Wito kwa Dkt. Faustine Ndugulile na Mhandisi Kilaba; Semeni ukweli kuhusu vifurushi

Wito kwa Dkt. Faustine Ndugulile na Mhandisi Kilaba; Semeni ukweli kuhusu vifurushi

Taarifa tu ni kwamba TTCL wananunua bandwich za Internet Tigo, pia mtandao wao haupatikani sehemu kubwa.
 
Ndugulile alivyotangaza bei mpya ilikua bila kujiunga kwa buku unapata MB 500 yan MB1 ni sh 2 lakini kumbe ni uongo
 
Taarifa tu ni kwamba TTCL wananunua bandwich za Internet Tigo, pia mtandao wao haupatikani sehemu kubwa.
🤣🤣🤣Hata Wi-Fi zao walizoweka barabarani kumbe wanatumia voda
 
Bei waache hii hii ili tuheshimiane mjini halafu kumbuka TRA wameambiwa wakusanye kodi 2trilioni kwa mwezi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu,

Kwahiyo kupanda kwa bei ya vifurushi haiwezi kuwapunguza waerevu humu mitandaoni???

Dawa ya mjinga ni kumuondoa ujinga wake..
Werevu wanachagua vya kufanya hivyo ni ngumu kupunguza Bali wata-concentrate na mambo ya maana. Wajinga ndio wanatumia Sana bando kwa kuwa hawana Cha maana Cha kufanya
 
Hizi ndio bei elekezi? Kwahiyo wameapprove? Watoe tamko haraka maana wamefanya tusichowatuma [emoji2959]
 
Screenshot_20210401-134829~2.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Werevu wanachagua vya kufanya hivyo ni ngumu kupunguza Bali wata-concentrate na mambo ya maana. Wajinga ndio wanatumia Sana bando kwa kuwa hawana Cha maana Cha kufanya
Hakika tunatofautiana katika uelewe wa werevu kwa sasa werevu wapo online na ukiona mtu anashabikia kupanda kwa gharama ya vitu kuna fuse ipo loose.
 
Back
Top Bottom