Elections 2010 With 70% Voters' turnout, Slaa Wins; Less than that Kikwete Wins - My Prediction:

Tatizo lingine ni uharisia wa hizo figure.hivyo analysis inakuwa haitaonyesha uharisia
 
from independence until 2005 Tanzania has never had voters turnout less than 70 percent.. the first time ni 2010 ikiwa na voters ya 42%
And that is because kura zilichakachuliwa na NEC. Sijaona sababu yeyote uchaguzi wa 2010 uwe na lower turn out wakati uhamasikaji ulikuwa wa hali ya juu sana. The only way Kikwete won was for NEC to "claim" that the voter turn out was 42%. A claim that cannot be independently verified, by the way.
 
halafu ukimsahihisha mtu hana ujasiri wa kukiri kuwa alikosea; na wala haoneshi kushtusha na matokeo kuwa katika chaguzi 9 zilizotangulia hatujawahi kuwa na asilimia chini ya 70 lakini 2010 ati asilimia 42!!!
 
from independence until 2005 Tanzania has never had voters turnout less than 70 percent.. the first time ni 2010 ikiwa na voters ya 42%

Mkuu, your prediction turned out to be true that goes without saying that your analysis of the context at the time was realistic!
 
Mkuu amka Usingizini
 
halafu ukimsahihisha mtu hana ujasiri wa kukiri kuwa alikosea; na wala haoneshi kushtusha na matokeo kuwa katika chaguzi 9 zilizotangulia hatujawahi kuwa na asilimia chini ya 70 lakini 2010 ati asilimia 42!!!
Lakini Mwanakjj nakulaumu wewe kwa kuwapa NEC mwangaza wa kuchakachua. Walipoisoma makala hii wakapata wazo la kupunguza idadi ya wapiga kura ili kuhalalisha ushindi haramu wa Kikwete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…