Witkoff: Israel inaendeleza vita lakini hatuoni maendeleo kwenye vita yenyewe dhidi ya Hamas

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
695
Reaction score
1,817
Israel inaendeleza vita japo hatuoni mabadiliko na maendeleo kwenye vita.

Us inataka mateka wote warudi lkn Israel haitaki kumaliza vita

Witkoff:-mjumbe wa marekani middle east

wakati marekani inaona vita dhidi ya Hamas haiwezi kuisha na hatua ya Hamas kutokuwa na silaha ni jambo ambalo haliwezekani kama serikali ya Netanyau inavyotaka hivyo USA wakaamua kufanya makubaliano ya siri na Hamas ili mateka ambaye ni muisrael na mwenye uraia wa marekani Edan Alexander aachiwe bila ya serikali ya Israel kujulishwa.

Hali kadhalika Hamas wanasema

"Kurudi kwa Edan Alexander ni matokeo ya mazungumzo ya kina na serikali ya US na jitihada ya wapatanishi na sio sababu ya nguvu ya kijeshi na mashambulizi.

"Netanyau anawadanganya watu wake na ameshindwa kurudisha mateka kwa nguvu ya kijeshi.
 
Tulieni dawa inaingia mpaka ndani kabisa!!! Israel wao ndiyo vita vimeanza haya ni maandaalizi tu vita Kamili subiri Trump aondoke Mashariki ya kati ndipo utaona fumua-fumua ya IDF!!. Kufanya mazungumzo na Marekani na kuitenga Israel ni kuruka matope na kukanyaga kinyesi hakutawasaidia hamas chochote. Na hamas wanajipendekeza kuwaachia huyo mateka ili kupata huruma tu kutoka kwa Israel. Ukweli utabaki palepale Hamas lazima wawaachie wale mateka na kundi hilo la kigaidi liangamizwe kwa udi na uvumba IDF haiangalii makunyanzi ya Wafuga Midevu na Majini.

Kwa sasa endeleeni tu kujitekenya harafu mnacheka wenyewe kama watoto wa Nguruwe, Mpaka vita hivi viishe Hamas wanakuwa wamejuta sana kufanya mashambulizi ya Oct 07,2023.
 
Hakuna gia wala cluch,dhumuni kuu ni kurudisha mateka home.
Basi kama dhumuni kuu ni mateka, wanafanya makosa sana kupukutisha makamanda wetu tena wakiwa hospitali
 
Hao Mashoga inaenda mwaka wa pili wameshindwa kuwakomboa mateka
Unapata ujasiri wa kuwaita mashoga kwa sababu upo zako hapo Mbagala Kingugi ukitafuna muhindi wa kuchoma una wasiwasi gani?!

Hapo Mashariki Ya Kati kuna watu ukiwatamkia tu neno izrail wanatimua mbio hawataki hata kuwasikia hao watu
 
Hakuna gia wala cluch,dhumuni kuu ni kurudisha mateka home.
Kabla sijamaliza kuandika, kiongozi mkuu wa sasa wa Hamas ameshauawa na IDF
Screenshot_2025-05-14-09-49-52-665_com.twitter.android.jpg
 
Hao Mashoga inaenda mwaka wa pili wameshindwa kuwakomboa mateka
Wewe ndiye SHOGA hao waliotekwa ni watu wao na ni lazima juhudi zote zitumike kuwakomboa hata iwe miaka mitano kinachotakiwa wakombolewe.

Nakushangaa wewe SHOGA ambaye anasema wameshindwa kuwakomboa wakati asilimia kubwa tayari walishakombolewa.
Oct 07,2023 waliua watu 1,200 na kuteka watu 251 na mpaka leo hii mateka waliobaki ni 58 tu hayo wewe SHOGA uliyekubuhu huyaoni.

Cha kushangaza kabisa hujui wapalestina zaidi ya 50,000 walishauwawa Gaza peke yake kwa sababu tu ya mateka 251 waliotekwa na magaidi hao. Tumia akili yako vizuri mjinga wewe!!!
 
Tulieni dawa inaingia mpaka ndani kabisa!!! Israel wao ndiyo vita vimeanza haya ni maandaalizi tu vita Kamili subiri Trump aondoke Mashariki ya kati ndipo utaona fumua-fumua ya IDF!!. Kufanya mazungumzo na Marekani na kuitenga Israel ni kuruka matope na kukanyaga kinyesi hakutawasaidia hamas chochote. Na hamas wanajipendekeza kuwaachia huyo mateka ili kupata huruma tu kutoka kwa Israel. Ukweli utabaki palepale Hamas lazima wawaachie wale mateka na kundi hilo la kigaidi liangamizwe kwa udi na uvumba IDF haiangalii makunyanzi ya Wafuga Midevu na Majini.

Kwa sasa endeleeni tu kujitekenya harafu mnacheka wenyewe kama watoto wa Nguruwe, Mpaka vita hivi viishe Hamas wanakuwa wamejuta sana kufanya mashambulizi ya Oct 07,2023.
nimecheka sana...eti vita ndo kwanza inaanza
 
Dogo tuliza kipwinto hicho,au unatafuta basha?Mi situmii kisamvu.
 
Tulieni dawa inaingia mpaka ndani kabisa!!! Israel wao ndiyo vita vimeanza haya ni maandaalizi tu vita Kamili subiri Trump aondoke Mashariki ya kati ndipo utaona fumua-fumua ya IDF!!. Kufanya mazungumzo na Marekani na kuitenga Israel ni kuruka matope na kukanyaga kinyesi hakutawasaidia hamas chochote. Na hamas wanajipendekeza kuwaachia huyo mateka ili kupata huruma tu kutoka kwa Israel. Ukweli utabaki palepale Hamas lazima wawaachie wale mateka na kundi hilo la kigaidi liangamizwe kwa udi na uvumba IDF haiangalii makunyanzi ya Wafuga Midevu na Majini.

Kwa sasa endeleeni tu kujitekenya harafu mnacheka wenyewe kama watoto wa Nguruwe, Mpaka vita hivi viishe Hamas wanakuwa wamejuta sana kufanya mashambulizi ya Oct 07,2023.
WENZAKO huko Tela Aviv wanaishi kwenye mashimo Al Houth hacheki na kima.
 
Ile sio vita, ni mauaji holela ya raia wa Palestina. Wengi wetu kama tungezaliwa Palestina basi tungeishia kuwa 'magaidi', hata uwe mpenda amani kiasi gani, hauwezi kuvumilia ushenzi ule wa wayahudi.
 
Nina uhakika hujui hata maana ya mauaji ya Holela umekaririshwa ujinga na wewe unauongea hivyo hivyo kama ulivyokaririshwa!! Acha ujinga!!
 
Israel inaendeleza vita japo hatuoni mabadiliko na maendeleo kwenye vita.

Us inataka mateka wote warudi lkn Israel haitaki kumaliza vita

Witkoff:-mjumbe wa marekani middle east

wakati marekani inaona vita dhidi ya Hamas haiwezi kuisha na hatua ya Hamas kutokuwa na silaha ni jambo ambalo haliwezekani kama serikali ya Netanyau inavyotaka hivyo USA wakaamua kufanya makubaliano ya siri na Hamas ili mateka ambaye ni muisrael na mwenye uraia wa marekani Edan Alexander aachiwe bila ya serikali ya Israel kujulishwa.

Hali kadhalika Hamas wanasema

"Kurudi kwa Edan Alexander ni matokeo ya mazungumzo ya kina na serikali ya US na jitihada ya wapatanishi naa sio sababu ya nguvu ya kijeshi na mashambulizi.

"Netanyau anawadanga.nya watu wake na ameshindwa kurudisha mateka kwa nguvu ya kijeshi.
Lengo la Israel hapo ni ardhi fikilia kwa umakini ndiyo utagundua. Na Hamas wanajua now hata wakiachia hao mateka ardhi Israel hatoiachia ndiyo maana hawaachii mateka maana now Israel hawawazi mateka Kama wanavyowaza ardhi
 
Kinachotakiwa ni magaidi wa Hamas watokomezwe hakuna cha Mateka wala ardhi maadam walifanya ujinga wao Oct 07,2023 basi lazima wapigwe kwa nguvu zote kabisa!!
 
Wahouth wala si tishio makombola yao kila leo yanapopolewa bila kuleta madhara yoyote
We uliwahi ona lini Israel akasema kapigwa wakionyesha Missiles basi zimetoka nje ya target. Zinazo piga target hawasemi.
 
Back
Top Bottom