Witness from the front line: Hili zoezi la sensa mlioko juu msiporekebisha haya kwa haraka tegemeeni taarifa mbovu kuwahi kutokea

Mtu mpak unajiuliza zoez nyeti kama hili , inashindikanaje kufanya maboresho au hao ma IT hawana ujuzi wwte , yaan hata wakufunzi wengi vuchwani weupe kabisa , ukiuliza swali anakasrika , bla bla kibao mtu ale posho yake ya ukufunzi apote hv
Tatizo hiyo software tumeletewa tu (tumenunua) kwa hiyo ma IT wetu hawawezi kuifanyia marekebisho
 
Wanazi wa Magufuri wakati ule wakisema atakuwa Rais mpaka afie pale mkawaona ni kunguni, leo shaka anaongea yale yale mnakenua aseee!!.
Yule ni mchapa kazi usimfananishe na
kibudu ajuza
 
Kazi ya sensa siyo kupata idadi ya watu tu
 
Endelea kutetea upumbavu Kwa nguvu zako zote , thawabu yako utaipata
 
Braza umekurupuka, hilo tatizo lipo kweli, na ufafanuzi umepatikana. NBS wamesema kazi ya karani isifutwe kama GPS imesoma nje ya raman, bali msimamizi atume hiyo kazi na itumwe hivyo hivyo.
 
Upo sahihi Karani, NBS wametoa ufafanuzi kwamba taarifa isifutwe hata kama GPS imesoma nje ya raman, itumwe hivyohivyo kwa msimamizi.
 
Watajua wenyewe mi siwezi teseka napika data nachukua changu nasepa [emoji3]

Kama wao viongozi wetu kwanzia wasimamizi wa maudhui , wakufunzi watu wa tehama wamekana wao bila weledi wamekosa uzalendo mimi karani uzalendo natoa wapi
 
Wakat wa wa vita ya pili ya dunia moja ya Siri kubwa Kwa USA na washirika wake kupata ushindi ni kuwasikiliza waliokuwa front line yaani kwenye uwanja wa mapambano...
Ushauri wako ni mzuri kama kweli nawe upo ktk utendaji.Watumishi wajuu wakati flan huwa hawaamini kama wao wawezakukosea.
 
TATIZO LINGINE KUBWA LIPO KWA MAKARANI NA WAKUFUNZI, BAADHI YAO NI WEUPE PEEEE....!!

WAMEPEANA KAZI MWISHOWE INAENDA KUHARIBIKA.

WAMEKUJA MTAANI KWANGU KWENYE MAJARIBIO NI WEUPE AISEEE...
Nchi ndiyo ilipofika mkuu!watu wenye uwezo na akili huchukiwa Sana na kutopewa nafasi!Undugu na kujuana kumeharibu nchi.
 
Taarifa. Viongozi ni muhimu tusisitize yafuatayo kwa Wasimamizi na Makarani. Kazi ya ramani ni kumuwezesha karani kutambua eneo lake analotakiwa kukusanya taarifa za Kaya ili asivuke mipaka au kuacha watu bila kuhesabiwa na kwamba, kazi hiyo karani ataifanya siku mbili kabla ya kuanza rasmi kazi ya kuhesabu watu. Karani atachukua jira nukta kama alivyofundishwa darasani na akiona jira nukta zinaruka tafadhali wasisitizeni kutumia mwongozo wa kurekebisha/kuchua jira nukta ambao Gasto aliu share humu na pia unapatikana kwenye makabrasha ya makarani na wasimamizi wao. Ikiwa karani wa Sensa atakuwa ameorodhesha Kaya zaidi ya moja na baadaye GPS ya Kaya inayofuata ikaonekana nje ya Eneo lake, Msimamizi au mtu mwingine aruhusiwi kumsimamisha au kumuamrisha karani kufuta taarifa za Kaya ambazo taarifa zake zimekusanywa na Karani. Kazi ya kurekebisha xy coords iliyokimbia itafanywa na GIS Section kwa kuangalia error iliyokuwa introduced na kuirejesha sehemu sahihi inapotakiwa kuwepo. Attribute za Kaya zinazochukuliwa kwenye eneo la kuhesabia ni nyenzo muhimu ya kuestablish tolerance error na wapi xy coord iliyoruka inapotakiwa kuwa. Sensa kwa Maendeleo
 
Mkuu, Tanzania tuna changamoto ya kudharau watu eti kisa yeye anayenipa maoni hayuko kwenye ajira rasmi hivyo namuona kama HAJUI LOLOTE KUNIZIDI.

Nimewahi kufanya kazi ya kuboresha daftari na bahati mbaya PC ikazingua. Nilitoa ushaur wa nini kifanyike ili zoez liendelee ila nilijibiwa "usituelekeze cha kufanya, tunajua". Siku hiyo sikufanya kazi kabisa ila kesho yake tatizo lilitatuliwa kwa kutumia ule ule ushauri wangu.
 
Hongera sana kaka hata Nyerere alimpinga sana Oscar Kambona alipokiwa anamshauri. Bahati nzuri leo mawazo ya Oscar Kambona ndo yanaongoza nchi.
 
Kama wewe ni karani basi hii sensa tutapoteana sana maana alichokisema jamaa hapo kina ukweli mwingi lakini wewe unakataa kwa nguvu kabisa.. dah aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…