Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Niombe kampuni kubwa ya kimataifa ya Pizza Hut isogeze huduma maeneo ya temeke na mbagala jijini dar es salaam.
Naambiwa kampuni hii ina migahawa maeneo mikocheni, masaki, msasani na oysterbay hivyo tunaomba wafungue pia matawi na kuanzisha huduma za "delivery" huku kwetu
Naamini hii itakuwa fursa kubwa kiuchumi kwa pande zote husika
Tutashukuru sana kama ombi letu litakubaliwa
Niwatakie usiku na sabato njema