Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Nimeitaja ACT-WAZALENDO kama chama ambacho kidogo kina muonekano kwa jamii leo hii japo siyo kikubwa kuliko CHADEMA.
Kinachoendelea kati ya jeshi la polisi na CHADEMA si uhai kwa vyama vya siasa hasa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kuna kila dalili polisi watatumika kuvuruga chaguzi hizo.
Wito wangu ACT-WAZALENDO mnaziara za ujenzi wa chama, hakikisheni katika ziara zenu pingeni na fanyeni maandamano ya kupinga kinachoendelea.
Soma Pia:
Pia ACT-WAZALENDO msijione mko salama ,hacheni siasa nyepesi, hamko salama kama mnavyofikiri huu wakati ni wakupinga linaloendelea ndani ya nchi hii wapenda Demokrasia tupinge Kinachoendelea CCM imefirisika haina nguvu haina uwezo,nguvu imebaki kwa jeshi la polisi.