Witkoff: Israel inaendeleza vita lakini hatuoni maendeleo kwenye vita yenyewe dhidi ya Hamas

Hao Hamas pesa wanatoa wapi ? Waarabu wana roho ngumu ,wale Taliban mpaka walimtoa Marekani.
 
We uliwahi ona lini Israel akasema kapigwa wakionyesha Missiles basi zimetoka nje ya target. Zinazo piga target hawasemi.
Ulivyo mjinga unafikiri kwa utandawazi uliopo unaweza kuficha habari!! Ni mjinga tu kama wewe unaweza kuamini hivyo. Kila mtu ana simu Janja kuna waarabu wengi sana huku wanaweza kurusha tukio lolote kwenye boombox vya habari.

Na ulivyo mjinga unaamini kila wanalolisema Houthi bila udhibitisho wowote hata hapo uwanja wa ndege wa Ben Gulion kombola lao lilipiga nje ya uwanja.
 
Kila mmoja anatoa tafsiri ya vita hiyo kadiri ubongo utakavyomuelekeza.
 
We dogo Al Houthi bado huwajui we tulizana tu waswahili wanasema safari sio kifo hata tukienda pole pole tutafika tu. We kenge huwa unawamini sana wanacho ongea makondoo walio potea.

Tatizo lako hujui Israel anavyo zuia watu kuchukua picture au video sehemu zinazo pigwa, we endelea na ujinga wako tu kama Israel hapigwi vibaya na Al Houthi
 
Ben gullion
Ben Gurrion
Kombola
Kombora
Huna unalolijua kakojoe ukalale
 
Mwamba wa buza unavyoijua vita ya middle east hata netanyahu mwenyewe umempita 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…