Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ni kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kumkufuru Mungu na kujitafutia laana ya kujitakia ya Milele.
Salamu zingine ambazo hazipaswi kupokelewa ni kutoka kwa viongozi wote Wastaafu wa Tanzania wanashabihiana na CCM na bila shaka wanaoshabihiana na Serikali hii.
Hawa wote kwa Umoja kunyamazia malalamiko mengi sana ya Wananchi kuhusu Utekaji.
CHADEMA Ibaki na Mungu na wao waendelee kubaki na Shetani na Dola yao.
Mungu Ibariki CHADEMA, Mungu zipokee roho za Marehemu wote wanaouawa kwa vile tu Wameichagua CHADEMA, Amina.
Soma Pia: