Wito Kwa CCM hasa kwa Viongozi waandamiizi

Wito Kwa CCM hasa kwa Viongozi waandamiizi

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,403
Reaction score
11,912
Mchana huu nimeona nilele wito kwa CCM ili kuweka mambo ya kisiasa sawa huko tunakoelekea.

1. Jambo la kwanza ni kuhusu Mugombea wa Urais.

Kikubwa ni kwamba - Mgombea urais hauziki kwa wananchi, ila anaeleweka kwa makundi yenye watu wachache mfano.. wafanya biashara na wasanii. Huku mtaani haeleweki hana uwezo wa kujitetea mwenyewe huku wananchi wanataka sauti ya mamlaka. Kwa Samia hawaioni.

Japo ni mgumu ila wito wangu ni kwamba - Badilisheni Mgombea. Msipo sikia basi jiandaeani kumwaga damu.

2. Jambo la pili linahusu namna ya kuwapata wabunge. Kitendo cha kupanua wigo wa wapiga kura kwenye kura za maoni hadi kufikia nusu ya wapiga kura kwenye baadhi ya majimbo kina athari kubwa sana kwenye chana. Madhara hayo ni kama ifuatavyo.
a. Kinaongeza rushwa na wenye pesa ndio wataweza kuwafikia wapiga kura. Mfano kama jimbo lina wapiga kura 5000 na kila mpiga kura akapewa TZS 10,000 hivyo ni jumla ya TZS 50,000,000. Hii pesa sio rahisi kupatikana kwa vijana na watu wanaotaka kugombea wasio na pesa. Ndio maana maona wasiopenda kutoa rushwa wana lalama tu huko kwenye mitandao.
b. Hii idadi kubwa ya wapiga kura ina hatarisha kupoteza jimbo mapema. Iwapo watu wawili wakishindana na walingana kura, ni ngumu sana kujavunja haya makundi hivyo sumu itakuwa kubwa ndani ya mda mfupi. Nashauri hili lirekebishwe ili wapiga kura wawe wachache kupunguza chuki ndani ya jimbo.
Mfano - Kama wapiga kura ni 5000 na wagombea kila mmoja kapaya 2500. Hawa 2500 kuwarejesha kundini ndani ya mda mfupi ni ngumu na wapinzani watashinda kirahisi. Ila kama wapiga kura ni 500 na wagombe wakapata kila mmoja 250, CCM bado itakuwa na mtaji mkubwa wa kupigiwa kura na watu ambao hawakushiriki uchaguzi wa maoni.

Wito - Punguzeni wapiga kura kwenye kura za maoni

Mwandiko sio mzuri maana niko safarini na hili jambo limenijia ghafla kichwani mwangu.
 
Mchana huu nimeona nilele wito kwa CCM ili kuweka mambo ya kisiasa sawa huko tunakoelekea.

1. Jambo la kwanza ni kuhusu Mugombea wa Urais.

Kikubwa ni kwamba - Mgombea urais hauziki kwa wananchi, ila anaeleweka kwa makundi yenye watu wachache mfano.. wafanya biashara na wasanii. Huku mtaani haeleweki hana uwezo wa kujitetea mwenyewe huku wananchi wanataka sauti ya mamlaka. Kwa Samia hawaioni.

Japo ni mgumu ila wito wantu ni kwamba - Badilisheni Mgombea. Msipo sikia basi jiandaeani kumwaga damu.

2. Jambo la pili linahusu namna ya kuwapata wabunge. Kitendo cha kupanua wigo wa wapiga kura kwenye kura za maoni hadi kufikia nusu ya wapiga kura kwenye baadhi ya majimbo kina athari kubwa sana kwenye chana. Madhara hayo ni kama ifuatavyo.
a. Kinaongeza rushwa na wenye pesa ndio wataweza kuwafikia wapiga kura. Mfano kama jimbo lina wapiga kura 5000 na kila mpiga kura akapewa TZS 10,000 hivyo ni jumla ya TZS 50,000,000. Hii pesa sio rahisi kupatikana kwa vijana na watu wanaotaka kugombea.
b. Hii idadi kubwa ya wapiga kura ina hatarisha kupoteza jimbo mapema. Iwapo watu wawili wakishindana na walingana kura, ni ngumu sana kujavunja haya makundi hivyo sumu itakuwa kubwa ndani ya mda mfupi. Nashauri hili lirekebishwe ili wapiga kura wawe wachache kupunguza chuki ndani ya jimbo. Mfani - Kama wapiga kura ni 5000 na wagombea kila mmoja kapaya 2500. Hawa 2500 kuwarejesha kundini ndani ya mda mfupi ni ngumu na wapinzani watashinda kirahisi. Ila kama wapiga kura ni 500 na wagombe wakapata kila mmoja 250, CCM bado itakuwa na mtaji mkubwa wa kupigiwa kura na watu ambao hawakushiriki uchaguzi wa maoni.



Mwandiko sio mzuri maana niko safarini na hili jambo limenijia ghafla kichwani mwangu.
Lissu na Heche tumeshawakamata usiwe na hofu
 
Nauleta tena huu wito.

Uafikie alengwa bila hiana.

Una nia nzuri tu.
 
Narudia kuurusha huu Uzi.

Natamani upate wa kuufanyia kazi.

Hasa kwenye wagombea
 
Back
Top Bottom