Witness: Nilimsubiri mume wangu amalize kifungo cha miaka 30

Huyu mama namuombea kwa mwenyez mungu ampe umri mrefu aendelee kuishi na kumpenda mumewe
 
Aisee Huyu ndie malkia wa nguvu,si mchezo, Sio wale wanaopewa promo na cloud TV kila mwaka
 
Nampongeza sana Witness kwa kuwa na na msimamo pamoja na upendo wa dhati kwa mume wake. Kwani amesimama na kile kiapo cha ndoa kisemacho, TUTAKUA PAMOJA WAKATI WA SHIDA NA WAKATI WA RAHA.
 
Habari kama hizi hazipewi nafasi kwenye tv wala social media badala yake jamii inalishwa story za wanandoa kuuana tu hadi jamii inazoea na kuona ni jambo la kawaida.

Pande chanya za ndoa nazo zitangazwe .
Kiongozi TV nyingi zinapewa Muongozo wa nini cha kuonyesha kutoka kuzimu, we unaweza kuona tamthilia nyingine zenye kuonyesha ubaya wa ndoa, kusalitiana na visasi, ushoga nk. Hii yote nia ni kuhakikisha wa aharibu mindset za watu wasiwaze mema ya Mungu ktk tasisi ya ndoa na uumbaji wa Mungu na badala yake wajaze mitazamo hasi. Kwa maana akiwazacho mtu ndio alivyo. Hivyo taarifa hizi zinawekwa mahsusi tuziwaze na kutafakari na mwisho wa siku kuwa hivyo. Ndio maana Siku hizi mauwaji kwa wapenzi yameshamiri, maana taarifa ni nyingi kuliko mema. Watoto wanajzwa ujinga kupitia katoons, ushoga.. Haki zao. Nk. Ukichunguza sa a utaona unainvest uharibufu kwako na watoto kwa kununua bando za dstv, startimes etc. Tuwe Makini Sana mwisho umefika.
 
Hakuna mwanadamu anayeweza kuvumilia bila sex kwa miaka 30.

Labda aseme aliamua kutozaa tena na mwanaume mwingine.

Huu ni uongo wa dhahiri.
 
Unamfunga mume wa mtu ambae anawatoto,kwa kosa hilo pasipo kuangalia watoto wake wataishi vipi?kilikuwa hakuna adhabu nyingine?haya mumemlisha bure kwa muda wa miaka16 then mmemuachia na hamkupata chochote,lazima tue na adhabu mbadara
Weweeeeee!!! Unasemaje!???? Majambazi sio wa kuonewa huruma hata kidogo,badala ya kufungwa miaka 30 wawe wananyongwa,Wakuonewa huruma ni wala papuchi za under 18 tu hao ndio wanaotakiwa wafungwe hata miezi sita tu au mwaka mmoja kifungo cha nje.
 
Aibu kwa ma singo maza waliojawa na kiburi wakaamua kuachana na waume zao.
 
Miongozo hii ni kwa nchi za kiafrika ili tuendelee kujiona hatuwezi na kutuharibu akili zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…