Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015

Ndege imekamatwa tena huko kutokana na Udikteta wake
Vurugu aliyoitengeneza kwa nchi yetu kwa miaka 5 tu madhara yake yanakwenda mbali mno.

Ila tumshukuru Mungu kwa kumkataa na kumuondoa kabisa kwenye Dunia ya wastaarabu Magufuli
 
Lakini kwanini waliomteua wasikamatwe ?
 
Ndo post kama hizi, uchawa wa incumbent rulers.

Kuna Mu Iran mmoja yuko uhamishoni Canada. Alikuwa ndugu wa ufalme na mwana usalama kabla hajakimbia alipokosana nao.

Anasema kwenye documentary ya NETFLIX kwamba serikalini Iran wana ofisi ya IT kazi yake ni kutuma maelfu na maelfu ya ma post ya kuupamba utawala, na kupinga wakosoaji, na wanayatuma kana kwamba kuna watu weeengi wanaunga mkono utawala. Kama hicho kitengo hakipo serikalini URT basi kipo CCM, I bet everything I have on this.
 
Kama kuna aliyekuelewa hapa basi naomba na mimi anieleweshe
 
Tunapoandika humu JF hatuandiki kwa chuki , bali tunaandika kwa haki .

Haya Kiko wapi sasa ?
 
Makaburu huko Afrika ya Kusini waliacha miundombinu kabambe kuliko nchi yeyote katika bara letu.
Lakini kwa sababu ya udhalimu ubaguzi ushenzi na kutweza utu wa wazawa, shukurani zao ilikuwa ni kuwatimua bila kujali miundombinu hiyo.
Maendeleo ya watu kabla ya vitu mjomba.
 
Nyie ndio mnataka mpewe nchi? Eti mdude anataka uwaziri wa fedha, this is joke
Na huyo waziri aliyepo ndio kasaidia nini katika kuimarisha uchumi wa mtu mmoja mmoja na nchi yetu kwa ujumla zaidi ya kutoza kodi mnyonge mara mbili kwa njia za tozo.
Madelu si mchumi kitu zaidi ni mchumiatumbo,ameshalewa madaraka,ni kejeri kwa wanaomlipa mshahara eti wasiokubaliana na tozo zake wahamie Burundi,hadi anawadharau wabunge wenzake eti ni waganga wa kienyeji.
Sasa hivi yuko busy kwenye maandalizi ya kukusanya za kuandika kwenye mawe 2025.
 
Na huyo waziri aliyepo ndio kasaidia nini katika kuimarisha uchumi wa mtu mmoja mmoja na nchi yetu kwa ujumla zaidi ya kutoza kodi mnyonge mara mbili kwa njia za tozo.
Madelu si mchumi kitu zaidi ni mchumiatumbo,sasa hivi yuko kwenye maandalizi ya kukusanya za kuandika kwenye mawe 2025.
Akijibu nistue
 
Back
Top Bottom