Wito: Kufuatia Mauaji ya Mzee Ali Kibao, CHADEMA isipokee salamu zozote za Pole kutoka CCM wala Serikalini

Wito: Kufuatia Mauaji ya Mzee Ali Kibao, CHADEMA isipokee salamu zozote za Pole kutoka CCM wala Serikalini

Tunawashukuru watu Tanga kwa Kumshusha Jukwaani Hamad Masauni
 
Hii ni kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kumkufuru Mungu na kujitafutia laana ya kujitakia ya Milele.

Salamu zingine ambazo hazipaswi kupokelewa ni kutoka kwa viongozi wote Wastaafu wa Tanzania wanashabihiana na CCM na bila shaka wanaoshabihiana na Serikali hii.

Hawa wote kwa Umoja kunyamazia malalamiko mengi sana ya Wananchi kuhusu Utekaji.

CHADEMA Ibaki na Mungu na wao waendelee kubaki na Shetani na Dola yao.

Mungu Ibariki CHADEMA, Mungu zipokee roho za Marehemu wote wanaouawa kwa vile tu Wameichagua CHADEMA, Amina.

Soma Pia:
Wewe jamaa unaandikaga utumbo sana. Mbowe angekuwa na akili kama zako chama kingeshamfia zamani mno. Jifunze diplomasia. Wewe unacholilia kutendewa watendee wengine.. unahubiri demokrasia na chuki kwa wakati mmoja. Acha vyombo vya dola vifanye kazi yake kuwafuatilia waliotenda unyama badala ya kuhukumu wanaCCM wote.
 
Dola ipi iachwe ifanye kazi, hii ya akina Kingai? wadanganye Wajinga
 
Back
Top Bottom