Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
hofu ya ccm ni nini hadi wanakataa kura ya siri ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hofu ya ccm ni nini hadi wanakataa kura ya siri ?
sisi wa mkoa wa Arusha hatujakaa tukamtuma Lema kupiga kura ya wazi au ya siri, ebu na wewe nikuulize mbunge wako ni nani na je?mlikaa kikao gani mkamtuma apigi kura ya wazi?tafadhali kuwa mkweli kumbuka mbunge ni wa wananchi sio wa cc ya chamaMmbunge maana yake ni representative of the people na anachaguliwa na watu, sasa sijui iweje tena mtu anaamua kubadili maana wakati the whole purpose of representing is to hear as many demands of society as possible through their rep. Hiyo ndio sababu kuu ya uchaguzi kwa maana hiyo haki kwa wapiga kura kujua umechagua nini. Hili haki itendeke kwa wapiga kura kama unalilia kura ya siri walau wapiga kura wafahamu msimamo wako vinginevyo inakuwa ni maslahi binafsi na ulaghai unaweza waongopea baadae kama ukiulizwa na kujibu kwa kupima upepo.
Kwa maana hiyo siku zote mmbunge huwa anasimama kwa niaba ya watu na chama chake kwakuwa hakuna mgombea binafsi ambae anaweza dai yeye kachaguliwa kwa misimamo binafsi, hivyo basi kwa misingi hiyo kura ya wazi ndio njia pekee yenye misingi ya demokrasia.
Vilevile vyama vya siasa vina misingi yake na katiba zao ambazo ndio nguzo za chama, ilikukipa chama long term stability na wanachama wake. CCM ni zao la TANU na ASP vikitokea bara na visiwani hivyo unaweza ona nini misingi ya chama hicho na muungano wa serikali mbili kwanini unapewa priority kwa sababu za stability ya chama na muungano wenyewe wa kitaifa, wajumbe wanaoenda nyume na hapo maana yake wwanaenda vunja stability na nguzo za chama.
Ndio maana wanachama wapya kwenye vyama vya siasa huwa wana apishwa kwa maneno ya watatii na kufuata taratibu za chama na hivyo wanakuwa binded na taratibu za chama. Sasa kama mtu anafahamu nguzo za chama na misimamo yake alifuata nini huko kama azikubali, na kama alijua kwanini leo akatae kusimama na wenzake ndio maana kwa wazungu upuuzi huu hawataki. Well hata CDM sio ndio maana kuna watu walifukuzwa na wengine kutokea mahakamani kwa madai ya kukiuka kanuni za chama, leo taratibu hizi kwa wengine zionekane tofauti.
CCM ZnZ bado hipo imara kwa maoni yangu maana hawaoni aibu kuwataja wasaliti CCM bara ndio legelege angekuwa Nyerere angeshatoa adhabu wengi leo wenye kelele za kuuvunja muungano wamerudi baada ya viongozi waliofuata na kifo cha JKN vinginevyo tungekuwa tumeshawasahau na wabishi leo consquences would have been felt.
Kwa maana hao ndio watu watakao kuwa siku zote wanayumbisha chama cha magamba ndio maana kuna ulazima wa wajumbe kupiga kura za kichama kama wanaelewa nguzo za chama chao, uingereza swala kama hilo sio ombi ni amri kwa mwanachama mmbunge vinginevyo unafukuzwa chama live.
Mimi mmbunge wangu nilimpigia kura kutokana na package nzima ya chama chake ila najuta kidogo kwakuwa kero za jimbo amezisahau na wala hajawahi ziibua bungeni, vivyo ningependa kujua atachagua nini huko bungeni kwa niaba yetu na kama vipo kimaslahi yangu kama raia hili nijue next time kama kura yangu ataipata tena, na wewe ni bora sasa ujue Lema yupo kwa ajili gani juzi watu wamevunjiwa nyumba hapo sakina kinyume na mkataba wa katiba.sisi wa mkoa wa Arusha hatujakaa tukamtuma Lema kupiga kura ya wazi au ya siri, ebu na wewe nikuulize mbunge wako ni nani na je?mlikaa kikao gani mkamtuma apigi kura ya wazi?tafadhali kuwa mkweli kumbuka mbunge ni wa wananchi sio wa cc ya chama
na kuhusu mwenyekiti wa muda wa katiba ulimtuma amchague nani? na kwa nini kapiga kura ya siri nakuomba unitajie mbunge wako kama kweli wewe ni muwazi mbona mimi nimekutajia? Lema alijitahidi sana kuiambia serikali ya ccm isivunje zile nyumba lakini wametumia nguvu kwa kuwa wao ndio wenye madarakaMimi mmbunge wangu nilimpigia kura kutokana na package nzima ya chama chake ila najuta kidogo kwakuwa kero za jimbo amezisahau na wala hajawahi ziibua bungeni, vivyo ningependa kujua atachagua nini huko bungeni kwa niaba yetu na kama vipo kimaslahi yangu kama raia hili nijue next time kama kura yangu ataipata tena, na wewe ni bora sasa ujue Lema yupo kwa ajili gani juzi watu wamevunjiwa nyumba hapo sakina kinyume na mkataba wa katiba.
Lema huyo huyo na chama chake wanaolilia kubadilishwa kwa katiba wakati ya sasa yeye mwenyewe hajui ina vitu gani mpaka kashindwa kuzuia uvunjifu wa makazi ya wa wanajimbo lake bila ya kufuata utaratibu kamili wa haki za raia wa tanzania. Watu licha ya kupoteza mahala pa kuishi bali na mali zao pia, halafu majirani badala ya kusaidia kukusanya vitu vya wenzao wanaenda waibia mbele ya camera (arusha inabidi mmbadilike mambo ya kiuni kiuni ni ya kale). Nakushauri next time kabla ujapoteza haki yako ya msingi katika kuchagua rep wako hakikisha anajua namna ya kutetea maslahi yako hapo ulipo na acha kuburuzwa na personality na siasa za chuki-chuki.
Ushasema mwenyekiti wa muda ina maana yupo pale mpaka taratibu za kidemokrasia zitakapo fuata kwa sasa nadhani kulitakiwa kuwepo na mwenyekiti wa kuchaguliwa isipokuwa mambo kama unavyoona ni shaghla-baghala vitu vidogo wanashindwa kukubaliana navyo.na kuhusu mwenyekiti wa muda wa katiba ulimtuma amchague nani?
Well if you must know Mmbunge wangu anaitwa bwana Mussa Azzan aka Zungu. Ningependa kujua kachagua nini kwa niaba yangu.kwa nini kapiga kura ya siri nakuomba unitajie mbunge wako kama kweli wewe ni muwazi mbona mimi nimekutajia? Lema alijitahidi sana kuiambia serikali ya ccm isivunje zile nyumba lakini wametumia nguvu kwa kuwa wao ndio wenye madaraka
na ndio maana nakuuliza,wewe unajua alimchugua nani kwenye kura ya kumchagua huyo mwenyekiti wa muda? au kwenye mwenyekiti wa kudumu mlimtuma amchague nani? na kwenye serikali I,2au3 mmemtuma achague hipi? kumbuka nilikuuliza mlikaa kikao gani mkamtuma hayo,hilo ujanijibu badoUshasema mwenyekiti wa muda ina maana yupo pale mpaka taratibu za kidemokrasia zitakapo fuata kwa sasa nadhani kulitakiwa kuwepo na mwenyekiti wa kuchaguliwa isipokuwa mambo kama unavyoona ni shaghla-baghala vitu vidogo wanashindwa kukubaliana navyo.
Well if you must know Mmbunge wangu anaitwa bwana Mussa Azzan aka Zungu. Ningependa kujua kachagua nini kwa niaba yangu.
Kuhusu Lema kama angejitahidi nyumba zisingevunjwa maana sheria hipo upande wa wananchi hivi hata hiyo katiba ya sasa mmeisoma maana kuna vitu vingi sana bunge la jamhuri limetungia sheria ambazo zinakinzana na katiba hii hii iliyopo lakini hakuna challenges ndio ujiulize unaitoa CCM unaibadilisha na nini?
Trust me katiba mpya hatukuhiitaji kabisa yes kuna vitu ilibidi vibadilike kwenye katiba ya sasa lakini usifanye mchezo na haki za mtanzania kwenye katiba mnayotaka ibadilisha, isipokuwa aikueshimiwa na sheria nyingi za ukandamizaji zimetungwa na hazijawahi kuwa challenged kwa kuwa unconstitutional, inaonyesha uchanga wa siasa zetu na huwezo wa vyama vya upinzani.
Mwenyekiti wa muda yupo hili shughuli ianze kwa kusimamia bunge lakini taratibu sahihi zinafuata, kama unaangalia bunge la katiba utaona mantiki ya kuwa na mwenyekiti hata wa muda.na ndio maana nakuuliza,wewe unajua alimchugua nani kwenye kura ya kumchagua huyo mwenyekiti wa muda?
Nafasi ya mwenyekiti wa kudumu itatokana na wajumbe waliochukua form na kupigiwa kura na WBK namna za kidemokrasia, seriously muwe mnafuatilia habari kabla ya kuchoshana na maswali ambayo maelezo yake yapo wazi.mwenyekiti wa kudumu mlimtuma amchague nani?
Kazi ya mwenyekiti ni kuchagua muundo wa serikali au ni jukumu la wajumbe wote in general kupitia kura? me out, hivi unajua hata kwanini ulichagua Lema ama.na kwenye serikali I,2au3 mmemtuma achague hipi? kumbuka nilikuuliza mlikaa kikao gani mkamtuma hayo,hilo ujanijibu bado
na ndio maana nakuuliza,wewe unajua alimchugua nani kwenye kura ya kumchagua huyo mwenyekiti wa muda? au kwenye mwenyekiti wa kudumu mlimtuma amchague nani? na kwenye serikali I,2au3 mmemtuma achague hipi? kumbuka nilikuuliza mlikaa kikao gani mkamtuma hayo,hilo ujanijibu bado
Si ndio mantiki ya chama inapoingia kwakuwa hatuja kaa kikao na mmbunge wetu kuamua kwa pamoja, kwa maana hiyo logic ya party lines has to prevail as an assumption kama wapiga kura walichagua chama fulani maana yake wanakubalina na misimamo yao kwa ujumla ndipo umuhimu wa kura ya wazi unapokuja nijue yule bwana kachagua nini kwa niaba yangu.Sidhani kama atakujibu, kwa kuwa nina uhakika hawajakaa kikao chochote na Mbunge Zungu Mussa A, ili kuamua wanataka serikali ngapi, Mwenyekiti wa muda, wa kudumu na njia ya kufikia maamuzi kama kura iwe ya Siri au Wazi, hawaja kaa kikao chochote. Ukweli utakuweka Huru!
Mkuu, hili bunge limekosa mashiko kwasababu ya NJIA iliyotumika kuwapata hawa wanaoitwa wabunge wa bunge maalumu la katiba. Pamoja na kwamba kwa sasa wapo kisheria, lakini hawana Uhuru kwasababu ya TOO MUCH CONTROL waliyonayo waliowachagua.....be it a political party or the presidents office iliyofanya kazi ya appointment of the 201 candidates.Unapoenda sehemu kupitia njia kama mwakilishi wa kundi fulani na umefikia hapo kupitia hilo kundi unabanwa na misimamo ya kikundi kwa maslahi ya kundi kumbuka ukulazimishwa kujiunga, ulijiunga kwa sababu unakiamini kikundi na umechaguliwa na wapiga kura kwa sababu za kulikubali hilo kundi.
Siasa umejifunza wapi we mbona kitu basic hicho politically. Ndio maana waelevu kama kina Shivji waliwaonya kukwepa haya mntakiwa kudai bunge la wananchi sio hili la sasa lenye makundi ya siasa, hapo party interest hazikwepeki na ni democratically right.
Huo ndio msimamo wa CCM from very beginning, haijawahi kuwa sera ya CCM, wala haijawahi kuwa jambo la kipaombele.Kuhusu Lema kama angejitahidi nyumba zisingevunjwa maana sheria hipo upande wa wananchi hivi hata hiyo katiba ya sasa mmeisoma maana kuna vitu vingi sana bunge la jamhuri limetungia sheria ambazo zinakinzana na katiba hii hii iliyopo lakini hakuna challenges ndio ujiulize unaitoa CCM unaibadilisha na nini?
Trust me katiba mpya hatukuhiitaji kabisa yes kuna vitu ilibidi vibadilike kwenye katiba ya sasa lakini usifanye mchezo na haki za mtanzania kwenye katiba mnayotaka ibadilisha, isipokuwa aikueshimiwa na sheria nyingi za ukandamizaji zimetungwa na hazijawahi kuwa challenged kwa kuwa unconstitutional, inaonyesha uchanga wa siasa zetu na huwezo wa vyama vya upinzani.
Sioni kama ni tatizo maana hayakuwa hata madai ya watanzania ambao leo wanabadilishiwa katiba, tumefikia hapa kwa waropokaji wa kisiasa.Huo ndio msimamo wa CCM from very beginning, haijawahi kuwa sera ya CCM, wala haijawahi kuwa jambo la kipaombele.
Unaweza kuwalaumu kweli kwa maoni hayo, katiba hipo kwa sababu ya kuhalalisha yale yanayo ruhusiwa na uongozi uliopo na mipaka ya uongozi wao to their subjects, ikizingatia kulinda siasa ubabe (as in dictatordhip), mipaka na majukumu ya serikali na namna kufikisha malengo, haki za raia katika jamii (including haki za kibanadamu ambazo zinamfanya mtu haweze tumia fursa au kupatia fursa ndani ya jamii).Tumesikia wabunge kadhaa wa CCM wakisema Katiba mpya haina maana, kwakuwa haileti ugali mezani.
Wewe pia unasema kwa hakika Katiba mpya haihitajiki.
Na pia watu walewale waliodai katiba mpya waliiwaminisha wananchi kama vile katiba mpya inahitajika sana, watu walewale hawakuona umuhimu wa kuwa specific, watu walewale hawakujua mchakato wa haki ufanane vipi watu walewale walijua serikali itatumia hela nyingi, kwa mimi hawa ndio wakulaumiwa zaidi leo kwa maana wametufikisha bila ya kujua wanataka mabadiliko gani haswa.Watu walewale wasioamini kwenye katiba mpya, ndio walioanzisha mchakato unaoli cost taifa mabilioni ya pesa. Watu wale wale, wamejipa uwezo wa kuchagua wajumbe 201, watu wale wale wamechagua tume, watu walewale wanaiponda rasimu ya katiba iliyotengenezwa na watu wao waliowachagua.
Nitajie lini wananchi wenyewe walifanya kikao hata bar kuzungumzia katiba mpya, let alone maandamano ya kudai hivyo. Tanzania ya sasa wananchi wanafanya mikutano ya kudai polisi kwanini wahalifu wamewaachia mapema, watanzania wanalalamika kwanini serikali isiwakopeshe pembejeo walipe baada ya kuvuna, watanzania wanadai serikali iwapatie masoko ya bidhaa zao, watanzania wanademand infrastructure, watanzania wana-demand quality of education wengi wao ufanya hivyo kimakundi.Katiba haiwezi kuwa zawadi ya rais kwa taifa, katiba lazima iwe vuguvugu la wananchi.
Really???!!!Nitajie lini wananchi wenyewe walifanya kikao hata bar kuzungumzia katiba mpya, let alone maandamano ya kudai hivyo tanzania ya sasa wananchi wanafanya mikutano ya kudai polisi kwanini wahalifu wamewaachia mapema, watanzania wanalalamika kwanini serikali isiwakopeshe pembejeo walipe baada ya kuvuna, watanzania wanadai serikali iwapatie masoko ya bidhaa zao, watanzania wanademand infrastructure, watanzania wana-demand quality of education wengi wao ufanya hivyo kimakundi. Sijawahi kusikia watanzania wanademand katiba mpya wao wenyewe zaidi ya upuuzi walioanzisha viongozi wa CDM ambao hawajui hata specifically wanataka mabadiliko gani ndani ya katiba mpya ukitoa swala la serikali tatu useless people if you ask me, ndio waliotufikisha hapa na hizi gharama ambazo azikuwa na ulazima.
Ndahani ninajadili na mtu asieelewa kabisa au aliyelishwa maneno. PERIOD.Sijawahi kusikia watanzania wanademand katiba mpya wao wenyewe zaidi ya upuuzi walioanzisha viongozi wa CDM ambao hawajui hata specifically wanataka mabadiliko gani ndani ya katiba mpya ukitoa swala la serikali tatu useless people if you ask me, ndio waliotufikisha hapa na hizi gharama ambazo azikuwa na ulazima.
Na pia watu walewale waliodai katiba mpya waliiwaminisha wananchi kama vile katiba mpya inahitajika sana, watu walewale hawakuona umuhimu wa kuwa specific, watu walewale hawakujua mchakato wa haki ufanane vipi watu walewale walijua serikali itatumia hela nyingi, kwa mimi hawa ndio wakulaumiwa zi leo.
Haya tena yale yale dont tell me una short 'memory span' which last for less than an hour maana hayo hapo chini ni maandishi yako. Ukizungumzia msimamo wa CCM na katiba mpyaReally???!!!
Mchakato wa katiba mpya umeanzishwa na nani?
Mchakato wa katiba mpya waanzishe CCM, lawama wapewe CHADEMA?
kwakuwa CCM hawakuidai, wananchi hawakuidai leo CDM mnataka kukana sera ambayo kutwa mmekuwa mkijivunia mmeanzisha nyinyi na juisi viongozi wenu walienda kunywa ikulu ama hayo pia ukumbuki (mh naona ya juisi ntakuwa nimekurudisha mbali based on ya memory span).Huo ndio msimamo wa CCM from very beginning, haijawahi kuwa sera ya CCM, wala haijawahi kuwa jambo la kipaombele.
Rasimu ni zao la demand ya katiba mpya na mengi yaliyokuwa drafted mule ni vitu ambavyo haviwezekaniki kimisingi ya haki especially kwenye madai ya mienendo ya viongozi (kwa sasa subiri usije baadae kumwita Lissu msaliti ikifika huko watafafanua kivipi), anyway wachilia maswala ya mapendekezo mapya nimekuuliza wewe leta sehemu ambayo unaona iliitaji mabadiliko tuone kweli katiba ilipwaya. Yalianza madai ya katiba rasimu ikafuata kabla ya rasimu uliona mapungufu gani wacha kuzunguka mmbuyu, mbona swali jepesi tu.Ndahani ninajadili na mtu asieelewa kabisa au aliyelishwa maneno. PERIOD.
Kama hujui rasimu ya pili ya katiba mpya ina mambo gani tofauti na katiba ya zamani apart from swala la serikali ngapi, basi haina maana kujadili haya mambo.
Nitajie muungano wa taifa uliowahi vunjika bila ya demand za wananchi wenyewe, iweje wewe uone umuhimu wa wanasiasa kuzungumzia muundo wa serikali bila ya hata kuona ulazima wa kura ya maoni au hata kwa nguvu ya umma, hata huko crimea kuliko jaa wa russian speaking wameanza na kura ya maoni ndivyo namna ya serikali zinavyo badilishwa endapo maisha ya watu yanaenda kuwa disrupted extensively. Ajabu nyie mnaona sawa wachache kuzungumzia hili kwa misikumo yao, halafu mnadai ndio matakwa ya wananchi kupitia majadiliano yao na tume ya katiba. Tume ambayo aijahoji hata watanzania laki mbili kati ya million 46 waliopo na isitoshe hata hao walio hojiwa ni wachache sana wamegusia muungano ambao ni 'thelasini elfu' tu na waligawanyika katika serikali 1,2 na 3 sasa hayo ni mawazo ya wananchi au babu warioba kuhusu serikali tatu.Labda kwa kukusaidia, Mjadala huwa unatokea kwenye mambo yenye uzito, mambo ambayo yanagusa maslahi mapana ya jambo. Swala la serikali ngapi linagusa maslahi mapana ya MUUNGANO. Swala la msingi hapa ni kwamba huwezi kujadili vipengele vingine bila kugusa MUUNGANO na aina ya serikali zake. HUO NDIO UKWELI.
Be specific kura ya siri au ya uwazi zinausiana vipi na madai ya katiba mpya au mapendekezo ya muundo wa seriakli maana hapo kwenye kanuni kelele ni usaliti tu na wajumbe wasiojua wamefika vipi huko bungeni in the first place.Kama ambavyo kwenye swala la rasimu ya kanuni za bunge maalumu limeleta discussion kubwa kwenye issue ya Kura ya SIRI Vs Kura ya DHAHIRI. Haimaanishi kwamba rasimu ya kanuni za bunge haina mambo mengine zaidi ya hilo moja. kama una akili ya kawaida utaelewa hilo.
Ndio maana nikwakwambia hawakujua wao wenyewe wanataka nini as my man Marley put it "if you dont stand for something you will fall for anything" ndio maana wewe mapendekezo ya jaji warioba na tume yake ambayo kuna sehemu kibao wao wenyewe hawakukubaliana to you it is enough as it is, sidhani kama katiba ya sasa umeisoma yote ukailewa vizuri kwa misingi ya siasa na ufahamu wake ili uweze ona mapendekezo ya sasa yanavyopwaya sehemu zingine.Mkuu, katiba ni ya wananchi, sio ya CHADEMA, kwanii unataka 'hao CHADEMA' wawe specific? mambo specific yameelezwa mule baada ya Tume ya Warioba kukusanya maoni, mojawapo ni swala la serikali tatu. What else do you guys want? a cold beer?
Kama waliweza kushinikiza kupata rasimu ya katiba mpya iweje washindwe kupata njia sahihi, mbona kila siku kuna wachangiaji humu mara kadhaa wamekuwa wakisema kama CDM wanaona kutakuwa na uchakachuaji ilikuwa wasishiriki na wajitoe? kushiriki kwao ina maana wamekubali njia zilizopendekezwa ama wamewekewa bunduki kuingia bungeni kwa sasa, huu ni mwendelezo tu wa kuburuzwa kwakuwa wao wenyewe hawakujua ni kipi kibadilike ndio maana watu kama wewe at face value unakubali mapendekezo ya rasimu as they are kisa umeona mabadiliko without asking their practicality, kaazi kweli kweli.Hao unaowaita CHADEMA, walijitahidi sana kubadili muswada wa sheria, wakati unajadiliwa, wakisema swala la MUUNGANO lijadiliwe, Raisi siteuwe wabunge wa bunge la katiba, na CHADEMA hao hao walisema zaidi ya mara moja kwenye hotuba za wizara kivuli ya sheria na katiba kwamba Bunge maalum lichaguliwe na wananchi kwa kura. Nobody remmebers!!!!
Imebakia kelele tu.
Hakuna katiba mbili za kupigiwa kura bali kupigiwa kura maoni mbalimbali.huko Marekani kwenyewe kulipokomaa demokrasia bunge hupiga kura za wazi,kila mbunge anafahamika alivyopiga kura kwa miongo mingi kuhusu mambo yao kama umiliki wa silaha,vita, Israel.ndoa, mtoto tumboni mwa mama nk-
Sasa kaka siasa za TZ unafananisha na siasa za Marekani,je umeona huko Marekani viongozi wakipuuza maamuzi/maoni ya wananchi,je viongozi sampuli za akina mzee ,.,.?wavijisenti wangeweza kuachiwa kuendesha mambo muhimu ya nchi,nafikiri hujui ni kwa nini CCM wanang'ang'ania kura ya wazi.