Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Jamaa yako alichukua mikopo ya siri kuliko kawaida. Cag amethibitisha. Jamaa yako alilamba 1.5 tril kimya kimya. Usianzishe vita ya mawe maana uko karibu na kiooNchi yetu itachukua karne nyingi kupiga hatua, kwa sababu tunapenda viongozi lelemama wenyekutubembeleza na wenye kutoa maneno matupu. Akipatikana mtu mtendaji tunalalamika sana hasa tuliozoea kuishi maisha ya ujanjaujanja. Hali hii imepelekea nchi yenye uhuru zaidi ya miaka sitini kuendelea kuomba misaada hata ya kujengewa matundu ya vyoo vya shule n.k
Teh teh tehjina lako baya limeakisi akili yako .
Kwi kwi kwi kwi!!! Nimecheka sanaUsicheke !! Bila Mungu kuingilia kati tungekuwa kama Uganda au Rwanda. Angekataa kutoka, na wakati wa kutoka angemuachia Makonda
Taifa halihitaji kichaaMagufuli alikuwa Rais bora sana kuwahi kutokea ktk miaka ya hivi karibuni
Wapuuzi kama nyinyi ni ngumu kuelewa Taifa hili linahitaji kiuongozi wa namna gani
Ile ilikuwa ni kutuhakikishia kuwa kichaa kafa kweli.Ili kuweza kuwa chuki ya namna hii dhidi ya mtu ambaye taifa lilionyesha ni namna gani lilimpenda kwa kujitokeaza kwa mamilioni kila mwili wake ulipopitishwa lazima uwe na kautindio flani ka ubongo hata kama ndugu zako wa karibu hawakuambii unacho.
Na kisha ccm mkamuomba fisadi papa kwa kumpigia magoti arudi kundiniMimi nawalaumu sana CHADEMA kwa kumuomba Mungu tuwe na rais Dikteta hivyo tukapewa dikteta na nusu. Halafu 2015 tulishikwa pabaya mno hakukuwa na jinsi.... tusingemchagua Magu tungeangukia mikononi mwa Lowassa aliyetajwa kwenye top ten ya mafisadi papa na haohao CHADEMA. Tushukuru tu kilichotokea tarehe 17 March 2021.
Yaani mecheka yaaniiii!!!Kesi kwa kamati kuu ya chama iwe.
1.KUMPITISHA MGOMBEA URAIS 2015 HUKU WAKIJUA MGONJWA.
2.KUMRUHUSU KUFANYA PUSHUP ZA ALIZEREEEEEMA MAJUKWANI.
3.KUMRUHUSU KULA MAHINDI YAKUCHOMA KIPINDI CHA KAMPENI HUKU ANAONGEA.
Nawahakikishia yeyote ccm angeshinda. Magufuli pamoja na yote hakuwahi kushinda uchaguzi wowote hata kwao chato.Magufuli alisimamishwa kurudisha imani ya Lumumba na viunga vyake kwa wananchi. Kipindi kile bila yeye sijui Lumumba wangekuwa wapi.
Cuf, nccr wasio na mbunge je?Infact aliwaondoa kwenye ramani ya siasa za Tanzania, huko mitaani hawana ushawishi kqbisa wamebaki mitandaoni tu. Hebu fikiria chama kilikua na wabunge Mia moja na ushee mpaka sasa kina mbunge mmoja tu. We unadhani kwa hali hiyo wanaweza kumpenda Magufuli? Yaani kufa tu wanaona haitoshi wanatamani wakafukue kaburi lake wamuue tena.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Kwanini usikomae na CDM yako!?Miongoni mwa mambo ambayo nchi hii itajutia katika maisha yake yote yaliyosalia hapa duniani ni kuruhusu John Magufuli kuwa Rais wake , aliyoyatenda alipokuwa Rais kwa hiyo miaka mitano na Ushee kila mtu ameyaona , hakuna haja ya kuyarudia
Kabla ya kuwa Rais Magufuli alikuwa Waziri , kila mwenye macho aliona mambo aliyoyatenda akiwa Waziri , yalikuwemo Mazuri na Mabaya , huyu aliisababishia serikali hasara kwa kukamata meli ya uvuvi , hakuna aliyesahau hili , alipania kubomoa jengo la Tanesco Ubungo , akakatazwa na Mizengo Pinda , lakini alipotwaa madaraka akalibomoa , wala barabara iliyojengwa haikufika hata ulipokuwa ukuta wa Jengo hilo , hakuwa na sababu yoyote ya kulibomoa zaidi ya ile "UNANIJUA MIMI NI NANI"
Magufuli hakuwahi kuwa muumini wa Demokrasia kuanzia jimboni kwake , mara zote alifanya njama ili apite bila kupingwa , Uongozi ni jambo la Pamoja , yeye aliamini kwenye akili yake tu , haya yote viongozi wake wa chama waliyajua .
Ziara ya Marekani ya Rais Samia imeweka wazi yale yote tuliyokuwa tunayatilia shaka , Ripoti ya CAG imeonyesha wazi kwamba Magufuli hakuwahi kuwa Mlinzi wa rasilimali za Taifa kama tulivyodhani , alitudanganya na Ukuta wa Mererani huku madini yakiibwa !
Kwa kufupisha , Natoa wito kwa Wadau wote wenye uchungu na nchi hii KUWAFUNGULIA MASHITAKA JAKAYA KIKWETE , ABDULRAHMAN KINANA , waliokuwa viongozi wa juu wa ccm na Kamati Kuu ya Chama hicho kwa kuruhusu John Magufuli kugombea Urais wa Tanzania huku wakijua kwamba ana Mapungufu ya kutisha .
Nakala : Peter Kibatala
Sema tushitaki waliokuwa wakipika data ili ashindePia uwashtaki na wananchi waliompigia kura. [emoji1787]
Wasio na akili ni wale wasioona ukichaa wa magu fool.Ulipoanza kumtaja Magufuli kwa uongo itoshe kusema wewe ni MPUMBAVU usiye na AKILI.
Kama Mbowe anavoitawala chadema mileleIli utawale milele inapaswa uishi milele.
Tatizo lenu CCM hamjui maana ya neno"milele'.
Wengine walizimia lakini mifuko yao ya sangara hawakuachia !Tangu afe yamefanyika maandano gani zaidi ya kuzungusha dead body yake nchi nzima?
Lisu amewaambia msipoteze muda kwenye mambo ya kijinga daini katibampya,na mshambulie sehemu husika.
Inawezekana na wana CCM wamo.Magufuli aliwaumiza sana wana CHADEMA mpaka leo kawaacha na makovu. Hamtamsahau, mtamkumbuka mno!
Huwezi kufunga goli bila kuelekeza mpira goliniLisu amewaambia msipoteze muda kwenye mambo ya kijinga daini katibampya,na mshambulie sehemu husika.
NENDA KANYE UKALALE NAONA SASA HUNA HOJA ZA KUJADILI UNALAZIMISHA, MAMBO ALIYOYAFANYA JPM NI MAKUBWA HAYAJAWAHI KUFANYWA HAPA NCHINI AMEACHA ALAMA KUBWA SANA TZ TATIZO LENU NI UVIVU WA KUFANYAKAZI NA WIZI UMEWAZIDI MLIZOEA VYA KUNYONGA VYA KUCHINJA VINAWASHINDA JPM KAACHA ALAMA YA KUKUMBUKWA MPAKA NA WAJUKUU ZENUMiongoni mwa mambo ambayo nchi hii itajutia katika maisha yake yote yaliyosalia hapa duniani ni kuruhusu John Magufuli kuwa Rais wake , aliyoyatenda alipokuwa Rais kwa hiyo miaka mitano na Ushee kila mtu ameyaona , hakuna haja ya kuyarudia
Kabla ya kuwa Rais Magufuli alikuwa Waziri , kila mwenye macho aliona mambo aliyoyatenda akiwa Waziri , yalikuwemo Mazuri na Mabaya , huyu aliisababishia serikali hasara kwa kukamata meli ya uvuvi , hakuna aliyesahau hili , alipania kubomoa jengo la Tanesco Ubungo , akakatazwa na Mizengo Pinda , lakini alipotwaa madaraka akalibomoa , wala barabara iliyojengwa haikufika hata ulipokuwa ukuta wa Jengo hilo , hakuwa na sababu yoyote ya kulibomoa zaidi ya ile "UNANIJUA MIMI NI NANI"
Magufuli hakuwahi kuwa muumini wa Demokrasia kuanzia jimboni kwake , mara zote alifanya njama ili apite bila kupingwa , Uongozi ni jambo la Pamoja , yeye aliamini kwenye akili yake tu , haya yote viongozi wake wa chama waliyajua .
Ziara ya Marekani ya Rais Samia imeweka wazi yale yote tuliyokuwa tunayatilia shaka , Ripoti ya CAG imeonyesha wazi kwamba Magufuli hakuwahi kuwa Mlinzi wa rasilimali za Taifa kama tulivyodhani , alitudanganya na Ukuta wa Mererani huku madini yakiibwa !
Kwa kufupisha , Natoa wito kwa Wadau wote wenye uchungu na nchi hii KUWAFUNGULIA MASHITAKA JAKAYA KIKWETE , ABDULRAHMAN KINANA , waliokuwa viongozi wa juu wa ccm na Kamati Kuu ya Chama hicho kwa kuruhusu John Magufuli kugombea Urais wa Tanzania huku wakijua kwamba ana Mapungufu ya kutisha .
Nakala : Peter Kibatala
mbowe kishatulizwa hiyo katiba mpya mtaisikia kwenye bomba makengeza kwa hela humwambii kitu sasa hivi mtabaki kufokewa tu kwenye mikutano yenu hakuna kusema vibaya serikaliHuwezi kufunga goli bila kuelekeza mpira golini