Wito kwa Dkt. Faustine Ndugulile na Mhandisi Kilaba; Semeni ukweli kuhusu vifurushi

Werevu wanachagua vya kufanya hivyo ni ngumu kupunguza Bali wata-concentrate na mambo ya maana. Wajinga ndio wanatumia Sana bando kwa kuwa hawana Cha maana Cha kufanya
Sijawahi ona watu wa hovyo kama wewe.....

Kwa upande wangu nililalamikia hili kwasababu ili niweze kuendesha maisha na kazi nahitaji mtandao na si chini ya Gb 4 kwa week tena kwa 5000 nilikuwa napata kama Gb 10 hivi zilinisaidia leo hii siasa inaanzaje kuathiri kazi zetu? Leo hii system ninayoitumia na inavyokula data ndio ninunue Gb 1 kwa 3000? Mara 10 Gb, 30000 kwa week kutoka 5000 unaona ni sahihi siyo?

Shida watu wasiohusika na ambao haya wahusu moja kwa moja wameona ni Sawa na wamehisi wote wanatumia mitandao ya kijamii kufanya au kuhujumu kitu fulani....

Nope....

HAKUNA ALIWEZA KUZUIA TECHNOLOGY AKASHINDA, JITAFAKARI
 
I
N short hata mifumo ya malipo ya serikali kwa sasa inahitaji uwe na data tena mifumo yao inakuwaga very slow, kwa hali hii watarajie kushuka kwa mapato maana mtu akibrowse dakika moja ikiisha bundle basi anakaaa mpaka atakapopata tena . Sijui kama wamewaza kwa umakini au ilikuwa ni Ile ya kumfurahisha mfalme yule ambaye angesema wakome wakarime rami 🤷😜
 
Makamu wa Rais dk. P. Mpango kashatolea maelekezo kweli mawaziri wameshindwa mpaka boss wao aje kuingilia kati
 
Bei iongezeke maradufu, pengine wajinga watapungua mitandaoni
Huwezi punguza wajinga kwa kuwapa gharama watu wengine wasio na ujinga la sivyo utakuwa nawe umefanya ujinga juu ya watu werevu..haya ma-bando kelele yake kama Jesus awanyamazishe makutano wake..hawatafaulu ata kidogo serikali na kampuni kutaka kutugeuza uji wa lishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…