hosted katika server moja,kwanini server inayo host NEC ndio inayo host jkikwete2010.com, Hapa nina wasiwasi sana ukijaribu ku-ping all the above sites eg ping nec.go.tz, kisha jmkikwete.com the same ip address ina reply ina maana lolote laweza kufanyika
 
Not more than 2 hours. I believe we can afford that. Uwezo tunao. Sababu tunayo. Tuweke NIA sasa

Mimi ningeshauri uhakikishe Jumapili unawahi mapema kwenye kituo cha kupigia kura ili uweze kuitumia haki yako vizuri kuchagua kiongozi anayefaa
 
Mzee Mwanakijiji
Heshima kwako
Tunashukuru kwa uchambuzi wako, naomba kama upo karibu na viongozi wetu, tumwombe Dr Slaa, jumamosi awe hewani japo kidogo ata dakika mbili -tatu kuondoa huu wasiwasi wa wizi wa kura ili watu wajitokeze kupiga kura. Binafsi sina shaka na nimejiandaa iyo jumapili kwenda kumpigia kura.
 
Guys, wizi wa kura utafanywa kwa njia ya mtandao, this is very possible, ukiangalia kwa makini utatambua ya kuwa hizi website zote zimekuwa hosted katika server moja, how comes server inayo host NEC ina host jkikwete2010.com, Hapa kuna conflicting interests.... ping all the above sites eg ping nec.go.tz, kisha jmkikwete.com the same ip address ina reply

With this naoba nimhakikishie MKJJ kuwa wizi wa kura upo!!! Hakuna cha systems or nduguye na systems!!!
 
Ni miezi miwili sasa watanzania tumekuwa tukisikiliza sera za vyama tofauti. Ni hivi karibuni watanzania watafikia kufanya maamuzi magumu ya kubadilisha uongozi wa serikali kwa kuajiri kiongozi mwingine tofauti na JK kupitia sanduku la kura.

Kama Mwanakijiji alivyosema hapo juu kuwa haya matumaini ya maamuzi magumu hayawezi kufanyika kama wapenda mageuzi hawatajitokeza kwa wingi kufanya hayo maamuzi magumu kuchukuwa nafasi na historia ya nchi yetu. Nina hakika kuna baadhi wa wananchi watakuwa wamejiandikisha kupiga kura lakini siku hiyo waweza kujisikia wavivu au wagonjwa na kushindwa kwenda kupiga kura. Ningependa kuchukuwa nafasi hii kuwaomba watanzania wenzangu kuhakikisha kuwa hakuna mtu anachezea hiyo nafasi lulu kwa Taifa letu.

Tuhakikishe tunahamasisha wenzetu wajitokeze siku hiyo kupiga kura. Kama kuna wale ambao wanaona kuwa watashindwa kufika kwenye kituo cha kupigia kura kwa sababu za ugonjwa, unaweza kumuomba hata jirani yako akusindikize ili utimize kufanya haya mabadiliko.
Kwa walioko jijini Dar, ukishindwa kwenda kupiga kura kwa sababu ya ugonjwa......tuwasiliane kwa email indumeyene@jamiiforums.com ili nikupe namba ya simu na kuweza kupata huduma ya usafiri kwenda kwenye kituo chako cha kupigia kura.
MAAMUZI MAGUMU NA YA KWELI YANAHITAJIKA SASA, NAKUPENDA TANZANIA.
 
Website zote zimekuwa hosted katika server moja,kwanini server inayo host NEC ndio inayo host jkikwete2010.com, Hapa nina wasiwasi sana ukijaribu ku-ping all the above sites eg ping nec.go.tz, kisha jmkikwete.com the same ip address ina reply ina maana lolote laweza kufanyika

Mkuu kama hizo website zote ziko kwenye server moja, it is likely database ya NEC iko serviced na mwenye server!! Sasa hapa ndo ile maneno ya kuchakachua daftari inakuja vizuri!!! Wizi utafanyika katika daftari, watakuwa wamefanyia kazi maeneo yote ambapo CHADEMA wana nguvu, and so kuondoa possible voters!!! Or something!!!

I predict kutakuwa na matatizo makubwa on sunday ktk vituo vingi!!! They know for sure kwa uhalali hali ni mbaya kwao!! Cha msing tujitokeze kwa wingi!!!!
 
My intitial prediction was 40, 30, 30 being Kikwete, Slaa and then Lipumba. However the Lipumba's vote could go JK's way like about !0% an then 5 % to Slaa. Then with slim marging Mkwere atarudia ufalme. hata kwa ile 40, 30, 30 bado Mkwere angeshinda kisa mabadiliko ya katiba ya Mshindi kashinda na si uwiano wa kura;Senksi to Nkapa!
 
Mzalendo2010, hebu naomba unieleze kinaga ubaga how kura hizo zitaibiwa kwavile NEC na mgombea mmojawapo wapo hosted in one server? Kwanza hao host wapo wangapi Tanzania hii (assuming this host server is in Tanzania). Pili; hizo kura mpaka zifike humo what happens? Nilivyoelewa mimi ni kwamba kura zinapigwa kwenye vituo, zinasafirishwa hadi wilayani, zinhesabiwa na kuhakikiwa na mawakili kutoka kila chama, na kuanzia hapa sijui kusema ya kweli lakini nadhani zinapelekwa NEC whether online or otherwise na somewere along these lines zinaingizwa online for all to view. Sasa, in between kuhakikiwa na mawakala na hapo zinapoingia online ndipo "zinapoibiwa"? Mawakala si watakuwa na "actuals" za kila kituo and/or wilaya? Au am I missing something here?

Naomba ufafanuzi manake naona umelishikia bango hili swala la host server moja.

Hilo likifanyika ni jema. Lakini, je inakuwaje pale ambapo watu wakaanzisha vurugu za ki Green guard ili pavurugike na watu wale kichapo ndo wapeleke kura wilayani? Mie naamini kwamba hapo ndipo mahali wanapopenyeza hizo kura zao feki, na by the time mnafika wilayani, maboks kibao feki yamejazwa!
 
My intitial prediction was 40, 30, 30 being Kikwete, Slaa and then Lipumba. However the Lipumba's vote could go JK's way like about !0% an then 5 % to Slaa. Then with slim marging Mkwere atarudia ufalme. hata kwa ile 40, 30, 30 bado Mkwere angeshinda kisa mabadiliko ya katiba ya Mshindi kashinda na si uwiano wa kura;Senksi to Nkapa!

I agree, but I predict JK wins by more 70%. In addition to scooping Lipumba's votes as you rightly put it JK is likely to benefit from the newly recruited CCM young voters. My prediction is drawn from the fact that opposition parties were surprized by irregular increment of about 3 million potential voters relative to 2005 elections. My guts tell me that the majority of the 3 million potential voters are likely to belong to CCM. My prediction.
 
WABUNGE wa kuchaguliwa wa CHADEMA hawatafika 30. Dr Slaa hatapata asilimia 20 ya kura halali zitakazopigwa. Kwa nini?:
1.Mazingira ni yaleyale sawa na mwaka 2005
2. KATIBA ya JMT ni ileile
3. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ni ileile na Mwenyekiti wake
4.WATANZANIA ni walewale na mapenzi yao kwa CCM
5. Vyombo vya DOLA na WATUMISHI wa UMMA ni walewale ambao kwao Dr Slaa ni balaa sio neema
6.Tunachokiendesha hapa Tanzania sio UCHAGUZI bali ni maigizo yake.
7. Dr Slaa amesema mara kadhaa hakuutaka URAIS
8.Bado CHADEMA inaonekana machoni pa wajinga wengi kuwa ina wenyewe. Dr Slaa anatumika tu kama ngazi.
9. Dr Slaa ni "OUTSIDER"
Tukumbushane tarehe 01/11/2010.

Huu ni mtazamo wako.
Labda nikupe intro ndogo tu ya sie tunaoshinda vijijini. Hamasa ya watu wa vijijini (ambako wapigakura ni wengi kuliko sisi wa mjini) kuhusu uchaguzi wa mwaka huu ni kubwa sana na kuna uwezekano mdogo sana wa JK kushinda kwa maeneo ya vijijini.
 
Nipo katika CCM wengi nao wanasema watampigia kura Dr Slaa na pia nilikuwa sehemu kama Dodoma ambaye miaka mingi sana ilikuwa chini ya CCM ila kipindi hiki watu wamemka sana na pia na Mungu saidia Slaa atakuwa Rais wetu mpya
 
nilisema ni vigumu.. na nimeweka ushahidi jana kwanini ni vigumu kuiba kura. Hivi kweli ingekuwa rahisi hivyo JK angehangaika hivi? Msichojua ni kuwa wakati CCM wamekubali mabadiliko ya utaratibu wa kuhesabu kura na kutengenezwa kwa mfumo wa kisasa wa kukusanya matokeo (kama nilivyowawekea hapa jana) hawakutegemea kuwa mgombea mwingine angekuwa ni Dr. Slaa na ambacho hawakukitegemea kabisa kabisa ni mwitikio wa wananchi kwa Dr. Slaa.

Kiilichowaharibu zaidi ni kuwa tuhuma na madongo ya awali waliyarusha mapema mno kiasi kwamba yalishindwa kuganda. Lakini unyasi uliovunja mgongo wa punda ni ile ya ITV. Sasa hivi JK na wengine wote wako at the mercy of the voters. Ndio maana haya maneno ya "kura zitaibwa" yanarudiwa rudiwa kisaikolojia (pyschological manipulation) ili watu wasiende kupiga kura wakijua kura zitaibwa tu.. guess who benefit if people don't show up to vote?
Nakubaliana kabisa na wewe kwamba ni muhimu sana sote tukaenda kupiga kura maana hiyo ni hatua ya kwanza muhimu kuliko zote katika kuleta mabadiliko katika mfumo wowote wa kidemokrasia.
But honestly Mwanakijiji, unafikiri kama Dr. Slaa atashinda, dola hii yenye kuunganishwa na chama tawala katika mambo karibu yote, itakubali kuruhusu mapenzi ya wananchi yatimie bila upinzani wowote?
 
WABUNGE wa kuchaguliwa wa CHADEMA hawatafika 30. Dr Slaa hatapata asilimia 20 ya kura halali zitakazopigwa. Kwa nini?:
1.Mazingira ni yaleyale sawa na mwaka 2005
2. KATIBA ya JMT ni ileile
3. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ni ileile na Mwenyekiti wake
4.WATANZANIA ni walewale na mapenzi yao kwa CCM
5. Vyombo vya DOLA na WATUMISHI wa UMMA ni walewale ambao kwao Dr Slaa ni balaa sio neema
6.Tunachokiendesha hapa Tanzania sio UCHAGUZI bali ni maigizo yake.
7. Dr Slaa amesema mara kadhaa hakuutaka URAIS
8.Bado CHADEMA inaonekana machoni pa wajinga wengi kuwa ina wenyewe. Dr Slaa anatumika tu kama ngazi.
9. Dr Slaa ni "OUTSIDER"
Tukumbushane tarehe 01/11/2010.

"WildCard;

Tukumbushane tarehe 01/11/2010."

I completely agree with you. I am sure come 1st Nov the mood in JF will not be the same. Kilio kitakachotawala ni kile kile "tumeibiwa"

Lakini wakae wakijua CCM haijawahi kudharau upinzani toka umeanza. pamoja na kelele nyingi zinazoendelea kwa sasa, CCM wameamua kula jiwe wakingoja kwa hamu jumapili.

My prediction; a big surprise is on the way.

Bandungu Wild Card na The Good mnaweza kuwa mko sawa, ila nimeshindwa kuelewa mnatumia kigezo gani kunihakikisha kuwa Watanzania hata wafanywe nini hawawezi kuwa na mawazo mbadala.

Kumbuka kampeni za afya, elimu au matangazo ya biashara ya kuuza vocha, sabuni, soda, kondomu, bia nk hayana tofauti na kampeni za siasa. Kama kungekuwa hakuna nafasi ya kubadili mtizamo, msimamo au mwenendo wa walengwa hakuna mtu angeweka msisitizo kwenye kampeni/matangazo.

Kuamini pamoja na mapinduzi yote ya teknolojia bado Watanzania ni wale wa 1995, ni kupotosha ukweli kwani voda, tigo, radio na TV stations zingeshafunga virago
 
Pumba tupu, when did Tanzania have 70% of voters voting?
 
wow... I'm just thinking..
No, Mzee Mwanakijiji! It is the other way round! It was low voter turnout that helped CHADEMA got the votes they garnered! Wanaoipenda CCM ndiyo wengi hawakwenda kupiga kura. It is CCM members who are normally complacent and don't turn out in big numbers to vote, especially women and the aged. "CCM tutashinda tu hata nisipokwenda kupiga kura", they would say. But show me vijana wa CHADEMA ambao this time around hawakwenda kupiga kura? Wakisaidiwa na wasaliti wenye vinyongo BINAFSI ndani ya CCM (siyo walioichoka CCM). Complacency hii ya wanaCCM kutokwenda kupiga kura, na mahali pengine siyo complacency bali vitisho na hila za wapinzani dhidi ya wanawake na wazee wa CCM, (of course na usaliti) vikitafutiwa dawa na CCM, come 2015 wapinzani watashangaa! Wabunge wao watakuwa wachache Bungeni kuliko ilivyokuwa 2005 - 2010.
 
Back
Top Bottom