Wito kwa Dkt. Faustine Ndugulile na Mhandisi Kilaba; Semeni ukweli kuhusu vifurushi

Mhanisi kilaba?
 
Muende mkaangalie mbinu za kuongeza ukusanyaji wa kodi naona kauli ya Rais imeanza kufanya kazi. Tuendelee tu kuisoma namba hakuna namna
 
Na bado charges za kutoa ela kwenye hii mitandao yetu itapanda hivi karibuni. So tujiandaye
 
hivi Mh. si alisema kuna uapisho mpya juma4 ,nafkiri kuna watu wamechoka wanataka wasaidiwe kazi...inakera sana kwa kweli...kutokuwa wabunifu na kujiongeza
 
Hii ishu ya vifurushi yalikuwa ni maagizo ya marehemu Kayafa.Kama siyo yule mbwa kufa kuna mengi zaidi ya haya yalikuwa yanakuja.
 
Hao hawajamuelewa mh.Rais.

Amewaambia watumie mbinu na akili kuongeza walipa kodi na wasitumie maguvu,ubabe na sheria kandamizi.
MIMI NINASEMA MH.MAMA NINAOMBA MPUMZISHE HUYO NSUGULILE MAANA HAJAJUA KAMA WALIPAKODI WATAPUNGUA SANA.

Msogeze hapo kama ulivyomsogeza yule jamaa mwenye mbwembwe kwenye ile wizara nyeti
 
Hakuna asiyejua kuwa Ndugulile alikuwa anatekeleza maagizo ya hayati ambae alikuwa anataka kupunguza stress za kutukanwa mtandaoni
 
Gharama za makampuni kutoa huduma ya 1GB ikoje? Kiasi gani wanapata katika 1GB? Yaani 1GB kwa mteja ni sawa na kilo moja na nusu ya mchele? Ni hatari sana. Naaomba kufahamu gharama za kampuni kutoa huduma ya 1GB
 
Bei iongezeke maradufu, pengine wajinga watapungua mitandaoni
Unajikuta unaakili maskini wa mungu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kumbe hata akili zenye huna.

Kwa kiswahili kizuri wanasema unao mwenendo usio sahihi yaani kwa kifupi wewe ni

TAAAHIRA[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
 
mleta mada acha kiherehere.
mabadiliko ya bei mpya za vifurushi hayatuathiri sisi mataga na watetezi kindakibdaki wa rais jiwe aka mwendazake aka marehemu.

mabadiliko haya yatawaumuza watu upinzani tu. sisi mataga tutaendelea kununua vifurushi kwa bei ileile ya zamani kama alivyo agiza jiwe.
 
Ndugulile na mwenzake walipanga hili, usijitoe ifahamu huku wakishangiliwa na mataga eti wanamkomoa kigogo2014, sasa namba tunaisoma wote.
 
Werevu wanachagua vya kufanya hivyo ni ngumu kupunguza Bali wata-concentrate na mambo ya maana. Wajinga ndio wanatumia Sana bando kwa kuwa hawana Cha maana Cha kufanya
Mkuu,

Kwa yule mwerevu aliyechagua mambo yake ya kufanya ya muhimu kwa gb 1 kwa siku then leo anakuta kifurushi kina mb 420 itakuwaje??
Je mwerevu huyo hajaathirika?? Je haiwezi kumfanya kuamua kutotumia huduma fulani??? Je vp endapo mwerevu huyo akachagua kutokuingia jf ili ku compasate matumizi ya bando??? Je haitakuwa imepunguza idadi ya waerevu humu jf??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…