Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kila kaya unaandika ina mtu mmoja tu 😂Mimi nishajiandaaa kupika data mwanzo mwisho nichukue changu nisepe full stop
Uzalendo wabaki nao wenyewe kwenye viyoyozi huko.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kaya unaandika ina mtu mmoja tu 😂Mimi nishajiandaaa kupika data mwanzo mwisho nichukue changu nisepe full stop
Uzalendo wabaki nao wenyewe kwenye viyoyozi huko.....
Tatizo hiyo software tumeletewa tu (tumenunua) kwa hiyo ma IT wetu hawawezi kuifanyia marekebishoMtu mpak unajiuliza zoez nyeti kama hili , inashindikanaje kufanya maboresho au hao ma IT hawana ujuzi wwte , yaan hata wakufunzi wengi vuchwani weupe kabisa , ukiuliza swali anakasrika , bla bla kibao mtu ale posho yake ya ukufunzi apote hv
Yule ni mchapa kazi usimfananishe naWanazi wa Magufuri wakati ule wakisema atakuwa Rais mpaka afie pale mkawaona ni kunguni, leo shaka anaongea yale yale mnakenua aseee!!.
Kazi ya sensa siyo kupata idadi ya watu tuWajumbe wangemaliza kazi kwa siku mbili tu tena wangeweza kuwataka watu wao waje wenyewe kujiandikisha bika hata ya kuwafuata na taarifa zingekuwa za kweli kabisa ....mimi huwa nasema kila siku hapa kuwa CCM NI MAVI NA SA100 NI ZUZU kama wajumbe wange tumika pesa ya sensa ingetumika robo tu ya hii watakayo tumia ...kama JPM angekuwa hai hii pesa ingebaki nyingi kufanyia mambo ya msingi ...kwa sasa tutatumia pesa nyingi na ufanisi wa sensa utakuwa asilimia 50% wakati tungetumia wajumbe wa nyumba 10 ufanisi wa,sensa ungefikia asilimia 99% na pesa ya sensa inge tumika ni asilimia 30%
Endelea kutetea upumbavu Kwa nguvu zako zote , thawabu yako utaipataAh nilikuwa nasoma nikijua sijui nitaona kitu cha ajabu labda ambacho sisi wengine hatujakiona. Lakini uongo mtupu. Kwanza kabisa katika hoja zako hizo hakuna hoja ya ukweli hata moja, mimi pia ni karani, na nipo na wenzangu kama 7 hivi, tulivyoona hii post tukasema ngoja tufuatilie kwa undani zaidi, kiukweli umeongea kimamluki hasa, na lengo lako ni kuchafua tu, hayo yote uliyasema hayana ukweli. Tumefundishwa na tumeambiwa kuna vitu vimewekwa kwa lengo la kufundisha lakini sio eti ndivyo program itakavyofanya kazi hata wakati wa zoezi lenyewe la sensa. Kama vile kufuta taarifa, kwanza kufuta taarifa sio eti ukikosea, taarifa zinazofutwa ni za mazoezi, kama mtu anataka kufuta aanze mazoezi (practicals) upya, lakini sio akikosea kama ulivyosema wewe. Ikitokea mtu anataka kurekebisha alipokosea halazimiki kufuta kila kitu na kuanza upya kama unavyosema wewe, huo ni uongo, hata hivyo wakati wa zoezi lenyewe hakutakuwa na option ya kufuta kama unavyojaribu kudanganya Watanzania. Hakuna atakayeweza kufuta, msimamizi atakuwa na details tofauti za kuingia kwenye hii program tofauti na karani, kwahiyo karani hataweza kufanya atakachofanya msimamizi. Kingine ambacho unadanganya watu ni eti kutengeneza na kupikapika taarifa, unaonekana hata uelewa wa kawaida tu huna, muda wote kuna msimamizi anakufuatilia, kiongozi wa eneo unalofanyia kazi, wajumbe na viongizi wengine, lakini pia kuna taarifa zinajirekodi bila wewe karani kujua, HUTAWEZA KUPIKA TAARIFA kama unavyojinadi, hutapata hiyo nafasi, na ukweli ni kwamba utakamatwa tu, ufuatiliaji ni mkubwa sana, kuanzia kwenye program yenyewe, viongozi na wawakilishi. Usidanganye watu. Kuhusu kuchukua majira nukta, program ya mwisho hutaweza kudanganya kama unavyosrma wewe. Japo signals za majira nukta zina changamito zake, ila haijawa changamoto kama unavyodai, usidanganye watu. Halafu wewe huwezi kuwa karani, wala huwezi kuwa mzalendo, kwenye mafunzo haya ya sensa, makarani wote wanao uhuru na nafasi kubwa sana ya kuongea na kutoa maoni na changamoto zote wanazokuta nazo ili kuboresha program ya kuhesabia watu, imekuwaje wewe umeshindwa kutoa hayo maoni yako kwa wahusika eti mzalendo ukaona uje kuingelea huku jamii forum? Kwenye mafunzo changamoto zite zinakusanywa zinawakikushwa kwa lengo la kuzifanyia kazi. Wewe ulikwama wapi kuwakilisha hayo maoni yako? Wewe ni mamluki tu, una malengo yako mengine na wajinga wenzako, program iko vizuri tu, na ni rahisi sana kuitumia, duniani nchi zote zimetumia hii hii CSEntry kufanyia sensa, na zinaendelea kutumia, zikiwemo nchi kama Marekani, UK, na nchi nyingine nyingi tu pamoja na nchi za kuafrika ambazi zimeshafanya hilo zoezi, na zingine zinajipanga kufanya hilo zoezi kwa kutumia hiyo hiyo CSEntry unayoiongelea...changamoto popote hazikosekani, zipo lakini ni ndogo sana, hata wewe na mke wako mnazo changamoto zenu kwenye maisha yenu, moja wapo ni wewe kukosa nguvu za kiume za kumridhisha mke wako mpaka anaku cheat. Ila kwenye sensa mambo yanaenda vizuri, acha kudanganya watu. Changamoto zilizopo ni za kawaida sana, ambazo lazima zingekuwepo tu hata ingekyja program gani unayoijua wewe. Kajipange tena uje upya na mbinu nyingine ila hii umefeli, huo ujinga uliouongea watu wakisoma wanakuelewa wazi wazi umedanganya, tafuta uchafu mwingine wa kuchafua, lakini kijamii watu wa mlengo wa kushoto kama nyie mpo sana tu, na hamkosekani, hapo unataka kujifanya una akili nyiingii labda ni IT flani mtaalam wa mifumo, tunajua zipo program nyingi sana duniani zinafanya mambo mengi tu makubwa, ila umejisahau sehemu moja tu, sio applicable kila mahali, kwasababu za kimalengo na targets, kwa upeo wako mfupi una malengi yako, lakini sensa ina malengo yake, mengine yapo wazi kwa jamii, lakini mengine ni siri ambayo wewe huna ujuzi nayo. CSEntry ni android version ya CSPro, kirefu cha CSPro ni Census and Surveys Program, yaani program maalum kwa ajili ya kuchakata taarifa za kitakwimu za sensa na tafiti mbalimbali, inayotumika dunia nzima. Ukiwa huelewi kuuliza ni kuelewa na sio ujinga, kama kweli wewe ni karani, umeshindwaje kuwasilisha haya maoni kwa wahusika kama sisi wengine tunavyofanya? Eti mzalendo, mzalendo hayupo jamii forums, mzalendi anasimama na kutoa hoja kwa lengo la kusaidia au kuboresha au kuepusha hasara, na sio kushawishi kundi la watu kwa kutumia hoja za uongo, mzalendo mpaka uje jamii forums, ungesimama darasani ukawasilisha changamoto zako huo ndio uzalendo. Nikuhakikishie wewe na wajinga wenzako kwamba HAMTAWEZA KUPIKA HIZO TAARIFA MNAZOJINADI ETI NI WAZALENDO, MRAKAMATWA TU. Wewe sio karani, sisi makarani wote mbona tunaelewa na tunafanya mafunzo na maxoezi vizuri.
Kama walipika data kwenye anwani za makazi hii hatariPostikodi watu walipika data sio mchezo. Shida huwa inaanza kwenye malipo. Malipo sio mazuri kuna halimashauri ni 35k
Braza umekurupuka, hilo tatizo lipo kweli, na ufafanuzi umepatikana. NBS wamesema kazi ya karani isifutwe kama GPS imesoma nje ya raman, bali msimamizi atume hiyo kazi na itumwe hivyo hivyo.Ah nilikuwa nasoma nikijua sijui nitaona kitu cha ajabu labda ambacho sisi wengine hatujakiona. Lakini uongo mtupu. Kwanza kabisa katika hoja zako hizo hakuna hoja ya ukweli hata moja, mimi pia ni karani, na nipo na wenzangu kama 7 hivi, tulivyoona hii post tukasema ngoja tufuatilie kwa undani zaidi, kiukweli umeongea kimamluki hasa, na lengo lako ni kuchafua tu, hayo yote uliyasema hayana ukweli. Tumefundishwa na tumeambiwa kuna vitu vimewekwa kwa lengo la kufundisha lakini sio eti ndivyo program itakavyofanya kazi hata wakati wa zoezi lenyewe la sensa. Kama vile kufuta taarifa, kwanza kufuta taarifa sio eti ukikosea, taarifa zinazofutwa ni za mazoezi, kama mtu anataka kufuta aanze mazoezi (practicals) upya, lakini sio akikosea kama ulivyosema wewe. Ikitokea mtu anataka kurekebisha alipokosea halazimiki kufuta kila kitu na kuanza upya kama unavyosema wewe, huo ni uongo, hata hivyo wakati wa zoezi lenyewe hakutakuwa na option ya kufuta kama unavyojaribu kudanganya Watanzania. Hakuna atakayeweza kufuta, msimamizi atakuwa na details tofauti za kuingia kwenye hii program tofauti na karani, kwahiyo karani hataweza kufanya atakachofanya msimamizi. Kingine ambacho unadanganya watu ni eti kutengeneza na kupikapika taarifa, unaonekana hata uelewa wa kawaida tu huna, muda wote kuna msimamizi anakufuatilia, kiongozi wa eneo unalofanyia kazi, wajumbe na viongizi wengine, lakini pia kuna taarifa zinajirekodi bila wewe karani kujua, HUTAWEZA KUPIKA TAARIFA kama unavyojinadi, hutapata hiyo nafasi, na ukweli ni kwamba utakamatwa tu, ufuatiliaji ni mkubwa sana, kuanzia kwenye program yenyewe, viongozi na wawakilishi. Usidanganye watu. Kuhusu kuchukua majira nukta, program ya mwisho hutaweza kudanganya kama unavyosrma wewe. Japo signals za majira nukta zina changamito zake, ila haijawa changamoto kama unavyodai, usidanganye watu. Halafu wewe huwezi kuwa karani, wala huwezi kuwa mzalendo, kwenye mafunzo haya ya sensa, makarani wote wanao uhuru na nafasi kubwa sana ya kuongea na kutoa maoni na changamoto zote wanazokuta nazo ili kuboresha program ya kuhesabia watu, imekuwaje wewe umeshindwa kutoa hayo maoni yako kwa wahusika eti mzalendo ukaona uje kuingelea huku jamii forum? Kwenye mafunzo changamoto zite zinakusanywa zinawakikushwa kwa lengo la kuzifanyia kazi. Wewe ulikwama wapi kuwakilisha hayo maoni yako? Wewe ni mamluki tu, una malengo yako mengine na wajinga wenzako, program iko vizuri tu, na ni rahisi sana kuitumia, duniani nchi zote zimetumia hii hii CSEntry kufanyia sensa, na zinaendelea kutumia, zikiwemo nchi kama Marekani, UK, na nchi nyingine nyingi tu pamoja na nchi za kuafrika ambazi zimeshafanya hilo zoezi, na zingine zinajipanga kufanya hilo zoezi kwa kutumia hiyo hiyo CSEntry unayoiongelea...changamoto popote hazikosekani, zipo lakini ni ndogo sana, hata wewe na mke wako mnazo changamoto zenu kwenye maisha yenu, moja wapo ni wewe kukosa nguvu za kiume za kumridhisha mke wako mpaka anaku cheat. Ila kwenye sensa mambo yanaenda vizuri, acha kudanganya watu. Changamoto zilizopo ni za kawaida sana, ambazo lazima zingekuwepo tu hata ingekyja program gani unayoijua wewe. Kajipange tena uje upya na mbinu nyingine ila hii umefeli, huo ujinga uliouongea watu wakisoma wanakuelewa wazi wazi umedanganya, tafuta uchafu mwingine wa kuchafua, lakini kijamii watu wa mlengo wa kushoto kama nyie mpo sana tu, na hamkosekani, hapo unataka kujifanya una akili nyiingii labda ni IT flani mtaalam wa mifumo, tunajua zipo program nyingi sana duniani zinafanya mambo mengi tu makubwa, ila umejisahau sehemu moja tu, sio applicable kila mahali, kwasababu za kimalengo na targets, kwa upeo wako mfupi una malengi yako, lakini sensa ina malengo yake, mengine yapo wazi kwa jamii, lakini mengine ni siri ambayo wewe huna ujuzi nayo. CSEntry ni android version ya CSPro, kirefu cha CSPro ni Census and Surveys Program, yaani program maalum kwa ajili ya kuchakata taarifa za kitakwimu za sensa na tafiti mbalimbali, inayotumika dunia nzima. Ukiwa huelewi kuuliza ni kuelewa na sio ujinga, kama kweli wewe ni karani, umeshindwaje kuwasilisha haya maoni kwa wahusika kama sisi wengine tunavyofanya? Eti mzalendo, mzalendo hayupo jamii forums, mzalendi anasimama na kutoa hoja kwa lengo la kusaidia au kuboresha au kuepusha hasara, na sio kushawishi kundi la watu kwa kutumia hoja za uongo, mzalendo mpaka uje jamii forums, ungesimama darasani ukawasilisha changamoto zako huo ndio uzalendo. Nikuhakikishie wewe na wajinga wenzako kwamba HAMTAWEZA KUPIKA HIZO TAARIFA MNAZOJINADI ETI NI WAZALENDO, MRAKAMATWA TU. Wewe sio karani, sisi makarani wote mbona tunaelewa na tunafanya mafunzo na maxoezi vizuri.
Upo sahihi Karani, NBS wametoa ufafanuzi kwamba taarifa isifutwe hata kama GPS imesoma nje ya raman, itumwe hivyohivyo kwa msimamizi.Wakat wa wa vita ya pili ya dunia moja ya Siri kubwa Kwa USA na washirika wake kupata ushindi ni kuwasikiliza waliokuwa front line yaani kwenye uwanja wa mapambano , na maoni Yao yalisikilizwa moja Kwa moja na high command na kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo bila mtu wa Kati kuleta siasa ...!! Waliokuwa kwenye battle zone Walitoa taarifa kuhusu Hali ya mapigano , intensity , wapi palipopungua , silaha gani miyeyusho na silaha za namna gani ziboreshwe , haya maoni ni katika idara zote za kijeshi kuanzia jeshi la ardhini ( marine) jeshi la majini (US navy) , na jeshi la anga (Airforce) , Marekani ilianza vita kama underdog Ila ikamaliza ikiwa superior and most feard nation.
Aliyeko front anajua exactly the horror of war...!! Kutomsikiliza Kwa sababu iwayo yoyte ile ni kuhalalisha kushindwa.
Back to the topic , Mimi ni karani wa Sensa , katika mchakato mzima wa zoezi hili karani ndo mtu wa mhimu zaidi kuliko wote , yeye ndo anashuhudia Kwa usahihi what is real going on na kipi ni sahihi na wapi pa kurekebisha ,
Nipongeze serikali Kwa kuja na idea Bora zaidi ya kuendesha zoezi hili na Kwa kweli likifanikiwa hata Kwa 80% serikali itakuwa imekula bingo , aliyeleta mchakato Kwa idea hii nampa salute ,
Hata hvyo mchakato ni costful , Kwa haraka more than 600tsh billion zitaperish away kwenye huu mchakato , hela nyingi Kwa nchi hii ya kimaskini ...
In reality zoezi ni gumu hasa , linahtaji angalau semi skilled workers with high commitment , Viongozi wa ngazi za juu wamehamasisha Kwa nguvu zote huku mzigo mzito akiangushiwa karani , ...
Kwa maoni yangu makarani wengi mbali na kufanya kazi ya kuchosha bado Wana moyo wa kufanya na mwitikio ni mkubwa , tatizo ni matumizi ya software ya CS entry kwenye tablet , hii ni changamoto kubwa sana
Baada ya kufanya mazoezi changamoto hii imeonekana kuwa ni deadliest na itaharibu mchakato mzima kama haitafanyiwa kazi , nasema haya Kwa moyo wa kizalendo kabisa , makarani tulileta taarifa na tatizo kubwa karbu Kwa makarani wote ni hii software hasa matumizi ya ramani na uwepo wa GPS.
Imagine karani umetembea Kwa moyo mmoja mpak kwenye Kaya fulan mlimani , umefika unammkuta mama anafua akakupokea Kwa moyo mmoja akaacha kazi yake, ukatazama ramani ukajihakikisha GPS inasoma kwenye ramani , ukafungua dodoso la Kwanza , akaanza kukupa taarifa za waliolala kwenye Kaya ambao ni 12 , takriban masaa mawili umekaa naye akikupa taarifa , umemaliza unatafuta majira unapata , unasave unajikuta imesave nje ya ramani , .....!! Kwa mjibu wa Sensa hyo kazi yote inakuwa ni useless ,unatakiwa uende Kwa msimamizi ufute kazi yote akutumie mchakato upya na uende tena kwenye Kaya hyo uanze mahojiano upya ,
Cahangamoto zaidi inakuja kama Kwa sku nzima umehoji kaya 10 , na kaya 9 zote majira nukta (GPS ) yamesoma ndani ya ramani na moja imesave nje ya ramani Kwa mfumo wao wa software , hzo kazi zote zinakuwa invalid inabdi ufute kazi zote uwekewe kazi upya na uende ukarudie mahojiano upya kwenye Kaya zote , na endapo itatokea the same scenario , itabd ufute tena uanze upya .. ni kazi ngumu na ya kuchosha hasa kipindi hiki cha kiangazi , na kimbembe ni kuwa maeneo mengi karani ni mmoja Kwa kila kitongoji , ni mzigo mzito sana...ni uzalendo tuu utakaofanikisha hili zoez and not otherwise
Nawaambia live hakuna karani atakubali kufanya such kind of fucking process , tegemeeni data za kupikwa na zoezi Zima litapoteza maana ...
Tulileta mrejesho tukiwa na option Bora za kuboresha mana lengo ni kufanikisha , nikashangaa IT wa wilaya anajibu shit bila kujua Kwa undani hyo critical condition huku akitutisha makarani , ....
Kwa Sisi ambao tuko kwenye battle field tukawaambia wakubwa wetu kuwa huko juu ma IT wa Taifa wakeshe kuhakikisha wanaboresha hyo application ili iwe na option zifuatazo :-
1. Wakati ninahoji Kaya basi kuwe na signal kwenye tablet kama dot hvi au whatever yenye rangi ya kijani ili kuni-alert kuwa GPS inasoma ndani ya 3 meters kutoka pale nilipo...na kama sivyo ionyeshe rangi nyekundu kunitahadharisha kuwa GPS inasoma wrong place hvyo nifanye mchakato wa kuiweka Sawa
2. Option ya pili , in case ikatokea Kaya moja nimesave nje ya ramani , na Kaya zingine let say Kaya 10 zimesave ndani ya ramani basi kuwe na option ya kuiweka pending hyo Kaya moja , ili zingine niweze kuzituma alaf iliyozingua hyo moja ndo nirud badala ya kuzifuta zote na kuanza upya ....
Cha Kushangaza IT alisema tusitegemee option za namna hzo Bali tuongeze umakini,
Changamoto iliyopo ili GPS isome mahali uliopo unahtaji ufate step zaidi ya tano , hapo bado accuracy yake ni 70 % bado lolote laweza kutokea , na pia ni ngumu kufanya kazi kuanzia asubh mpak jioni ukafanya Kwa usahihi , kuna kujisahau ukapata error hyo , Yani hakuna option ya kurekebisha hyo moja, bali data zote zinakuwa nullified ....
Kama Hali ikiendelea hv , nini makarani wataenda kufanya , nimeenda let say Kaya X , nimehoji nikaambiwa wanakaya wamelalal 13 , nikajikunja kizalendo karbu hata masaa 2 au 3 kupata data Kwa usahihi , zen ikasave nje ya Raman , kurud tena Kwa mwanakwaya Yule umuachishe tena kazi yake ni bonge la nouma , nitakachokifanya nafuta hyo kazi sahihi , badala yake naenda kwenye hyo kaya nasimamia nje getini , napika data , ili nisichoke najiandikia watu 2 wamelala pale , ili nisave nitoke , na hzo tayar zinakuwa data ambazo ni invalid ...
Na hii kwenye mazoez watu wamefanya Sana , dada mmoja kahoji Kaya ya Kwanza ikasoma ndani ya ramani , nakahoji ya pili ikasoma nje , ikabd afute msimamizi amwekee kazi na Raman upya , akahoji tena moja ikakubali nyingine ikasoma nje , dada alitaman kulia , akaenda Kwa msimamiz akafutiwa kazi na kuweka ramani upya , dada alichokifanya akaenda sehemu akapika data , zikasoma ndani ya ramani akaleta Kwa msimamizi akapokea akatuma makao makuu data ambazo ni invalid ....
Mlioko juu jitahdini hili tatizo mlitatue , la sivyo huko kwenye viyoyozi , hao viongozi walioko huku wanawadanganya kuwa zoezi lipo poa but in reality ,ni disaster inaenda kutokea .....
View attachment 2323556
Ushauri wako ni mzuri kama kweli nawe upo ktk utendaji.Watumishi wajuu wakati flan huwa hawaamini kama wao wawezakukosea.Wakat wa wa vita ya pili ya dunia moja ya Siri kubwa Kwa USA na washirika wake kupata ushindi ni kuwasikiliza waliokuwa front line yaani kwenye uwanja wa mapambano...
Watakuwa wamefanya Jambo la maana SanaUpo sahihi Karani, NBS wametoa ufafanuzi kwamba taarifa isifutwe hata kama GPS imesoma nje ya raman, itumwe hivyohivyo kwa msimamizi.
Nchi ndiyo ilipofika mkuu!watu wenye uwezo na akili huchukiwa Sana na kutopewa nafasi!Undugu na kujuana kumeharibu nchi.TATIZO LINGINE KUBWA LIPO KWA MAKARANI NA WAKUFUNZI, BAADHI YAO NI WEUPE PEEEE....!!
WAMEPEANA KAZI MWISHOWE INAENDA KUHARIBIKA.
WAMEKUJA MTAANI KWANGU KWENYE MAJARIBIO NI WEUPE AISEEE...
Acha uongo! Pesa ni 40,000. Chakula kinatolewa si pesa. Muache uduwaziBunda ni 35k kutoa 10k ya chakula. Buchosa ni 45k kutoa 5k ya chakula
Taarifa. Viongozi ni muhimu tusisitize yafuatayo kwa Wasimamizi na Makarani. Kazi ya ramani ni kumuwezesha karani kutambua eneo lake analotakiwa kukusanya taarifa za Kaya ili asivuke mipaka au kuacha watu bila kuhesabiwa na kwamba, kazi hiyo karani ataifanya siku mbili kabla ya kuanza rasmi kazi ya kuhesabu watu. Karani atachukua jira nukta kama alivyofundishwa darasani na akiona jira nukta zinaruka tafadhali wasisitizeni kutumia mwongozo wa kurekebisha/kuchua jira nukta ambao Gasto aliu share humu na pia unapatikana kwenye makabrasha ya makarani na wasimamizi wao. Ikiwa karani wa Sensa atakuwa ameorodhesha Kaya zaidi ya moja na baadaye GPS ya Kaya inayofuata ikaonekana nje ya Eneo lake, Msimamizi au mtu mwingine aruhusiwi kumsimamisha au kumuamrisha karani kufuta taarifa za Kaya ambazo taarifa zake zimekusanywa na Karani. Kazi ya kurekebisha xy coords iliyokimbia itafanywa na GIS Section kwa kuangalia error iliyokuwa introduced na kuirejesha sehemu sahihi inapotakiwa kuwepo. Attribute za Kaya zinazochukuliwa kwenye eneo la kuhesabia ni nyenzo muhimu ya kuestablish tolerance error na wapi xy coord iliyoruka inapotakiwa kuwa. Sensa kwa MaendeleoWakat wa wa vita ya pili ya dunia moja ya Siri kubwa Kwa USA na washirika wake kupata ushindi ni kuwasikiliza waliokuwa front line yaani kwenye uwanja wa mapambano , na maoni Yao yalisikilizwa moja Kwa moja na high command na kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo bila mtu wa Kati kuleta siasa ...!! Waliokuwa kwenye battle zone Walitoa taarifa kuhusu Hali ya mapigano , intensity , wapi palipopungua , silaha gani miyeyusho na silaha za namna gani ziboreshwe , haya maoni ni katika idara zote za kijeshi kuanzia jeshi la ardhini ( marine) jeshi la majini (US navy) , na jeshi la anga (Airforce) , Marekani ilianza vita kama underdog Ila ikamaliza ikiwa superior and most feard nation.
Aliyeko front anajua exactly the horror of war...!! Kutomsikiliza Kwa sababu iwayo yoyte ile ni kuhalalisha kushindwa.
Back to the topic , Mimi ni karani wa Sensa , katika mchakato mzima wa zoezi hili karani ndo mtu wa mhimu zaidi kuliko wote , yeye ndo anashuhudia Kwa usahihi what is real going on na kipi ni sahihi na wapi pa kurekebisha ,
Nipongeze serikali Kwa kuja na idea Bora zaidi ya kuendesha zoezi hili na Kwa kweli likifanikiwa hata Kwa 80% serikali itakuwa imekula bingo , aliyeleta mchakato Kwa idea hii nampa salute ,
Hata hvyo mchakato ni costful , Kwa haraka more than 600tsh billion zitaperish away kwenye huu mchakato , hela nyingi Kwa nchi hii ya kimaskini ...
In reality zoezi ni gumu hasa , linahtaji angalau semi skilled workers with high commitment , Viongozi wa ngazi za juu wamehamasisha Kwa nguvu zote huku mzigo mzito akiangushiwa karani , ...
Kwa maoni yangu makarani wengi mbali na kufanya kazi ya kuchosha bado Wana moyo wa kufanya na mwitikio ni mkubwa , tatizo ni matumizi ya software ya CS entry kwenye tablet , hii ni changamoto kubwa sana
Baada ya kufanya mazoezi changamoto hii imeonekana kuwa ni deadliest na itaharibu mchakato mzima kama haitafanyiwa kazi , nasema haya Kwa moyo wa kizalendo kabisa , makarani tulileta taarifa na tatizo kubwa karbu Kwa makarani wote ni hii software hasa matumizi ya ramani na uwepo wa GPS.
Imagine karani umetembea Kwa moyo mmoja mpak kwenye Kaya fulan mlimani , umefika unammkuta mama anafua akakupokea Kwa moyo mmoja akaacha kazi yake, ukatazama ramani ukajihakikisha GPS inasoma kwenye ramani , ukafungua dodoso la Kwanza , akaanza kukupa taarifa za waliolala kwenye Kaya ambao ni 12 , takriban masaa mawili umekaa naye akikupa taarifa , umemaliza unatafuta majira unapata , unasave unajikuta imesave nje ya ramani , .....!! Kwa mjibu wa Sensa hyo kazi yote inakuwa ni useless ,unatakiwa uende Kwa msimamizi ufute kazi yote akutumie mchakato upya na uende tena kwenye Kaya hyo uanze mahojiano upya ,
Cahangamoto zaidi inakuja kama Kwa sku nzima umehoji kaya 10 , na kaya 9 zote majira nukta (GPS ) yamesoma ndani ya ramani na moja imesave nje ya ramani Kwa mfumo wao wa software , hzo kazi zote zinakuwa invalid inabdi ufute kazi zote uwekewe kazi upya na uende ukarudie mahojiano upya kwenye Kaya zote , na endapo itatokea the same scenario , itabd ufute tena uanze upya .. ni kazi ngumu na ya kuchosha hasa kipindi hiki cha kiangazi , na kimbembe ni kuwa maeneo mengi karani ni mmoja Kwa kila kitongoji , ni mzigo mzito sana...ni uzalendo tuu utakaofanikisha hili zoez and not otherwise
Nawaambia live hakuna karani atakubali kufanya such kind of fucking process , tegemeeni data za kupikwa na zoezi Zima litapoteza maana ...
Tulileta mrejesho tukiwa na option Bora za kuboresha mana lengo ni kufanikisha , nikashangaa IT wa wilaya anajibu shit bila kujua Kwa undani hyo critical condition huku akitutisha makarani , ....
Kwa Sisi ambao tuko kwenye battle field tukawaambia wakubwa wetu kuwa huko juu ma IT wa Taifa wakeshe kuhakikisha wanaboresha hyo application ili iwe na option zifuatazo :-
1. Wakati ninahoji Kaya basi kuwe na signal kwenye tablet kama dot hvi au whatever yenye rangi ya kijani ili kuni-alert kuwa GPS inasoma ndani ya 3 meters kutoka pale nilipo...na kama sivyo ionyeshe rangi nyekundu kunitahadharisha kuwa GPS inasoma wrong place hvyo nifanye mchakato wa kuiweka Sawa
2. Option ya pili , in case ikatokea Kaya moja nimesave nje ya ramani , na Kaya zingine let say Kaya 10 zimesave ndani ya ramani basi kuwe na option ya kuiweka pending hyo Kaya moja , ili zingine niweze kuzituma alaf iliyozingua hyo moja ndo nirud badala ya kuzifuta zote na kuanza upya ....
Cha Kushangaza IT alisema tusitegemee option za namna hzo Bali tuongeze umakini,
Changamoto iliyopo ili GPS isome mahali uliopo unahtaji ufate step zaidi ya tano , hapo bado accuracy yake ni 70 % bado lolote laweza kutokea , na pia ni ngumu kufanya kazi kuanzia asubh mpak jioni ukafanya Kwa usahihi , kuna kujisahau ukapata error hyo , Yani hakuna option ya kurekebisha hyo moja, bali data zote zinakuwa nullified ....
Kama Hali ikiendelea hv , nini makarani wataenda kufanya , nimeenda let say Kaya X , nimehoji nikaambiwa wanakaya wamelalal 13 , nikajikunja kizalendo karbu hata masaa 2 au 3 kupata data Kwa usahihi , zen ikasave nje ya Raman , kurud tena Kwa mwanakwaya Yule umuachishe tena kazi yake ni bonge la nouma , nitakachokifanya nafuta hyo kazi sahihi , badala yake naenda kwenye hyo kaya nasimamia nje getini , napika data , ili nisichoke najiandikia watu 2 wamelala pale , ili nisave nitoke , na hzo tayar zinakuwa data ambazo ni invalid ...
Na hii kwenye mazoez watu wamefanya Sana , dada mmoja kahoji Kaya ya Kwanza ikasoma ndani ya ramani , nakahoji ya pili ikasoma nje , ikabd afute msimamizi amwekee kazi na Raman upya , akahoji tena moja ikakubali nyingine ikasoma nje , dada alitaman kulia , akaenda Kwa msimamiz akafutiwa kazi na kuweka ramani upya , dada alichokifanya akaenda sehemu akapika data , zikasoma ndani ya ramani akaleta Kwa msimamizi akapokea akatuma makao makuu data ambazo ni invalid ....
Mlioko juu jitahdini hili tatizo mlitatue , la sivyo huko kwenye viyoyozi , hao viongozi walioko huku wanawadanganya kuwa zoezi lipo poa but in reality ,ni disaster inaenda kutokea .....
View attachment 2323556
Mkuu, Tanzania tuna changamoto ya kudharau watu eti kisa yeye anayenipa maoni hayuko kwenye ajira rasmi hivyo namuona kama HAJUI LOLOTE KUNIZIDI.Wakat wa wa vita ya pili ya dunia moja ya Siri kubwa Kwa USA na washirika wake kupata ushindi ni kuwasikiliza waliokuwa front line yaani kwenye uwanja wa mapambano , na maoni Yao yalisikilizwa moja Kwa moja na high command na kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo bila mtu wa Kati kuleta siasa ...!! Waliokuwa kwenye battle zone Walitoa taarifa kuhusu Hali ya mapigano , intensity , wapi palipopungua , silaha gani miyeyusho na silaha za namna gani ziboreshwe , haya maoni ni katika idara zote za kijeshi kuanzia jeshi la ardhini ( marine) jeshi la majini (US navy) , na jeshi la anga (Airforce) , Marekani ilianza vita kama underdog Ila ikamaliza ikiwa superior and most feard nation.
Aliyeko front anajua exactly the horror of war...!! Kutomsikiliza Kwa sababu iwayo yoyte ile ni kuhalalisha kushindwa.
Back to the topic , Mimi ni karani wa Sensa , katika mchakato mzima wa zoezi hili karani ndo mtu wa mhimu zaidi kuliko wote , yeye ndo anashuhudia Kwa usahihi what is real going on na kipi ni sahihi na wapi pa kurekebisha ,
Nipongeze serikali Kwa kuja na idea Bora zaidi ya kuendesha zoezi hili na Kwa kweli likifanikiwa hata Kwa 80% serikali itakuwa imekula bingo , aliyeleta mchakato Kwa idea hii nampa salute ,
Hata hvyo mchakato ni costful , Kwa haraka more than 600tsh billion zitaperish away kwenye huu mchakato , hela nyingi Kwa nchi hii ya kimaskini ...
In reality zoezi ni gumu hasa , linahtaji angalau semi skilled workers with high commitment , Viongozi wa ngazi za juu wamehamasisha Kwa nguvu zote huku mzigo mzito akiangushiwa karani , ...
Kwa maoni yangu makarani wengi mbali na kufanya kazi ya kuchosha bado Wana moyo wa kufanya na mwitikio ni mkubwa , tatizo ni matumizi ya software ya CS entry kwenye tablet , hii ni changamoto kubwa sana
Baada ya kufanya mazoezi changamoto hii imeonekana kuwa ni deadliest na itaharibu mchakato mzima kama haitafanyiwa kazi , nasema haya Kwa moyo wa kizalendo kabisa , makarani tulileta taarifa na tatizo kubwa karbu Kwa makarani wote ni hii software hasa matumizi ya ramani na uwepo wa GPS.
Imagine karani umetembea Kwa moyo mmoja mpak kwenye Kaya fulan mlimani , umefika unammkuta mama anafua akakupokea Kwa moyo mmoja akaacha kazi yake, ukatazama ramani ukajihakikisha GPS inasoma kwenye ramani , ukafungua dodoso la Kwanza , akaanza kukupa taarifa za waliolala kwenye Kaya ambao ni 12 , takriban masaa mawili umekaa naye akikupa taarifa , umemaliza unatafuta majira unapata , unasave unajikuta imesave nje ya ramani , .....!! Kwa mjibu wa Sensa hyo kazi yote inakuwa ni useless ,unatakiwa uende Kwa msimamizi ufute kazi yote akutumie mchakato upya na uende tena kwenye Kaya hyo uanze mahojiano upya ,
Cahangamoto zaidi inakuja kama Kwa sku nzima umehoji kaya 10 , na kaya 9 zote majira nukta (GPS ) yamesoma ndani ya ramani na moja imesave nje ya ramani Kwa mfumo wao wa software , hzo kazi zote zinakuwa invalid inabdi ufute kazi zote uwekewe kazi upya na uende ukarudie mahojiano upya kwenye Kaya zote , na endapo itatokea the same scenario , itabd ufute tena uanze upya .. ni kazi ngumu na ya kuchosha hasa kipindi hiki cha kiangazi , na kimbembe ni kuwa maeneo mengi karani ni mmoja Kwa kila kitongoji , ni mzigo mzito sana...ni uzalendo tuu utakaofanikisha hili zoez and not otherwise
Nawaambia live hakuna karani atakubali kufanya such kind of fucking process , tegemeeni data za kupikwa na zoezi Zima litapoteza maana ...
Tulileta mrejesho tukiwa na option Bora za kuboresha mana lengo ni kufanikisha , nikashangaa IT wa wilaya anajibu shit bila kujua Kwa undani hyo critical condition huku akitutisha makarani , ....
Kwa Sisi ambao tuko kwenye battle field tukawaambia wakubwa wetu kuwa huko juu ma IT wa Taifa wakeshe kuhakikisha wanaboresha hyo application ili iwe na option zifuatazo :-
1. Wakati ninahoji Kaya basi kuwe na signal kwenye tablet kama dot hvi au whatever yenye rangi ya kijani ili kuni-alert kuwa GPS inasoma ndani ya 3 meters kutoka pale nilipo...na kama sivyo ionyeshe rangi nyekundu kunitahadharisha kuwa GPS inasoma wrong place hvyo nifanye mchakato wa kuiweka Sawa
2. Option ya pili , in case ikatokea Kaya moja nimesave nje ya ramani , na Kaya zingine let say Kaya 10 zimesave ndani ya ramani basi kuwe na option ya kuiweka pending hyo Kaya moja , ili zingine niweze kuzituma alaf iliyozingua hyo moja ndo nirud badala ya kuzifuta zote na kuanza upya ....
Cha Kushangaza IT alisema tusitegemee option za namna hzo Bali tuongeze umakini,
Changamoto iliyopo ili GPS isome mahali uliopo unahtaji ufate step zaidi ya tano , hapo bado accuracy yake ni 70 % bado lolote laweza kutokea , na pia ni ngumu kufanya kazi kuanzia asubh mpak jioni ukafanya Kwa usahihi , kuna kujisahau ukapata error hyo , Yani hakuna option ya kurekebisha hyo moja, bali data zote zinakuwa nullified ....
Kama Hali ikiendelea hv , nini makarani wataenda kufanya , nimeenda let say Kaya X , nimehoji nikaambiwa wanakaya wamelalal 13 , nikajikunja kizalendo karbu hata masaa 2 au 3 kupata data Kwa usahihi , zen ikasave nje ya Raman , kurud tena Kwa mwanakwaya Yule umuachishe tena kazi yake ni bonge la nouma , nitakachokifanya nafuta hyo kazi sahihi , badala yake naenda kwenye hyo kaya nasimamia nje getini , napika data , ili nisichoke najiandikia watu 2 wamelala pale , ili nisave nitoke , na hzo tayar zinakuwa data ambazo ni invalid ...
Na hii kwenye mazoez watu wamefanya Sana , dada mmoja kahoji Kaya ya Kwanza ikasoma ndani ya ramani , nakahoji ya pili ikasoma nje , ikabd afute msimamizi amwekee kazi na Raman upya , akahoji tena moja ikakubali nyingine ikasoma nje , dada alitaman kulia , akaenda Kwa msimamiz akafutiwa kazi na kuweka ramani upya , dada alichokifanya akaenda sehemu akapika data , zikasoma ndani ya ramani akaleta Kwa msimamizi akapokea akatuma makao makuu data ambazo ni invalid ....
Mlioko juu jitahdini hili tatizo mlitatue , la sivyo huko kwenye viyoyozi , hao viongozi walioko huku wanawadanganya kuwa zoezi lipo poa but in reality ,ni disaster inaenda kutokea .....
View attachment 2323556
Hongera sana kaka hata Nyerere alimpinga sana Oscar Kambona alipokiwa anamshauri. Bahati nzuri leo mawazo ya Oscar Kambona ndo yanaongoza nchi.Mkuu, Tanzania tuna changamoto ya kudharau watu eti kisa yeye anayenipa maoni hayuko kwenye ajira rasmi hivyo namuona kama HAJUI LOLOTE KUNIZIDI.
Nimewahi kufanya kazi ya kuboresha daftari na bahati mbaya PC ikazingua. Nilitoa ushaur wa nini kifanyike ili zoez liendelee ila nilijibiwa "usituelekeze cha kufanya, tunajua". Siku hiyo sikufanya kazi kabisa ila kesho yake tatizo lilitatuliwa kwa kutumia ule ule ushauri wangu.
Why mlimsagia funza na leo mnacheza the same song?Yule ni mchapa kazi usimfananishe na
kibudu ajuza
Chondechonde usipike data mkuuMimi nishajiandaaa kupika data mwanzo mwisho nichukue changu nisepe full stop
Uzalendo wabaki nao wenyewe kwenye viyoyozi huko.....
Kama wewe ni karani basi hii sensa tutapoteana sana maana alichokisema jamaa hapo kina ukweli mwingi lakini wewe unakataa kwa nguvu kabisa.. dah aseeeAh nilikuwa nasoma nikijua sijui nitaona kitu cha ajabu labda ambacho sisi wengine hatujakiona. Lakini uongo mtupu. Kwanza kabisa katika hoja zako hizo hakuna hoja ya ukweli hata moja, mimi pia ni karani, na nipo na wenzangu kama 7 hivi, tulivyoona hii post tukasema ngoja tufuatilie kwa undani zaidi, kiukweli umeongea kimamluki hasa, na lengo lako ni kuchafua tu, hayo yote uliyasema hayana ukweli.
Tumefundishwa na tumeambiwa kuna vitu vimewekwa kwa lengo la kufundisha lakini sio eti ndivyo program itakavyofanya kazi hata wakati wa zoezi lenyewe la sensa. Kama vile kufuta taarifa, kwanza kufuta taarifa sio eti ukikosea, taarifa zinazofutwa ni za mazoezi, kama mtu anataka kufuta aanze mazoezi (practicals) upya, lakini sio akikosea kama ulivyosema wewe.
Ikitokea mtu anataka kurekebisha alipokosea halazimiki kufuta kila kitu na kuanza upya kama unavyosema wewe, huo ni uongo, hata hivyo wakati wa zoezi lenyewe hakutakuwa na option ya kufuta kama unavyojaribu kudanganya Watanzania.
Hakuna atakayeweza kufuta, msimamizi atakuwa na details tofauti za kuingia kwenye hii program tofauti na karani, kwahiyo karani hataweza kufanya atakachofanya msimamizi. Kingine ambacho unadanganya watu ni eti kutengeneza na kupikapika taarifa, unaonekana hata uelewa wa kawaida tu huna, muda wote kuna msimamizi anakufuatilia, kiongozi wa eneo unalofanyia kazi, wajumbe na viongizi wengine, lakini pia kuna taarifa zinajirekodi bila wewe karani kujua, HUTAWEZA KUPIKA TAARIFA kama unavyojinadi, hutapata hiyo nafasi, na ukweli ni kwamba utakamatwa tu, ufuatiliaji ni mkubwa sana, kuanzia kwenye program yenyewe, viongozi na wawakilishi.
Usidanganye watu. Kuhusu kuchukua majira nukta, program ya mwisho hutaweza kudanganya kama unavyosrma wewe. Japo signals za majira nukta zina changamito zake, ila haijawa changamoto kama unavyodai, usidanganye watu.
Halafu wewe huwezi kuwa karani, wala huwezi kuwa mzalendo, kwenye mafunzo haya ya sensa, makarani wote wanao uhuru na nafasi kubwa sana ya kuongea na kutoa maoni na changamoto zote wanazokuta nazo ili kuboresha program ya kuhesabia watu, imekuwaje wewe umeshindwa kutoa hayo maoni yako kwa wahusika eti mzalendo ukaona uje kuingelea huku jamii forum? Kwenye mafunzo changamoto zite zinakusanywa zinawakikushwa kwa lengo la kuzifanyia kazi.
Wewe ulikwama wapi kuwakilisha hayo maoni yako? Wewe ni mamluki tu, una malengo yako mengine na wajinga wenzako, program iko vizuri tu, na ni rahisi sana kuitumia, duniani nchi zote zimetumia hii hii CSEntry kufanyia sensa, na zinaendelea kutumia, zikiwemo nchi kama Marekani, UK, na nchi nyingine nyingi tu pamoja na nchi za kuafrika ambazi zimeshafanya hilo zoezi, na zingine zinajipanga kufanya hilo zoezi kwa kutumia hiyo hiyo CSEntry unayoiongelea...changamoto popote hazikosekani, zipo lakini ni ndogo sana, hata wewe na mke wako mnazo changamoto zenu kwenye maisha yenu, moja wapo ni wewe kukosa nguvu za kiume za kumridhisha mke wako mpaka anaku cheat. Ila kwenye sensa mambo yanaenda vizuri, acha kudanganya watu.
Changamoto zilizopo ni za kawaida sana, ambazo lazima zingekuwepo tu hata ingekyja program gani unayoijua wewe. Kajipange tena uje upya na mbinu nyingine ila hii umefeli, huo ujinga uliouongea watu wakisoma wanakuelewa wazi wazi umedanganya, tafuta uchafu mwingine wa kuchafua, lakini kijamii watu wa mlengo wa kushoto kama nyie mpo sana tu, na hamkosekani, hapo unataka kujifanya una akili nyiingii labda ni IT flani mtaalam wa mifumo, tunajua zipo program nyingi sana duniani zinafanya mambo mengi tu makubwa, ila umejisahau sehemu moja tu, sio applicable kila mahali, kwasababu za kimalengo na targets, kwa upeo wako mfupi una malengi yako, lakini sensa ina malengo yake, mengine yapo wazi kwa jamii, lakini mengine ni siri ambayo wewe huna ujuzi nayo.
CSEntry ni android version ya CSPro, kirefu cha CSPro ni Census and Surveys Program, yaani program maalum kwa ajili ya kuchakata taarifa za kitakwimu za sensa na tafiti mbalimbali, inayotumika dunia nzima. Ukiwa huelewi kuuliza ni kuelewa na sio ujinga, kama kweli wewe ni karani, umeshindwaje kuwasilisha haya maoni kwa wahusika kama sisi wengine tunavyofanya?
Eti mzalendo, mzalendo hayupo jamii forums, mzalendi anasimama na kutoa hoja kwa lengo la kusaidia au kuboresha au kuepusha hasara, na sio kushawishi kundi la watu kwa kutumia hoja za uongo, mzalendo mpaka uje jamii forums, ungesimama darasani ukawasilisha changamoto zako huo ndio uzalendo.
Nikuhakikishie wewe na wajinga wenzako kwamba HAMTAWEZA KUPIKA HIZO TAARIFA MNAZOJINADI ETI NI WAZALENDO, MRAKAMATWA TU. Wewe sio karani, sisi makarani wote mbona tunaelewa na tunafanya mafunzo na maxoezi vizuri.