Nlkua cjui shekh...Kumbe mjinga n m2 asiyekua na helaBei iongezeke maradufu, pengine wajinga watapungua mitandaoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nlkua cjui shekh...Kumbe mjinga n m2 asiyekua na helaBei iongezeke maradufu, pengine wajinga watapungua mitandaoni
ona sasa namna hiyo tutawezanaSiyo 2B, ni 2T kwa mwezi
Sijawahi ona watu wa hovyo kama wewe.....Werevu wanachagua vya kufanya hivyo ni ngumu kupunguza Bali wata-concentrate na mambo ya maana. Wajinga ndio wanatumia Sana bando kwa kuwa hawana Cha maana Cha kufanya
N short hata mifumo ya malipo ya serikali kwa sasa inahitaji uwe na data tena mifumo yao inakuwaga very slow, kwa hali hii watarajie kushuka kwa mapato maana mtu akibrowse dakika moja ikiisha bundle basi anakaaa mpaka atakapopata tena . Sijui kama wamewaza kwa umakini au ilikuwa ni Ile ya kumfurahisha mfalme yule ambaye angesema wakome wakarime rami 🤷😜Sijawahi ona watu wa hovyo kama wewe.....
Kwa upande wangu nililalamikia hili kwasababu ili niweze kuendesha maisha na kazi nahitaji mtandao na si chini ya Gb 4 kwa week tena kwa 5000 nilikuwa napata kama Gb 10 hivi zilinisaidia leo hii siasa inaanzaje kuathiri kazi zetu? Leo hii system ninayoitumia na inavyokula data ndio ninunue Gb 1 kwa 3000? Mara 10 Gb, 30000 kwa week kutoka 5000 unaona ni sahihi siyo?
Shida watu wasiohusika na ambao haya wahusu moja kwa moja wameona ni Sawa na wamehisi wote wanatumia mitandao ya kijamii kufanya au kuhujumu kitu fulani....
Nope....
HAKUNA ALIWEZA KUZUIA TECHNOLOGY AKASHINDA, JITAFAKARI
Makamu wa Rais dk. P. Mpango kashatolea maelekezo kweli mawaziri wameshindwa mpaka boss wao aje kuingilia katiHii trend ya hivi sasa ya gharama za vifurushi hatukuiona ikipigiwa kelele awamu iliyopita, lakini ninyi mlikuwa hapohapo kwenye nafasi mlizonazo Sasa.
Ukiona kelele zinakuja kwa kiasi hiki ndani ya saa 24 tambua aidha Wapo watu hasa watoa huduma wameamua kwa makusudi kutingisha kiberiti kwa kupandisha gharama au ninyi mlipotoa ahadi yakushisha vifurushi mliwadanganya wananchi au kuna maamuzi mnafanya bila kufanya utafiti na mashauriano yakutosha.
Hawa wanaolalamika ni wananchi na wanasiasa wakubwa nchini, msiwapuuzwe maana wanaweza kuwang'oa hapo mlipo.
Nayasema haya kwa kuwa natambua uwezo wenu wakutenda, haya mawimbi kaeni mwone namna yakuyakata kuondoa lawama zinazoendelea Sasa.
One more advice: Kama makampuni haya yanashindwa kuwasikiliza zungumzeni na TTCL washushe gharama za virushi kuvutia watu wengi kutumia ttcl hata kwakuwapa ruzuku itakayowasaidia kuimarisha huduma yao. Hii ni ambayo kutegemea msaada wa wahisani kwenye hii Vita nikuplan kufeli, wapeni kiburi TTCL kwenye bando mtaona hao wengine Kama wataendelea kuuza GB moja 3000.
Niwatakie Pasaka njema huku nikiwaombea msiathirike na ahadi ya Mhe. Rais ya kuapisha jumanne baada ya pasaka
Unaharaka weye kesho banaMbona mpka muda huu vifurushi viko vilevile havijabadishwa
unaanzaje emb niambieChamsingi ni kuandaa mgomo wa kutumia mitandao hii hata siku mbili
Huwezi punguza wajinga kwa kuwapa gharama watu wengine wasio na ujinga la sivyo utakuwa nawe umefanya ujinga juu ya watu werevu..haya ma-bando kelele yake kama Jesus awanyamazishe makutano wake..hawatafaulu ata kidogo serikali na kampuni kutaka kutugeuza uji wa lishe.Bei iongezeke maradufu, pengine wajinga watapungua mitandaoni