Witness: Nilimsubiri mume wangu amalize kifungo cha miaka 30

He he! Hiyo ndia itadumu kama mwanamke hatofikiri sana kafanya uungwana sana na kutaka kumwongoza Mzee Baba.

Magereza panazalisha sana wahalifu, Mungu amsaidie huyo jamaa asirudi kwenye uhalifu...
 
Kuna maswali najiuliza hapa lakini sipati majibu ,wacha tu nikae kimya...
 
Abarikiwe sana ....ni mumeo utamvumilia tu.....nimesema ni mumeo
Hii hoja imekaaga kimtego mtego sana, mtu akiwa malaya ni Malaya tu, awe ameolewa au hajaolewa!
Kuna mmoja aliwahi kuniambia "ukinioa rasmi ntampenda mtoto wako" which means kabla ya kumuoa hampendi mtoto wangu,, nilimwambia tafuta tu mwanaume mwingine mimi sitaki mwanamke anayechukia mtoto wangu!
 
Unamfunga mume wa mtu ambae anawatoto,kwa kosa hilo pasipo kuangalia watoto wake wataishi vipi?kilikuwa hakuna adhabu nyingine?haya mumemlisha bure kwa muda wa miaka16 then mmemuachia na hamkupata chochote,lazima tue na adhabu mbadara
 
Unamfunga mume wa mtu ambae anawatoto,kwa kosa hilo pasipo kuangalia watoto wake wataishi vipi?kilikuwa hakuna adhabu nyingine?haya mumemlisha bure kwa muda wa miaka16 then mmemuachia na hamkupata chochote,lazima tue na adhabu mbadara
Vipi kuhusu watu alowaumiza pengine kupora uhai kabisa hawakuwa na wototo kama yeye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa
 
Isije ikawa ubakaji mkuu![emoji56][emoji56]
 
Huyo mwanamke atakuwa sio pisi Kali Kwa namna yyte ilibid avumilie japo Wana wazee wa hit and run wamebutua Sana

Duh waja hamna jambo zuri hata likitendeka linatafutwa baya ili lifiche zuri.
 
Umri miaka 45

Mume kakaa gerezani miaka 16.

Mumewe alifungwa akiwa na umri 29 bado ni binti, hongera zake.

Tujifunze kwa hawa


Sasa wengine ukisafiri mwezi tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo mwanamke atakuwa sio pisi Kali Kwa namna yyte ilibid avumilie japo Wana wazee wa hit and run wamebutua Sana
Wanawake ni watu ninaowaheshimu sana na kuwaogopa wakiamua kuweka msimamo fulani..
Wanawake wengi wa kusini ni wavumilivu sana ila usije ukamcheat umletee dharau aseee they never forgive
 
Habari kama hizi hazipewi nafasi kwenye tv wala social media badala yake jamii inalishwa story za wanandoa kuuana tu hadi jamii inazoea na kuona ni jambo la kawaida.

Pande chanya za ndoa nazo zitangazwe .
kabisa aisee.

Watu husema watu wanapenda taarifa mbaya lakini si kweli ni vile waandishi na utashi wao finyu huleta mambo ya kuuana, usaliti na kutalakiana. Wakati ndoa nzuri zipo
 
Huku kijijini kwetu kuna jamaa alifungwa miaka 30 jela kwakosa la mauaji ila alikuja kushinda rufaa yake wakati kakaa miaka 6 jela alipofika nyumbani kitu cha kwanza ni kumuandikia talaka mkewe sasa mpaka leo najiuliza kipi kilitokea yaani ile ameshuka kwenye usafiri wa baiskeli uliomleta kitu cha kwanza ni talaka
 
Najua hapo ulitandikwa mtanange heavy maana dada si karudi bikraa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…