son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 695
- 1,817
Tulieni dawa inaingia mpaka ndani kabisa!!! Israel wao ndiyo vita vimeanza haya ni maandaalizi tu vita Kamili subiri Trump aondoke Mashariki ya kati ndipo utaona fumua-fumua ya IDF!!. Kufanya mazungumzo na Marekani na kuitenga Israel ni kuruka matope na kukanyaga kinyesi hakutawasaidia hamas chochote. Na hamas wanajipendekeza kuwaachia huyo mateka ili kupata huruma tu kutoka kwa Israel. Ukweli utabaki palepale Hamas lazima wawaachie wale mateka na kundi hilo la kigaidi liangamizwe kwa udi na uvumba IDF haiangalii makunyanzi ya Wafuga Midevu na Majini.Israel inaendeleza vita japo hatuoni mabadiliko na maendeleo kwenye vita.
Us inataka mateka wote warudi lkn Israel haitaki kumaliza vita
Witkoff:-mjumbe wa marekani middle east
wakati marekani inaona vita dhidi ya Hamas haiwezi kuisha na hatua ya Hamas kutokuwa na silaha ni jambo ambalo haliwezekani kama serikali ya Netanyau inavyotaka hivyo USA wakaamua kufanya makubaliano ya siri na Hamas ili mateka ambaye ni muisrael na mwenye uraia wa marekani Edan Alexander aachiwe bila ya serikali ya Israel kujulishwa.
Hali kadhalika Hamas wanasema
"Kurudi kwa Edan Alexander ni matokeo ya mazungumzo ya kina na serikali ya US na jitihada ya wapatanishi na sio sababu ya nguvu ya kijeshi na mashambulizi.
"Netanyau anawadanganya watu wake na ameshindwa kurudisha mateka kwa nguvu ya kijeshi.
Lengo ni kuwaua makamanda wa Hamas. Hiyo ya mateka ni gia tu ya kuwauainaenda mwaka wa pili wameshindwa kuwakomboa mateka
Hakuna gia wala cluch,dhumuni kuu ni kurudisha mateka home.Lengo ni kuwaua makamanda wa Hamas. Hiyo ya mateka ni gia tu ya kuwaua
Basi kama dhumuni kuu ni mateka, wanafanya makosa sana kupukutisha makamanda wetu tena wakiwa hospitaliHakuna gia wala cluch,dhumuni kuu ni kurudisha mateka home.
Unapata ujasiri wa kuwaita mashoga kwa sababu upo zako hapo Mbagala Kingugi ukitafuna muhindi wa kuchoma una wasiwasi gani?!Hao Mashoga inaenda mwaka wa pili wameshindwa kuwakomboa mateka
Kabla sijamaliza kuandika, kiongozi mkuu wa sasa wa Hamas ameshauawa na IDFHakuna gia wala cluch,dhumuni kuu ni kurudisha mateka home.
Wewe ndiye SHOGA hao waliotekwa ni watu wao na ni lazima juhudi zote zitumike kuwakomboa hata iwe miaka mitano kinachotakiwa wakombolewe.Hao Mashoga inaenda mwaka wa pili wameshindwa kuwakomboa mateka
nimecheka sana...eti vita ndo kwanza inaanzaTulieni dawa inaingia mpaka ndani kabisa!!! Israel wao ndiyo vita vimeanza haya ni maandaalizi tu vita Kamili subiri Trump aondoke Mashariki ya kati ndipo utaona fumua-fumua ya IDF!!. Kufanya mazungumzo na Marekani na kuitenga Israel ni kuruka matope na kukanyaga kinyesi hakutawasaidia hamas chochote. Na hamas wanajipendekeza kuwaachia huyo mateka ili kupata huruma tu kutoka kwa Israel. Ukweli utabaki palepale Hamas lazima wawaachie wale mateka na kundi hilo la kigaidi liangamizwe kwa udi na uvumba IDF haiangalii makunyanzi ya Wafuga Midevu na Majini.
Kwa sasa endeleeni tu kujitekenya harafu mnacheka wenyewe kama watoto wa Nguruwe, Mpaka vita hivi viishe Hamas wanakuwa wamejuta sana kufanya mashambulizi ya Oct 07,2023.
Dogo tuliza kipwinto hicho,au unatafuta basha?Mi situmii kisamvu.Wewe ndiye SHOGA hao waliotekwa ni watu wao na ni lazima juhudi zote zitumike kuwakomboa hata iwe miaka mitano kinachotakiwa wakombolewe.
Nakushangaa wewe SHOGA ambaye anasema wameshindwa kuwakomboa wakati asilimia kubwa tayari walishakombolewa.
Oct 07,2023 waliua watu 1,200 na kuteka watu 251 na mpaka leo hii mateka waliobaki ni 58 tu hayo wewe SHOGA uliyekubuhu huyaoni.
Cha kushangaza kabisa hujui wapalestina zaidi ya 50,000 walishauwawa Gaza peke yake kwa sababu tu ya mateka 251 waliotekwa na magaidi hao. Tumia akili yako vizuri mjinga wewe!!!
WENZAKO huko Tela Aviv wanaishi kwenye mashimo Al Houth hacheki na kima.Tulieni dawa inaingia mpaka ndani kabisa!!! Israel wao ndiyo vita vimeanza haya ni maandaalizi tu vita Kamili subiri Trump aondoke Mashariki ya kati ndipo utaona fumua-fumua ya IDF!!. Kufanya mazungumzo na Marekani na kuitenga Israel ni kuruka matope na kukanyaga kinyesi hakutawasaidia hamas chochote. Na hamas wanajipendekeza kuwaachia huyo mateka ili kupata huruma tu kutoka kwa Israel. Ukweli utabaki palepale Hamas lazima wawaachie wale mateka na kundi hilo la kigaidi liangamizwe kwa udi na uvumba IDF haiangalii makunyanzi ya Wafuga Midevu na Majini.
Kwa sasa endeleeni tu kujitekenya harafu mnacheka wenyewe kama watoto wa Nguruwe, Mpaka vita hivi viishe Hamas wanakuwa wamejuta sana kufanya mashambulizi ya Oct 07,2023.
Wahouth wala si tishio makombola yao kila leo yanapopolewa bila kuleta madhara yoyoteWENZAKO huko Tela Aviv wanaishi kwenye mashimo Al Houth hacheki na kima.
Nina uhakika hujui hata maana ya mauaji ya Holela umekaririshwa ujinga na wewe unauongea hivyo hivyo kama ulivyokaririshwa!! Acha ujinga!!Ile sio vita, ni mauaji holela ya raia wa Palestina. Wengi wetu kama tungezaliwa Palestina basi tungeishia kuwa 'magaidi', hata uwe mpenda amani kiasi gani, hauwezi kuvumilia ushenzi ule wa wayahudi.
Lengo la Israel hapo ni ardhi fikilia kwa umakini ndiyo utagundua. Na Hamas wanajua now hata wakiachia hao mateka ardhi Israel hatoiachia ndiyo maana hawaachii mateka maana now Israel hawawazi mateka Kama wanavyowaza ardhiIsrael inaendeleza vita japo hatuoni mabadiliko na maendeleo kwenye vita.
Us inataka mateka wote warudi lkn Israel haitaki kumaliza vita
Witkoff:-mjumbe wa marekani middle east
wakati marekani inaona vita dhidi ya Hamas haiwezi kuisha na hatua ya Hamas kutokuwa na silaha ni jambo ambalo haliwezekani kama serikali ya Netanyau inavyotaka hivyo USA wakaamua kufanya makubaliano ya siri na Hamas ili mateka ambaye ni muisrael na mwenye uraia wa marekani Edan Alexander aachiwe bila ya serikali ya Israel kujulishwa.
Hali kadhalika Hamas wanasema
"Kurudi kwa Edan Alexander ni matokeo ya mazungumzo ya kina na serikali ya US na jitihada ya wapatanishi naa sio sababu ya nguvu ya kijeshi na mashambulizi.
"Netanyau anawadanga.nya watu wake na ameshindwa kurudisha mateka kwa nguvu ya kijeshi.
Kinachotakiwa ni magaidi wa Hamas watokomezwe hakuna cha Mateka wala ardhi maadam walifanya ujinga wao Oct 07,2023 basi lazima wapigwe kwa nguvu zote kabisa!!Lengo la Israel hapo ni ardhi fikilia kwa umakini ndiyo utagundua. Na Hamas wanajua now hata wakiachia hao mateka ardhi Israel hatoiachia ndiyo maana hawaachii mateka maana now Israel hawawazi mateka Kama wanavyowaza ardhi
Kwa unavyodhani nitakuwa nimekaririshwa na nani?Nina uhakika hujui hata maana ya mauaji ya Holela umekaririshwa ujinga na wewe unauongea hivyo hivyo kama ulivyokaririshwa!! Acha ujinga!!
We uliwahi ona lini Israel akasema kapigwa wakionyesha Missiles basi zimetoka nje ya target. Zinazo piga target hawasemi.Wahouth wala si tishio makombola yao kila leo yanapopolewa bila kuleta madhara yoyote