Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015

Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015

Nchi yetu itachukua karne nyingi kupiga hatua, kwa sababu tunapenda viongozi lelemama wenyekutubembeleza na wenye kutoa maneno matupu. Akipatikana mtu mtendaji tunalalamika sana hasa tuliozoea kuishi maisha ya ujanjaujanja. Hali hii imepelekea nchi yenye uhuru zaidi ya miaka sitini kuendelea kuomba misaada hata ya kujengewa matundu ya vyoo vya shule n.k
Jamaa yako alichukua mikopo ya siri kuliko kawaida. Cag amethibitisha. Jamaa yako alilamba 1.5 tril kimya kimya. Usianzishe vita ya mawe maana uko karibu na kioo
 
Magufuli alikuwa Rais bora sana kuwahi kutokea ktk miaka ya hivi karibuni

Wapuuzi kama nyinyi ni ngumu kuelewa Taifa hili linahitaji kiuongozi wa namna gani
Taifa halihitaji kichaa
 
Ili kuweza kuwa chuki ya namna hii dhidi ya mtu ambaye taifa lilionyesha ni namna gani lilimpenda kwa kujitokeaza kwa mamilioni kila mwili wake ulipopitishwa lazima uwe na kautindio flani ka ubongo hata kama ndugu zako wa karibu hawakuambii unacho.
Ile ilikuwa ni kutuhakikishia kuwa kichaa kafa kweli.
Watanzania ushangilia kila kitu
 
Mimi nawalaumu sana CHADEMA kwa kumuomba Mungu tuwe na rais Dikteta hivyo tukapewa dikteta na nusu. Halafu 2015 tulishikwa pabaya mno hakukuwa na jinsi.... tusingemchagua Magu tungeangukia mikononi mwa Lowassa aliyetajwa kwenye top ten ya mafisadi papa na haohao CHADEMA. Tushukuru tu kilichotokea tarehe 17 March 2021.
Na kisha ccm mkamuomba fisadi papa kwa kumpigia magoti arudi kundini
 
Kesi kwa kamati kuu ya chama iwe.
1.KUMPITISHA MGOMBEA URAIS 2015 HUKU WAKIJUA MGONJWA.
2.KUMRUHUSU KUFANYA PUSHUP ZA ALIZEREEEEEMA MAJUKWANI.
3.KUMRUHUSU KULA MAHINDI YAKUCHOMA KIPINDI CHA KAMPENI HUKU ANAONGEA.
Yaani mecheka yaaniiii!!!
 
Magufuli alisimamishwa kurudisha imani ya Lumumba na viunga vyake kwa wananchi. Kipindi kile bila yeye sijui Lumumba wangekuwa wapi.
Nawahakikishia yeyote ccm angeshinda. Magufuli pamoja na yote hakuwahi kushinda uchaguzi wowote hata kwao chato.
Magoli yaliyoitwa ya mkono ndio yalimleta kichaa.
Ulizeni ndugu zake wa kuzaliwa nao tumbo moja akivyo wadhulumu.
 
Infact aliwaondoa kwenye ramani ya siasa za Tanzania, huko mitaani hawana ushawishi kqbisa wamebaki mitandaoni tu. Hebu fikiria chama kilikua na wabunge Mia moja na ushee mpaka sasa kina mbunge mmoja tu. We unadhani kwa hali hiyo wanaweza kumpenda Magufuli? Yaani kufa tu wanaona haitoshi wanatamani wakafukue kaburi lake wamuue tena.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Cuf, nccr wasio na mbunge je?
Malipo ya dhulma ilikuwa kifo na anawaka moto usiokwisha
 
Miongoni mwa mambo ambayo nchi hii itajutia katika maisha yake yote yaliyosalia hapa duniani ni kuruhusu John Magufuli kuwa Rais wake , aliyoyatenda alipokuwa Rais kwa hiyo miaka mitano na Ushee kila mtu ameyaona , hakuna haja ya kuyarudia

Kabla ya kuwa Rais Magufuli alikuwa Waziri , kila mwenye macho aliona mambo aliyoyatenda akiwa Waziri , yalikuwemo Mazuri na Mabaya , huyu aliisababishia serikali hasara kwa kukamata meli ya uvuvi , hakuna aliyesahau hili , alipania kubomoa jengo la Tanesco Ubungo , akakatazwa na Mizengo Pinda , lakini alipotwaa madaraka akalibomoa , wala barabara iliyojengwa haikufika hata ulipokuwa ukuta wa Jengo hilo , hakuwa na sababu yoyote ya kulibomoa zaidi ya ile "UNANIJUA MIMI NI NANI"

Magufuli hakuwahi kuwa muumini wa Demokrasia kuanzia jimboni kwake , mara zote alifanya njama ili apite bila kupingwa , Uongozi ni jambo la Pamoja , yeye aliamini kwenye akili yake tu , haya yote viongozi wake wa chama waliyajua .

Ziara ya Marekani ya Rais Samia imeweka wazi yale yote tuliyokuwa tunayatilia shaka , Ripoti ya CAG imeonyesha wazi kwamba Magufuli hakuwahi kuwa Mlinzi wa rasilimali za Taifa kama tulivyodhani , alitudanganya na Ukuta wa Mererani huku madini yakiibwa !

Kwa kufupisha , Natoa wito kwa Wadau wote wenye uchungu na nchi hii KUWAFUNGULIA MASHITAKA JAKAYA KIKWETE , ABDULRAHMAN KINANA , waliokuwa viongozi wa juu wa ccm na Kamati Kuu ya Chama hicho kwa kuruhusu John Magufuli kugombea Urais wa Tanzania huku wakijua kwamba ana Mapungufu ya kutisha .

Nakala : Peter Kibatala
Kwanini usikomae na CDM yako!?
 
Tangu afe yamefanyika maandano gani zaidi ya kuzungusha dead body yake nchi nzima?
Wengine walizimia lakini mifuko yao ya sangara hawakuachia !

Katika_Historia%3A%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hak...jpg
 
Miongoni mwa mambo ambayo nchi hii itajutia katika maisha yake yote yaliyosalia hapa duniani ni kuruhusu John Magufuli kuwa Rais wake , aliyoyatenda alipokuwa Rais kwa hiyo miaka mitano na Ushee kila mtu ameyaona , hakuna haja ya kuyarudia

Kabla ya kuwa Rais Magufuli alikuwa Waziri , kila mwenye macho aliona mambo aliyoyatenda akiwa Waziri , yalikuwemo Mazuri na Mabaya , huyu aliisababishia serikali hasara kwa kukamata meli ya uvuvi , hakuna aliyesahau hili , alipania kubomoa jengo la Tanesco Ubungo , akakatazwa na Mizengo Pinda , lakini alipotwaa madaraka akalibomoa , wala barabara iliyojengwa haikufika hata ulipokuwa ukuta wa Jengo hilo , hakuwa na sababu yoyote ya kulibomoa zaidi ya ile "UNANIJUA MIMI NI NANI"

Magufuli hakuwahi kuwa muumini wa Demokrasia kuanzia jimboni kwake , mara zote alifanya njama ili apite bila kupingwa , Uongozi ni jambo la Pamoja , yeye aliamini kwenye akili yake tu , haya yote viongozi wake wa chama waliyajua .

Ziara ya Marekani ya Rais Samia imeweka wazi yale yote tuliyokuwa tunayatilia shaka , Ripoti ya CAG imeonyesha wazi kwamba Magufuli hakuwahi kuwa Mlinzi wa rasilimali za Taifa kama tulivyodhani , alitudanganya na Ukuta wa Mererani huku madini yakiibwa !

Kwa kufupisha , Natoa wito kwa Wadau wote wenye uchungu na nchi hii KUWAFUNGULIA MASHITAKA JAKAYA KIKWETE , ABDULRAHMAN KINANA , waliokuwa viongozi wa juu wa ccm na Kamati Kuu ya Chama hicho kwa kuruhusu John Magufuli kugombea Urais wa Tanzania huku wakijua kwamba ana Mapungufu ya kutisha .

Nakala : Peter Kibatala
NENDA KANYE UKALALE NAONA SASA HUNA HOJA ZA KUJADILI UNALAZIMISHA, MAMBO ALIYOYAFANYA JPM NI MAKUBWA HAYAJAWAHI KUFANYWA HAPA NCHINI AMEACHA ALAMA KUBWA SANA TZ TATIZO LENU NI UVIVU WA KUFANYAKAZI NA WIZI UMEWAZIDI MLIZOEA VYA KUNYONGA VYA KUCHINJA VINAWASHINDA JPM KAACHA ALAMA YA KUKUMBUKWA MPAKA NA WAJUKUU ZENU
 
Huwezi kufunga goli bila kuelekeza mpira golini
mbowe kishatulizwa hiyo katiba mpya mtaisikia kwenye bomba makengeza kwa hela humwambii kitu sasa hivi mtabaki kufokewa tu kwenye mikutano yenu hakuna kusema vibaya serikali
 
Back
Top Bottom