Ulivyo mjinga unafikiri kwa utandawazi uliopo unaweza kuficha habari!! Ni mjinga tu kama wewe unaweza kuamini hivyo. Kila mtu ana simu Janja kuna waarabu wengi sana huku wanaweza kurusha tukio lolote kwenye boombox vya habari.We uliwahi ona lini Israel akasema kapigwa wakionyesha Missiles basi zimetoka nje ya target. Zinazo piga target hawasemi.
Kila mmoja anatoa tafsiri ya vita hiyo kadiri ubongo utakavyomuelekeza.Israel inaendeleza vita japo hatuoni mabadiliko na maendeleo kwenye vita.
Us inataka mateka wote warudi lkn Israel haitaki kumaliza vita
Witkoff:-mjumbe wa marekani middle east
wakati marekani inaona vita dhidi ya Hamas haiwezi kuisha na hatua ya Hamas kutokuwa na silaha ni jambo ambalo haliwezekani kama serikali ya Netanyau inavyotaka hivyo USA wakaamua kufanya makubaliano ya siri na Hamas ili mateka ambaye ni muisrael na mwenye uraia wa marekani Edan Alexander aachiwe bila ya serikali ya Israel kujulishwa.
Hali kadhalika Hamas wanasema
"Kurudi kwa Edan Alexander ni matokeo ya mazungumzo ya kina na serikali ya US na jitihada ya wapatanishi na sio sababu ya nguvu ya kijeshi na mashambulizi.
"Netanyau anawadanganya watu wake na ameshindwa kurudisha mateka kwa nguvu ya kijeshi.
We dogo Al Houthi bado huwajui we tulizana tu waswahili wanasema safari sio kifo hata tukienda pole pole tutafika tu. We kenge huwa unawamini sana wanacho ongea makondoo walio potea.Ulivyo mjinga unafikiri kwa utandawazi uliopo unaweza kuficha habari!! Ni mjinga tu kama wewe unaweza kuamini hivyo. Kila mtu ana simu Janja kuna waarabu wengi sana huku wanaweza kurusha tukio lolote kwenye boombox vya habari.
Na ulivyo mjinga unaamini kila wanalolisema Houthi bila udhibitisho wowote hata hapo uwanja wa ndege wa Ben Gulion kombola lao lilipiga nje ya uwanja.
Ben gullionUlivyo mjinga unafikiri kwa utandawazi uliopo unaweza kuficha habari!! Ni mjinga tu kama wewe unaweza kuamini hivyo. Kila mtu ana simu Janja kuna waarabu wengi sana huku wanaweza kurusha tukio lolote kwenye boombox vya habari.
Na ulivyo mjinga unaamini kila wanalolisema Houthi bila udhibitisho wowote hata hapo uwanja wa ndege wa Ben Gulion kombola lao lilipiga nje ya uwanja.
Mwamba wa buza unavyoijua vita ya middle east hata netanyahu mwenyewe umempita 😂😂Ulivyo mjinga unafikiri kwa utandawazi uliopo unaweza kuficha habari!! Ni mjinga tu kama wewe unaweza kuamini hivyo. Kila mtu ana simu Janja kuna waarabu wengi sana huku wanaweza kurusha tukio lolote kwenye boombox vya habari.
Na ulivyo mjinga unaamini kila wanalolisema Houthi bila udhibitisho wowote hata hapo uwanja wa ndege wa Ben Gulion kombola lao lilipiga nje ya uwanja.